Mimi ni mgeni hapa JF

Ndugu mleta mada naona umekutana na watu wamekuchangamsha kidogo,hilo tatizo pamoja na sababu nyingine pia husababishwa na kupiga punyeto kwa muda mrefu so kama unafanya hii kitu acha.

Watakuja wengine kukushauri zaidi vuta subira
 
hamna source nyingine ya Hilo tatizo tofauti na punyeto (masturbation)
 
Tusimkirimu hivi mgeniiii. Tumsaidie katika haja yake.

Mkuu hiyo ni changamoto mpaka sasa haijulikani rasmi inasababishwa na nn japo wengi husema inatokana na madhara ya kujichua kwa muda mrefu. Kuathirika kisaikolojia kutokana na kutizama video za utupu kwa muda. Pia kubwa ni lishe zisizotosheleza mwili hasa virutubisho vyenye kuimarisha misuli

Ufumbunzi wa kitaalamu mm siko nao ila kuna huu ambao mara nyingi hushauriwa.
Ulaji wa kuzingatia upatikanaji wa virutubisho vyote au vingi.
Kufanya mazoezi. Baadhi ya wataalam wanashauri kegel maana wanasema zoez hili linaimarisha misuli
Kuacha kujichua

Kupata mtaalam wa maswala ya afya ya uzazi na kumwelezea atakuwa na ufumbuzi mzuri zaid
 
Thanks [emoji122]
 
but kegel ni mazoezi ya Aina gani...?
 
Sisi tinawaza bandari yetu kupewa muarabu bure wewe tinawaza ngono tu. Hiyo simu mrudishie dadako upesi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…