Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado haujakomaa kujiunga JF.Maswali kidogo tu unachanganyikiwa? How can you be entitled as a GT?Maswali niliyo ulizwa ni mengi sijajua ni Lipi la kujibu
Ni kweri bado ni mgeniBado haujakomaa kujiunga JF.Maswali kidogo tu unachanganyikiwa? How can you be entitled as a GT?
Nampima afya ya akili.Asijekuwa ni mteja wa "Milembe Resorts"!But why 🤣🤣🙌
Ndiyo uvunje jicho lako ili uwe chongo kama wengine.Ni kweri bado ni mgeni
hamna source nyingine ya Hilo tatizo tofauti na punyeto (masturbation)Ndugu mleta mada naona umekutana na watu wamekuchangamsha kidogo,hilo tatizo pamoja na sababu nyingine pia husababishwa na kupiga punyeto kwa muda mrefu so kama unafanya hii kitu acha.
Watakuja wengine kukushauri zaidi vuta subira
[emoji25]Ndiyo uvunje jicho lako ili uwe chongo kama wengine.
Hebu weka picha yako ili tuoanishe uhalali wa majibu yako kulinganisha na ukinzani wa uhalisia.hamna source nyingine ya Hilo tatizo tofauti na punyeto (masturbation)
[emoji33]Hebu weka picha yako ili tuoanishe uhalali wa majibu yako kulinganisha na ukinzani wa uhalisia.
Yuko serious sana na maisha, huku patamshindaNampima afya ya akili.Asijekuwa ni mteja wa "Milembe Resorts"!
Thanks [emoji122]Tusimkirimu hivi mgeniiii. Tumsaidie katika haja yake.
Mkuu hiyo ni changamoto mpaka sasa haijulikani rasmi inasababishwa na nn japo wengi husema inatokana na madhara ya kujichua kwa muda mrefu. Kuathirika kisaikolojia kutokana na kutizama video za utupu kwa muda. Pia kubwa ni lishe zisizotosheleza mwili hasa virutubisho vyenye kuimarisha misuli
Ufumbunzi wa kitaalamu mm siko nao ila kuna huu ambao mara nyingi hushauriwa.
Ulaji wa kuzingatia upatikanaji wa virutubisho vyote au vingi.
Kufanya mazoezi. Baadhi ya wataalam wanashauri kegel maana wanasema zoez hili linaimarisha misuli
Kuacha kujichua
Kupata mtaalam wa maswala ya afya ya uzazi na kumwelezea atakuwa na ufumbuzi mzuri zaid
but kegel ni mazoezi ya Aina gani...?Tusimkirimu hivi mgeniiii. Tumsaidie katika haja yake.
Mkuu hiyo ni changamoto mpaka sasa haijulikani rasmi inasababishwa na nn japo wengi husema inatokana na madhara ya kujichua kwa muda mrefu. Kuathirika kisaikolojia kutokana na kutizama video za utupu kwa muda. Pia kubwa ni lishe zisizotosheleza mwili hasa virutubisho vyenye kuimarisha misuli
Ufumbunzi wa kitaalamu mm siko nao ila kuna huu ambao mara nyingi hushauriwa.
Ulaji wa kuzingatia upatikanaji wa virutubisho vyote au vingi.
Kufanya mazoezi. Baadhi ya wataalam wanashauri kegel maana wanasema zoez hili linaimarisha misuli
Kuacha kujichua
Kupata mtaalam wa maswala ya afya ya uzazi na kumwelezea atakuwa na ufumbuzi mzuri zaid
Kwa hiyo umeapa kuacha punyeto?Thanks [emoji122]
sio kwamba Leo ndiyo nimeapa nilisha fanya ivyo kablaKwa hiyo umeapa kuacha punyeto?
Tafuta mtandaon utaona maana hayo mazoez yanaoneshwa namna ya kufanyabut kegel ni mazoezi ya Aina gani...?
Sawa nimekuelewaTafuta mtandaon utaona maana hayo mazoez yanaoneshwa namna ya kufanya
ThanksKila la kheri...
Sisi tinawaza bandari yetu kupewa muarabu bure wewe tinawaza ngono tu. Hiyo simu mrudishie dadako upesiNaomba Kuliza pia Kwa ane elewa naitaji ushauri tatizo la kuwahi kumaliza tendo la ndoa husababishwa na nini na suluhisho lake pia tuseme round ya Kwanza unaweza kuwahi ukasema ujipange upya Kwa round ya pili lakini pia na ya pili inakua hivyo hivyo unatumia dakika moja hivyo shida inakua nini