Mimi ni mfuasi mtiifu wa United States of America lakini naisikitikia Afghanistan

Hongera nyingi ziende kwa Taleban kwa kufanikiwa kutimua majambazi ya Ulaya... Pia pongezi ziende na kwa waafganistani wote kwa kutoa ushirikiano kwa wazalendo wenzao mpaka super power akakimbia
Si kweli Kama kweli waafghan wamewasapoti taleban mbona maelfu wamekimbilia ndege ya united States
 
Wale ni vibaraka wa mataifa ya magharibi pamoja na wachache waliolishwa propaganda.

Fikiria kwa mapana utagundua waafganistani wametoa ushirikiano mkubwa sana katika kuwatimua wamarekani.... Hata rais wa Marekani ameona kukataliwa kwao akasema haiwezekani askari wa Amerika wanakufa wakiwapigania waafganistani ambao wanaonekana kutoa saport kubwa kwa Taleban
Screenshot_20210817-094504.png
 
Jamaa wamefungulia magereza nyingi zilizokuwa na watuhumiwa wa ugaidi,
Hakutakuwa na Amani
Amani ni Muumba, Amani ni ya MUNGU...
jamanii haki ya kuishi ni wote kukubaliana.. na siyo kubaguana...
Ukianza kunyosheana vidole.. au kukandamizana bila sbb za msingi.... ndiyo hayo !!
 
Jamaa wamefungulia magereza nyingi zilizokuwa na watuhumiwa wa ugaidi,
Hakutakuwa na Amani
Hahaha....yamewakuta!!
Sasa USA watafuta pahala pa kuwapeleka troops zao kwa sababu wakirudi US watakuwa hawana kazi na most of them are fucked up in their heads utaona sasa crimes in states
 
falcon mombasa wewe ni great thinker. Umeongea ukweli wa Mungu.

Taliban huwezi kuwatenganisha na magaidi, maharamia ila kwa kuwa wanataja uislamu kuna watu wanawaona wa maana.

Wananchi wanadandia ndege ili kuwakimbia hawa magaidi halafu kuna jitu lipo BUZA KWA MPALANGE linajifanya linaijua sana dini lina support mateso ya waafghanistan.
Hapahapa Dar hamna vita ila ukitangazwa uzushi kua JNIA kuna ndege zinawapeleka watu bure Marekani na Canada basi uwanja wote utafurika hata runway haitapitika sembuse kwenye nchi yenye milio ya risasi kila siku.
 
falcon mombasa wewe ni great thinker. Umeongea ukweli wa Mungu.

Taliban huwezi kuwatenganisha na magaidi, maharamia ila kwa kuwa wanataja uislamu kuna watu wanawaona wa maana.

Wananchi wanadandia ndege ili kuwakimbia hawa magaidi halafu kuna jitu lipo BUZA KWA MPALANGE linajifanya linaijua sana dini lina support mateso ya waafghanistan.
Hio kuparamia ndege na meli hata babu zenu walishafanya sana hivyo, hata ww wa buza ukiambiwa usepe nchi yako hii huwezi kukataa ukipata viza ya bure [emoji16]
 
WaAfghan na mataifa mengine yenye itikadi kali hawajui nini wanataka.

Wamelilia USA aondoke Leo wameondoka wanalilia wabaki. Wapambane na hali yao
Wachache na wale waliokua mamluki lazima walie [emoji16][emoji1787]
 
Waafghanistan hawataki demokrasia,kama wangekuwa wanataka demokrasia wasingewaachia watalbani wachukue nchi kizembe vile, jeshi linaandaliwa zaidi ya miaka kumi halafu linapigwa chini ya wiki mbili
Ndio ujue kulazimishana ni kubaya
 
Kama hawataki demokrasia kwanini wameonekana kukimbilia marekani?
Mamluki ndio wanakimbilia huko, pia ni jambo la kawaida sana raia kukimbilia nchi nyengine, nimeshawahi kuwaona wacanada wanapinga kurudi Uengereza nilipowaukiza wakaniambia wanapenda kuishi Uengereza
 
Fursa za kutafuta maisha, ukumbuke ya kwamba Taliban hadi kufikia hapo walipewa support kubwa Sana na wananchi wa Afghanistan, sasa Kama wangekuwa wanataka demokrasia wangewapiga Vita
 
Siyo mamluki waarabu wengi hawapendi hayo masheria zao za kikupambuvu hasa hao Taliban ndio maana raia wanakimbia maana wanajua kitakachotokea.
 
Sasa inakuwaje wanawapa support halafu wakimbie tena?
 
Siyo mamluki waarabu wengi hawapendi hayo masheria zao za kikupambuvu hasa hao Taliban ndio maana raia wanakimbia maana wanajua kitakachotokea.
Kumbe naongea na kilaza, waarabu hapo wameingiaje, kwahio kwakua wazungu wengi ni mashoga na ww ni shoga kwa sababu unafuata dini yao ??
 
Sasa ishu ya ushoga imetokeaje Hapa kama wewe siyo mjinga?? Mawazo ya ushoga yametawala akili yako muda wote unauwaza tu..
 
Back
Top Bottom