Mimi ni Mhandisi wa Mawasiliano NASA, uliza swali lolote utajibiwa

ni kweli watu wakinyanduana kwenye zero gravity mwanamke hawezi kupata mimba..?
kama ni kweli je,ni kwanini..??

pili hili nitakupapatua kwa kiingilishi maana kwa kiswahili nitashindwa kuliuliza..
as Albert Einstein explained about gravity that it's the curvature of space time due to the presence of masses objects like earth,but why when we go outside we don't feel it...?
 
Zile habari kuwa wafanyakazi wote wa NASA Mnaliwa kinyeo ni zakweli,na Ile video iliyovuja haikuwa yako??

Kama sio wewe uliyekuwa ukiliwa kwenye Ile video type ushahidi
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ MAWEED
Hapana chezea wewe.
Alafu unauliza upo serious kabisa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kwanini safari ya kwenda mwezini tena imekuwa ngumu kuliko kwenda Mars japokuwa mwezi uko karibu zaidi?
safari ya kwanza ilikuwa ni kushinda mbio za nani wa kwanza kufika mwezini.

NASA sasa hivi tumeamua kuprioritize international space station, robotic exproliation na other programs.

Pia cost ni kubwa sana nature ya safari ya mwezini issue si umbali tu kuna factors nyingi sana.

Lastly, sasa hivi kwenda mwezini ni more of a prestigious trip kuliko faida.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…