Mimi ni Mama wa miaka 38, nipo kwenye ndoa kwa miaka 7 sasa, mimi na mume wangu tulikua vizuri tu lakini sasa mambo yamebadilika

Habari Kaka magical power,mimi ni Mama wa miaka 38 Majina naitwa Brenda, nipo kwenye ndoa kwa miaka 7 sasa😭💔, mimi na mume wangu tulikua vizuri tu, View attachment 3174000mume wangu ni wale wanaume wapole, ananiruhusu kufanya kila kitu ninachotaka na haongei sana. Tangu nakutana naye mimi niikua mtu wa club na kupost vitu vyangu kwenye mitandao bila kujali macho ya watu.

Nilikua naweza kupost picha nimevaa kichupi nacheza, nimevaa nguo fupi na hata siku moja mume wangu alikua hajawahi kuniambia kitu, mara nyingine hata picha nilikua napost mimi.

Kuna kipindi nilimuambia nataka tattoo ya kwenye matiti nikaenda kuchora na nikapost hakujali. Tulikua vizuri sana lakini kaka juzi kuna picha moja nilipost, nilikua beach tu nimevaa nguo zakuogelea makalio yalikua wazi, ni picha ya kawaida tu ambayo hata huko nyuma nilikua napost, lakini ghafla mume wangu alikuja kwa hasira.

Aliniambia nifute, nilishangaa na kumuuliza shida ni nini akaniambia kuwa kila mtu anamuona kaoa malaya. Kaka maneno yake yaliniuma sana kwani sijawahi kumkosea heshima mume wangu, tuligombana sana kiasi alinitukana na kunipiga akaniambia nitoke kabisa kwenye mitandao ya kijamii kwani najiuza.

Niligoma ndipo akanionyesha picha yangu ipo Telegram mtu kachukua kwenye ukurasa wangu Instagram anasema najiuza, kaka sio mimi na mume wangu anajua kabisa sio mimi ila amekasirika ananiambia rafiki zake wanamuona kuwa kaoa malaya hivyo nifute picha zangu zote kwenye mitandano ya kijamii, kaka hii ni haki kweli au ananitesa tu? Maana najikuta naanza kuchukia hii ndoa😡
Mkiambiwa mfanye hivi vitu kwenye uschana mnakimbia kuolewa😂
 
Haya ma stori ya kutunga tunga yanachosha.

Any way, ngoja twende sawa tu, hakuna mwanaume serious, akubali kuoa type yako, labda akuweke ndani awe anabonda bonda huku akipanga kukupiga chini, na labda ndio muda umefika wa kukupiga chini.

Yani wewe sio msanii, sio mmarekani na yeye sio mmarekani, pengine hamjakaa hata huko. Avumilie hizo picha, kwa kipi na kwa nini....

Tumekaa na wahuni kabisaa na hawapendi mademu wao wa maisha ya kawaida wafanye hivyo, na kama walikuwa hivyo huwa wanataka wabadilike.

Kuhusu haki kwa kuwa haujavunja sheria ni haki yako, kupiga picha za hivyo. Na yeye hapendi, usimvunjie haki zake. Vunja ndoa
 
Habari Kaka magical power,mimi ni Mama wa miaka 38 Majina naitwa Brenda, nipo kwenye ndoa kwa miaka 7 sasa😭💔, mimi na mume wangu tulikua vizuri tu, View attachment 3174000mume wangu ni wale wanaume wapole, ananiruhusu kufanya kila kitu ninachotaka na haongei sana. Tangu nakutana naye mimi niikua mtu wa club na kupost vitu vyangu kwenye mitandao bila kujali macho ya watu.

Nilikua naweza kupost picha nimevaa kichupi nacheza, nimevaa nguo fupi na hata siku moja mume wangu alikua hajawahi kuniambia kitu, mara nyingine hata picha nilikua napost mimi.

Kuna kipindi nilimuambia nataka tattoo ya kwenye matiti nikaenda kuchora na nikapost hakujali. Tulikua vizuri sana lakini kaka juzi kuna picha moja nilipost, nilikua beach tu nimevaa nguo zakuogelea makalio yalikua wazi, ni picha ya kawaida tu ambayo hata huko nyuma nilikua napost, lakini ghafla mume wangu alikuja kwa hasira.

Aliniambia nifute, nilishangaa na kumuuliza shida ni nini akaniambia kuwa kila mtu anamuona kaoa malaya. Kaka maneno yake yaliniuma sana kwani sijawahi kumkosea heshima mume wangu, tuligombana sana kiasi alinitukana na kunipiga akaniambia nitoke kabisa kwenye mitandao ya kijamii kwani najiuza.

Niligoma ndipo akanionyesha picha yangu ipo Telegram mtu kachukua kwenye ukurasa wangu Instagram anasema najiuza, kaka sio mimi na mume wangu anajua kabisa sio mimi ila amekasirika ananiambia rafiki zake wanamuona kuwa kaoa malaya hivyo nifute picha zangu zote kwenye mitandano ya kijamii, kaka hii ni haki kweli au ananitesa tu? Maana najikuta naanza kuchukia hii ndoa😡
Hivi tayari jua lishazama namna hiyo mume bado anajadiliana nawe mbona hazimtoshi kujibishana tu ulitakiwa uwe nje ya mlango
 
Ndoa ya miaka saba, wewe umri ni miaka 38 it means mlikutana ukiwa na umri wa miaka 31. Mwanamke wa kuoa ambaye atakuwa kwenye stage nzuri ni kati ya miaka 16 hadi 26. Above that ni changamoto au reject products. Sasa imagine jamaa alikukuta katika 31.

Simps watajifunza kwa gharama sana.
 
Habari Kaka magical power,mimi ni Mama wa miaka 38 Majina naitwa Brenda, nipo kwenye ndoa kwa miaka 7 sasa😭💔, mimi na mume wangu tulikua vizuri tu, View attachment 3174000mume wangu ni wale wanaume wapole, ananiruhusu kufanya kila kitu ninachotaka na haongei sana. Tangu nakutana naye mimi niikua mtu wa club na kupost vitu vyangu kwenye mitandao bila kujali macho ya watu.

Nilikua naweza kupost picha nimevaa kichupi nacheza, nimevaa nguo fupi na hata siku moja mume wangu alikua hajawahi kuniambia kitu, mara nyingine hata picha nilikua napost mimi.

Kuna kipindi nilimuambia nataka tattoo ya kwenye matiti nikaenda kuchora na nikapost hakujali. Tulikua vizuri sana lakini kaka juzi kuna picha moja nilipost, nilikua beach tu nimevaa nguo zakuogelea makalio yalikua wazi, ni picha ya kawaida tu ambayo hata huko nyuma nilikua napost, lakini ghafla mume wangu alikuja kwa hasira.

Aliniambia nifute, nilishangaa na kumuuliza shida ni nini akaniambia kuwa kila mtu anamuona kaoa malaya. Kaka maneno yake yaliniuma sana kwani sijawahi kumkosea heshima mume wangu, tuligombana sana kiasi alinitukana na kunipiga akaniambia nitoke kabisa kwenye mitandao ya kijamii kwani najiuza.

Niligoma ndipo akanionyesha picha yangu ipo Telegram mtu kachukua kwenye ukurasa wangu Instagram anasema najiuza, kaka sio mimi na mume wangu anajua kabisa sio mimi ila amekasirika ananiambia rafiki zake wanamuona kuwa kaoa malaya hivyo nifute picha zangu zote kwenye mitandano ya kijamii, kaka hii ni haki kweli au ananitesa tu? Maana najikuta naanza kuchukia hii ndoa😡
Futa kama huna maslahi nazo,je huna akaunti zingine kama za kule badoo na kama zipo ulimmwonyesha na majina unayotumia asiyoyajua kwenye akaunti zingingine?
 
Kiufupi wewe ni Malaya na ungekuwa mke wangu ningekuchoma na Mkaa gunia mbili kama alivyofanya yule jamaa wa kigamboni
 
Back
Top Bottom