PreGE2025 Mimi ni Mke wa Askari lakini kwa hili la Mdude simtaki tena mume wangu

PreGE2025 Mimi ni Mke wa Askari lakini kwa hili la Mdude simtaki tena mume wangu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Nimekuwa na uchumba na binti ambaye yupo mafunzo ya upolisi, aisee kuanzia sasa hivi, Selina mahali popote ulipo, tafuta mchumba mwingine atakayekubaliana na hizo laana zenu
 
Huyo mama namjua hata alipokuwa akikaa na huyo mumewe. Wameachana kitambo but kwenye ile video eti anasema ameachana na jamaa kwasababu ni polisi .wanawake muache unafiki.
 
Jumapili ya jana Mei 11, 2025 Viongozi na wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Mbeya wameshiriki ibada maalum ya maombi kumuombea mwanachama na mwanaharakati Mpaluka Saidi Nyagali maarufu kama Mdude ambaye hajulikani alipo tangu alipovamiwa nyumbani kwake Iwambi na kupelekwa kusikojulikana Mei 2, 2025.

Ibada hiyo imefanyika katika moja ya kanisa jijini Mbeya, lakini jina la kanisa hilo limehifadhiwa kwa mujibu wa masharti ya kibali walichopewa.

Baada ya ibada, viongozi na wanachama hao wa CHADEMA walikusanyika katika kambi maalum iliyowekwa kwenye Ofisi za chama hicho Kanda ya Nyasa, wakisisitiza kuwa wanahitaji majibu juu ya kupotea kwa Mdude wakiwa na matumaini ya kumpata akiwa hai, lakini pia wakiwa tayari kukabiliana na ukweli wowote.

Pia, Soma
Ningelikuwa mme wake, ningelimsindikiza kwa matarumbeta huko anakokwenda huku nikimwagia na maua!
 
Mama apewe ulinzi
20241003_110851.jpg
 
Back
Top Bottom