Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 21,572
- 15,610
OKCCM mlihusika 100 kwa 100
OKCCM mlihusika 100 kwa 100
Mkishapata michepuko yenye hela utasikia Mara askari, oooh kibamia, ananuka mdomo nk nk.Jumapili ya jana Mei 11, 2025 Viongozi na wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Mbeya wameshiriki ibada maalum ya maombi kumuombea mwanachama na mwanaharakati Mpaluka Saidi Nyagali maarufu kama Mdude ambaye hajulikani alipo tangu alipovamiwa nyumbani kwake Iwambi na kupelekwa kusikojulikana Mei 2, 2025.
Ibada hiyo imefanyika katika moja ya kanisa jijini Mbeya, lakini jina la kanisa hilo limehifadhiwa kwa mujibu wa masharti ya kibali walichopewa.
Baada ya ibada, viongozi na wanachama hao wa CHADEMA walikusanyika katika kambi maalum iliyowekwa kwenye Ofisi za chama hicho Kanda ya Nyasa, wakisisitiza kuwa wanahitaji majibu juu ya kupotea kwa Mdude wakiwa na matumaini ya kumpata akiwa hai, lakini pia wakiwa tayari kukabiliana na ukweli wowote.
Pia, Soma
Haya maneno si ya MTU mwenye wazimu.Tutafakari kwa faida ya woteJumapili ya jana Mei 11, 2025 Viongozi na wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Mbeya wameshiriki ibada maalum ya maombi kumuombea mwanachama na mwanaharakati Mpaluka Saidi Nyagali maarufu kama Mdude ambaye hajulikani alipo tangu alipovamiwa nyumbani kwake Iwambi na kupelekwa kusikojulikana Mei 2, 2025.