SoC02 Mimi ndiye adui wa maendeleo ya vijana ninayelipa kodi

Stories of Change - 2022 Competition

cupvich

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2022
Posts
408
Reaction score
247
Utangulizi.
Nimekuwa maarufu sana katika karne hii ya ishirini na moja(21). Kila mahali napokelewa kwa shangwe na walio wengi, sio vijana tu bali watu wa kila umri wananikubali na Kunipenda. Mamlaka za utawala nazo zimenipokea kwa mikono miwili na kunipatia mazingira rafiki ya kuishi. Nimekuwa na faida kubwa kwa serikali kwani ninachangia katika Maendeleo, na kufanya watawala wengi wanipigie Chapuo wakati ninapopata MISUKOSUKO.
Nimeteka watu wa kila aina VIJANA kwa WAZEE, Wasomi kwa wasiosoma, Matajiri kwa Maskini, Wanafunzi kwa wasio wanafunzi, Hakika nimekita mizizi kila eneo KANISANI nipo, MISIKITINI nipo, Maofisini nipo, Mashuleni nipo, Vyuoni, Majumbani hata katika Vyombo vya Usafiri napatikana. Umaarufu wangu umekuwa Mkubwa na kuufanya Ulimwengu wote Unigeukie. Kizuri zaidi kwangu ni kwamba NIPO KIHALALI, nafanya kazi zangu pasipo Bugudha yoyote kwasababu Nafuata sheria zote za Nchi ikiwa ni pamoja na kulipa Kodi katika Biashara zangu.

images (60).jpeg

Picha kutoka mtandaoni.

Kwa upande mwingine nimeacha MAUMIVU makali sana kwa watu, nimerudisha nyuma maendeleo ya Walio wengi, nimefarakanisha Ndoa za watu, nimeachisha masomo Vijana walio wengi, nimebadilisha tabia njema za vijana majumbani na Mashuleni. Walio matajiri nimewabadilisha kuwa masikini kwa muda mfupi, Nimefanya wale waliokuwa watumishi wa Mungu kunipenda na Kuungana nami katika Biashara zangu.Nimewaaminisha Vijana utajiri wa Haraka na hivyo kuacha kufanya Kazi. Kwa ujumla mimi sio RAFIKI mwema kwa wanaopenda maendeleo ya GHAFLA.

Mimi ni Nani?
Vijana wengi wa mjini wananifahamu kwa jina la "MKEKA", naitwa "Michezo ya KUBASHIRI" kwa kimombo ni BETTING, nina sura tofauti tofauti katika jamii, naweza kuonekana kama BETWAY, SPORTPESA, M-BET, BETPAWA, MERIDIAN BET, PARIMATCH, PREMIER BET, WASAFI BET na kadhalika. Nina simamiwa na bodi ya michezo ya kubashiri TANZANIA, ambayo ipo kwa mujibu wa sheria na imepewa mamlaka ya kusimamia na kuyaendesha na kutoa adhabu au faini kwa kampuni zitakazo kiuka kanuni za uendeshaji na pia kupendekeza utaratibu wa namna gani makampuni ya michezo ya kubashiri yanatakiwa kuendeshwa, pia imepewa mamlaka ya kusajili na kufuta makampuni yanayoenda kinyume na sheria. Nina lipa Kodi na kutambulika na mamlaka za serikali. Nina husika na michezo mbalimbali ya kubahatisha kama vile KASINO, KASINO MTANDAONI, KASINO NDOGO, MICHEZO YA KUBASHIRI MATOKEO, MICHEZO YA MASHINE, BAHATI NASIBU YA TAIFA, BAHATI NASIBU YA KUTUMIA UJUMBE MFUPI WA SIMU, MICHEZO YA VIKARAGOSI ( virtual games).

images (56).jpeg
images (58).jpeg

Vijana wakiweka mikeka(Picha zote kutoka mtandaoni).

Faida zangu kwa serikali na Watu wake.
Nimekuwa moja ya chanzo cha mapato kwa serikali kwa kulipa kodi za aina mbili, Moja ni kodi ya michezo ya kubahatisha( Gaming tax) ambayo hutolewa na mwendeshaji wa michezo hii ya kubahatisha. Pili ni kodi ya Michezo ya kubahatisha kwenye zawadi ( Gaming tax on Winnings) ambayo hukatwa kutoka kwenye Bonasi ya Mshindi. Hivyo nimechochea kwa kiasi kikubwa maendeleo ya Nchi ikiwa ni pamoja na ujenzi wa Miundo mbinu kama vile Barabara, Hospitali, shule na huduma zingine za Jamii. Lakini pia nimewanufainisha watu wachache ambao walinifuatilia na Kufanikiwa kushinda katika Bahati nasibu zao.

Hasara zangu kwa serikali na watu wake.
Pamoja na kuwa na faida, Hasara zangu kwa serikali na watu wake ni nyingi zaidi, Nimepunguza Nguvu kazi ya Taifa kwa kuwafanya vijana walio wengi kunitegemea tokea asubuhi hadi jioni wakikesha katika mabanda ya KUBASHIRI na hivyo kushindwa kufanya shughuli zingine za kuzalisha mali kama vile KILIMO, BIASHARA, na UJASILIAMALI ambao ungeweza kuwaingizia kipato na kuliingizia taifa Kipato, lakini pia Nimevunja mioyo ya Vijana walio wengi pale wanapoweka kiasi kikubwa cha Fedha katika UBASHIRI na kuangukia pua, Vijana wengi wamechukua Hatua ya Kukimbia familia zao, na wengine kufikia hatua ya KUJIUA.
images (49).jpeg

images (50).jpeg
Vijana wakifuatilia mikeka yao( picha kutoka mtandaoni)

Nimekula mitaji ya Vijana waliowengi na hivyo kuwakwamisha katika Malengo yao ya kimaendeleo, Nimekula pesa za kujikimu(BUMU) za Vijana wengi Vyuoni na kupelekea kukatisha masomo yao kwasababu ya ugumu wa maisha Vyuoni, Ndoa nyingi zimevunjika kwasababu yangu, lakini pia Nimepelekea mmomonyoko wa maadili kwa vijana wadogo kwasababu ya Kujiunga na mimi na Kusahau Masomo shuleni. Nimepelekea Vijana wengi kupata ugonjwa wa MSONGO WA MAWAZO ( SONONA) kwa sababu ya kukosa matarajio ambayo walikuwa nayo. Mimi ni Chanzo cha migogoro mingi miongoni mwa Vijana.
images (51).jpeg

Mkeka umechanika ( picha kutoka mtandaoni)

Vita dhidi yangu.
Nimekuwa nikipigwa vita kila mahali MAKANISANI NA MISIKITINI, baadhi ya serikali zimeshindwa kuniruhusu kutokana na itikadi zao. Lakini pia watu mbalimbali duniani wamekuwa wakinipiga vita, Viongozi wa Dini, wanamichezo mashuhuri wote hao wamekuwa adui kwangu. Mwaka 2019 Bodi ya Michezo ya Kubashiri nchini KENYA ilipiga marufuku Matangazo ya mchezo huo mitaani, kwenye mitandao ya kijamii, na Kwenye runinga ( Kati ya saa 12 asubuhi hadi saa 4 usiku), Pia ilizuia watu maarufu kupigia chapuo( endorse) ubashiri na kampuni za Ubashiri.(Chanzo, www.Muungwana.co.tz/2019). Na hadi leo vita dhidi yangu inaendelea kila mahali Duniani.

Ombi langu Kwa Vijana wa Kitanzania.
Pamoja na kupigwa vita kila mahali, Bado mimi ni rafiki kwa watawala serikalini, hii ni kutokana na Mchango wangu mkubwa katika Maendeleo Nchini kupitia kodi yangu, Hata katika sekta ya michezo nimekuwa Nguzo kubwa katika maendeleo ya Michezo nchini ikiwa ni pamoja na Kudhamini michuani mbalimbali lakini pia kudhamini Klabu zetu kwa kutoa fedha nyingi. Hivyo SI RAHISI MIMI KUONDOKA. Vijana wote wanatakiwa kunielewa na kunizoea na Kutotumia MUDA mwingi na fedha nyingi kunihangaikia. Wanapaswa kuwa na KIASI na kunichukulia mimi kama BURUDANI kwao na Sio kama CHANZO CHA MAPATO, Hivyo watafute shughuli zingine za kufanya ili kujikwamua KIUCHUMI wakikumbuka kuwa VIJANA ndio NGUVU YA TAIFA.
 
Upvote 41
Utangulizi.
Nimekuwa maarufu sana katika karne hii ya ishirini na moja(21). Kila mahali napokelewa kwa shangwe na walio wengi, sio vijana tu bali watu wa kila umri wananikubali na Kunipenda. Mamlaka za utawala nazo zimenipokea kwa mikono miwili na kunipatia mazingira rafiki ya kuishi. Nimekuwa na faida kubwa kwa serikali kwani ninachangia katika Maendeleo, na kufanya watawala wengi wanipigie Chapuo wakati ninapopata MISUKOSUKO.
Nimeteka watu wa kila aina VIJANA kwa WAZEE, Wasomi kwa wasiosoma, Matajiri kwa Maskini, Wanafunzi kwa wasio wanafunzi, Hakika nimekita mizizi kila eneo KANISANI nipo, MISIKITINI nipo, Maofisini nipo, Mashuleni nipo, Vyuoni, Majumbani hata katika Vyombo vya Usafiri napatikana. Umaarufu wangu umekuwa Mkubwa na kuufanya Ulimwengu wote Unigeukie. Kizuri zaidi kwangu ni kwamba NIPO KIHALALI, nafanya kazi zangu pasipo Bugudha yoyote kwasababu Nafuata sheria zote za Nchi ikiwa ni pamoja na kulipa Kodi katika Biashara zangu.

View attachment 2354508

View attachment 2354518

View attachment 2354519

View attachment 2354522

USIACHE KUSOMA NA KUPIGIA KURA ANDIKO HILI.

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Kwakweli hali sio nzuri kwa vijana wengi wanao jihusisha ya michezo ya kubashiri kupitiliza, kiasi cha kutegemea ubashiri tu ili kupata kipato.

Imefikia mahali baadhi yao wameenda kwa WAGANGA ili kushinda katika BETS zao,

Hapa chini nimekuwekea VIDEO inayoonesha Kijana ambaye alienda kwa mganga ili amsaidie ashinde katika ubashiri wake na KUPEWA SHARTI la kwenda uchi katika DUKA la kubashiria huku akiambiwa na mganga kuwa hataonekana akiwa UCHI.

(Video hii ni kutoka mtandaoni).
 
View attachment 2369904
Usiache kusoma andiko hili na KULIPIGIA KURA.
 
FB_IMG_1665722474788.jpg

Mimi adui nipo kila mahali.. tafadhari msiwekeze PESA na MUDA WENU MWINGI KWANGU.
 
Kwangu hii NDIYO MAKALA BORA SANA kwani inafoa funzo la kutosha kwa vijana wengi KUFANYA KAZI na kuacha kutegemea zaidi KAMARI
 
Asante kwa kuunga mkono makala hii bora mwana JF.
 
Imefika wakati sasa Serikali kuwakomboa Vijana kwa kuweka sheria na taratibu zinazofaa zaidi katika michezo hii ya KUBAHATISHA ili kuikomboa Nguvu kazi hii ya Taifa
 
Mkuu naona huu mzigo hujaugusia lakini moto wake huo mkeka ni cha mtoto.....

Mkeka unaweza ukaliwa hata 50,000 kwa siku ukaachana nao kusubiria Kesho ila huu uchafu ukijilengesha unaweza kuona million kumi inaenda kiroho safi 🙌🙌🙌
Screenshot_20221113-084419_Chrome.jpg
 
Mkuu naona huu mzigo hujaugusia lakini moto wake huo mkeka ni cha mtoto.....

Mkeka unaweza ukaliwa hata 50,000 kwa siku ukaachana nao kusubiria Kesho ila huu uchafu ukijilengesha unaweza kuona million kumi inaenda kiroho safi 🙌🙌🙌View attachment 2415132
Ni kweli mwana JF. Huu pia ni mchezo wa kubahatisha ambao umefanya Vijana wengi kuukimbilia nakushindwa kufanya kazi wakiamini Watatajirika kupitia mchezo huo.

Nadhani ipo haja ya Serikali kuweka sheria kali katika michezo hii ili kuwakomboa waliowengi.

Wenzetu kenya wanaelekea kuweza je SISI?
 
Back
Top Bottom