falcon mombasa
JF-Expert Member
- Mar 5, 2015
- 9,189
- 9,299
- Thread starter
-
- #41
Si kweli Kama kweli waafghan wamewasapoti taleban mbona maelfu wamekimbilia ndege ya united StatesHongera nyingi ziende kwa Taleban kwa kufanikiwa kutimua majambazi ya Ulaya... Pia pongezi ziende na kwa waafganistani wote kwa kutoa ushirikiano kwa wazalendo wenzao mpaka super power akakimbia
Si kweli Kama kweli waafghan wamewasapoti taleban mbona maelfu wamekimbilia ndege ya united StatesHongera nyingi ziende kwa Taleban kwa kufanikiwa kutimua majambazi ya Ulaya... Pia pongezi ziende na kwa waafganistani wote kwa kutoa ushirikiano kwa wazalendo wenzao mpaka super power akakimbia
Wale ni vibaraka wa mataifa ya magharibi pamoja na wachache waliolishwa propaganda.Si kweli Kama kweli waafghan wamewasapoti taleban mbona maelfu wamekimbilia ndege ya united States
Amani ni Muumba, Amani ni ya MUNGU...Jamaa wamefungulia magereza nyingi zilizokuwa na watuhumiwa wa ugaidi,
Hakutakuwa na Amani
Hahaha....yamewakuta!!Jamaa wamefungulia magereza nyingi zilizokuwa na watuhumiwa wa ugaidi,
Hakutakuwa na Amani
Hapahapa Dar hamna vita ila ukitangazwa uzushi kua JNIA kuna ndege zinawapeleka watu bure Marekani na Canada basi uwanja wote utafurika hata runway haitapitika sembuse kwenye nchi yenye milio ya risasi kila siku.falcon mombasa wewe ni great thinker. Umeongea ukweli wa Mungu.
Taliban huwezi kuwatenganisha na magaidi, maharamia ila kwa kuwa wanataja uislamu kuna watu wanawaona wa maana.
Wananchi wanadandia ndege ili kuwakimbia hawa magaidi halafu kuna jitu lipo BUZA KWA MPALANGE linajifanya linaijua sana dini lina support mateso ya waafghanistan.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]We unatafunwa? Eti mfuasi mtiifu wa USA waAfrika bwana
Hio kuparamia ndege na meli hata babu zenu walishafanya sana hivyo, hata ww wa buza ukiambiwa usepe nchi yako hii huwezi kukataa ukipata viza ya bure [emoji16]falcon mombasa wewe ni great thinker. Umeongea ukweli wa Mungu.
Taliban huwezi kuwatenganisha na magaidi, maharamia ila kwa kuwa wanataja uislamu kuna watu wanawaona wa maana.
Wananchi wanadandia ndege ili kuwakimbia hawa magaidi halafu kuna jitu lipo BUZA KWA MPALANGE linajifanya linaijua sana dini lina support mateso ya waafghanistan.
[emoji1787][emoji1787][emoji16] ugaidi waliufanya wao Afghanistan Iraq na Libya sasa watu wako kwenye nchi yao wanajitia kuwapangia maisha eti tena wanaumia [emoji1787][emoji23][emoji23]
Aibuuuu[emoji1][emoji1] wamarekani weusi hawataki kukubali wamepigwa dole.
Wachache na wale waliokua mamluki lazima walie [emoji16][emoji1787]WaAfghan na mataifa mengine yenye itikadi kali hawajui nini wanataka.
Wamelilia USA aondoke Leo wameondoka wanalilia wabaki. Wapambane na hali yao
Wapuuzi wakubwa hawaPiganieni HAKI kwenye nchi yenu.wabongo bana yakwenu yanawashinda mnajifanya mna uchungu na ya Afghanistan.
Ndio ujue kulazimishana ni kubayaWaafghanistan hawataki demokrasia,kama wangekuwa wanataka demokrasia wasingewaachia watalbani wachukue nchi kizembe vile, jeshi linaandaliwa zaidi ya miaka kumi halafu linapigwa chini ya wiki mbili
[emoji1787][emoji16][emoji16][emoji1787]Nimecheka Sana,,,mwarabu anaroho ngumu Sana ,,,yaan pamoja na drone zote za mmarekani lkn wapi,,nchi imechukuliwa ndani ya dakika 45 tu.
Mamluki ndio wanakimbilia huko, pia ni jambo la kawaida sana raia kukimbilia nchi nyengine, nimeshawahi kuwaona wacanada wanapinga kurudi Uengereza nilipowaukiza wakaniambia wanapenda kuishi UengerezaKama hawataki demokrasia kwanini wameonekana kukimbilia marekani?
Fursa za kutafuta maisha, ukumbuke ya kwamba Taliban hadi kufikia hapo walipewa support kubwa Sana na wananchi wa Afghanistan, sasa Kama wangekuwa wanataka demokrasia wangewapiga VitaKama hawataki demokrasia kwanini wameonekana kukimbilia marekani?
Siyo mamluki waarabu wengi hawapendi hayo masheria zao za kikupambuvu hasa hao Taliban ndio maana raia wanakimbia maana wanajua kitakachotokea.Mamluki ndio wanakimbilia huko, pia ni jambo la kawaida sana raia kukimbilia nchi nyengine, nimeshawahi kuwaona wacanada wanapinga kurudi Uengereza nilipowaukiza wakaniambia wanapenda kuishi Uengereza
Sasa inakuwaje wanawapa support halafu wakimbie tena?Fursa za kutafuta maisha, ukumbuke ya kwamba Taliban hadi kufikia hapo walipewa support kubwa Sana na wananchi wa Afghanistan, sasa Kama wangekuwa wanataka demokrasia wangewapiga Vita
Kumbe naongea na kilaza, waarabu hapo wameingiaje, kwahio kwakua wazungu wengi ni mashoga na ww ni shoga kwa sababu unafuata dini yao ??Siyo mamluki waarabu wengi hawapendi hayo masheria zao za kikupambuvu hasa hao Taliban ndio maana raia wanakimbia maana wanajua kitakachotokea.
Sasa ishu ya ushoga imetokeaje Hapa kama wewe siyo mjinga?? Mawazo ya ushoga yametawala akili yako muda wote unauwaza tu..Kumbe naongea na kilaza, waarabu hapo wameingiaje, kwahio kwakua wazungu wengi ni mashoga na ww ni shoga kwa sababu unafuata dini yao ??