falcon mombasa
JF-Expert Member
- Mar 5, 2015
- 9,189
- 9,299
- Thread starter
- #41
Si kweli Kama kweli waafghan wamewasapoti taleban mbona maelfu wamekimbilia ndege ya united StatesHongera nyingi ziende kwa Taleban kwa kufanikiwa kutimua majambazi ya Ulaya... Pia pongezi ziende na kwa waafganistani wote kwa kutoa ushirikiano kwa wazalendo wenzao mpaka super power akakimbia