PreGE2025 Mimi ni Mke wa Askari lakini kwa hili la Mdude simtaki tena mume wangu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Jumapili ya jana Mei 11, 2025 Viongozi na wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Mbeya wameshiriki ibada maalum ya maombi kumuombea mwanachama na mwanaharakati Mpaluka Saidi Nyagali maarufu kama Mdude ambaye hajulikani alipo tangu alipovamiwa nyumbani kwake Iwambi na kupelekwa kusikojulikana Mei 2, 2025.

Ibada hiyo imefanyika katika moja ya kanisa jijini Mbeya, lakini jina la kanisa hilo limehifadhiwa kwa mujibu wa masharti ya kibali walichopewa.

Baada ya ibada, viongozi na wanachama hao wa CHADEMA walikusanyika katika kambi maalum iliyowekwa kwenye Ofisi za chama hicho Kanda ya Nyasa, wakisisitiza kuwa wanahitaji majibu juu ya kupotea kwa Mdude wakiwa na matumaini ya kumpata akiwa hai, lakini pia wakiwa tayari kukabiliana na ukweli wowote.

Pia, Soma
 
Wewe ni mwanamke malaya
 
nawashauri wananchi wa mkoa wa Mbeya kuishi na watu vizuri kwa heshima na kujiepusha kutumia umaarufu kudhulumu mali au fedha za wengine au kutumia umaarufu kudharau na kutukana matusi mazito mazito hasa watu wasio penda kuongea kwa maneno bali matendo.

hiyo ni muhimu sana.
Vinginevyo tupo pamoja kwenye maombi ya kuombeana kheri 🐒
 
Jumapili ya jana Mei 11, 2025 Viongozi na wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Mbeya wameshiriki ibada maalum ya maombi kumuombea mwanachama na mwanaharakati Mpaluka Saidi Nyagali maarufu kama Mdude ambaye hajulikani alipo tangu alipovamiwa nyumbani kwake Iwambi na kupelekwa kusikojulikana Mei 2, 2025.

Ibada hiyo imefanyika katika moja ya kanisa jijini Mbeya, lakini jina la kanisa hilo limehifadhiwa kwa mujibu wa masharti ya kibali walichopewa.

Baada ya ibada, viongozi na wanachama hao wa CHADEMA walikusanyika katika kambi maalum iliyowekwa kwenye Ofisi za chama hicho Kanda ya Nyasa, wakisisitiza kuwa wanahitaji majibu juu ya kupotea kwa Mdude wakiwa na matumaini ya kumpata akiwa hai, lakini pia wakiwa tayari kukabiliana na ukweli wowote.
Duh,
Watekaji/wauaji na wanaowatuma wakubali tu kuwa Mbeya siyo shamba la bibi
 
Hoja yake ina mashiko
Wewe ni mwanamke malaya
Wewe ni mwanamke malaya

Hata Kama kweli ni Malaya Kama ulivyoeleza, lakini ukweli mchungu unabaki kuwa Hoja yake ina mashiko.

Hata saa mbovu wakati mwingine huwa inasema ukweli!
 
Ibada hiyo imefanyika katika moja ya kanisa jijini Mbeya, lakini jina la kanisa hilo limehifadhiwa kwa mujibu wa masharti ya kibali walichopewa.
Chadema mwenzio alilianika jina ni kanisa katoliki la Simike
 
Ila CHADEMA wanajua kutengeneza Scene acha tu. Ila Huwa wanafeli kwenye muendelezo!
 
Kazi hizo unashakizwa kama mbwa wala hautumii akili ya kufikria kuna hawa wanaojipw mamlaka ya kutesa raia kwa kuwarukisha kichura ,ipo siku nitakufa na mtu hata awe na vyeo kama sahani ya bati.
 
Back
Top Bottom