Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Wewe ni mwanamke malayaJumapili ya jana Mei 11, 2025 Viongozi na wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Mbeya wameshiriki ibada maalum ya maombi kumuombea mwanachama na mwanaharakati Mpaluka Saidi Nyagali maarufu kama Mdude ambaye hajulikani alipo tangu alipovamiwa nyumbani kwake Iwambi na kupelekwa kusikojulikana Mei 2, 2025.
Ibada hiyo imefanyika katika moja ya kanisa jijini Mbeya, lakini jina la kanisa hilo limehifadhiwa kwa mujibu wa masharti ya kibali walichopewa.
Baada ya ibada, viongozi na wanachama hao wa CHADEMA walikusanyika katika kambi maalum iliyowekwa kwenye Ofisi za chama hicho Kanda ya Nyasa, wakisisitiza kuwa wanahitaji majibu juu ya kupotea kwa Mdude wakiwa na matumaini ya kumpata akiwa hai, lakini pia wakiwa tayari kukabiliana na ukweli wowote.
Kuishi na muuaji nayo yataka moyo.Alimchoka mumewe uyo si bure
nawashauri wananchi wa mkoa wa Mbeya kuishi na watu vizuri kwa heshima na kujiepusha kutumia umaarufu kudhulumu mali au fedha za wengine au kutumia umaarufu kudharau na kutukana matusi mazito mazito hasa watu wasio penda kuongea kwa maneno bali matendo.Jumapili ya jana Mei 11, 2025 Viongozi na wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Mbeya wameshiriki ibada maalum ya maombi kumuombea mwanachama na mwanaharakati Mpaluka Saidi Nyagali maarufu kama Mdude ambaye hajulikani alipo tangu alipovamiwa nyumbani kwake Iwambi na kupelekwa kusikojulikana Mei 2, 2025.
Ibada hiyo imefanyika katika moja ya kanisa jijini Mbeya, lakini jina la kanisa hilo limehifadhiwa kwa mujibu wa masharti ya kibali walichopewa.
Baada ya ibada, viongozi na wanachama hao wa CHADEMA walikusanyika katika kambi maalum iliyowekwa kwenye Ofisi za chama hicho Kanda ya Nyasa, wakisisitiza kuwa wanahitaji majibu juu ya kupotea kwa Mdude wakiwa na matumaini ya kumpata akiwa hai, lakini pia wakiwa tayari kukabiliana na ukweli wowote.
Ndoa ilishaisha hiyo
Ila ukimsikiliza vizuri ameongea vitu vya maana sana
Duh,Jumapili ya jana Mei 11, 2025 Viongozi na wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Mbeya wameshiriki ibada maalum ya maombi kumuombea mwanachama na mwanaharakati Mpaluka Saidi Nyagali maarufu kama Mdude ambaye hajulikani alipo tangu alipovamiwa nyumbani kwake Iwambi na kupelekwa kusikojulikana Mei 2, 2025.
Ibada hiyo imefanyika katika moja ya kanisa jijini Mbeya, lakini jina la kanisa hilo limehifadhiwa kwa mujibu wa masharti ya kibali walichopewa.
Baada ya ibada, viongozi na wanachama hao wa CHADEMA walikusanyika katika kambi maalum iliyowekwa kwenye Ofisi za chama hicho Kanda ya Nyasa, wakisisitiza kuwa wanahitaji majibu juu ya kupotea kwa Mdude wakiwa na matumaini ya kumpata akiwa hai, lakini pia wakiwa tayari kukabiliana na ukweli wowote.
Huo ushauri ungempa Tulia Ackson..nawashauri wananchi wa mkoa wa Mbeya kuishi na watu vizuri kwa heshima na kujiepusha kutumia umaarufu kudhulumu mali au fedha za wengine au kutumia umaarufu kudharau na kutukana matusi mazito mazito hasa watu wasio penda kuongea kwa maneno bali matendo.
Jumapili ya jana Mei 11, 2025 Viongozi na wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Mbeya wameshiriki ibada maalum ya maombi kumuombea mwanachama na mwanaharakati Mpaluka Saidi Nyagali maarufu kama Mdude ambaye hajulikani alipo tangu alipovamiwa nyumbani kwake Iwambi na kupelekwa kusikojulikana Mei 2, 2025.
Ibada hiyo imefanyika katika moja ya kanisa jijini Mbeya, lakini jina la kanisa hilo limehifadhiwa kwa mujibu wa masharti ya kibali walichopewa.
Baada ya ibada, viongozi na wanachama hao wa CHADEMA walikusanyika katika kambi maalum iliyowekwa kwenye Ofisi za chama hicho Kanda ya Nyasa, wakisisitiza kuwa wanahitaji majibu juu ya kupotea kwa Mdude wakiwa na matumaini ya kumpata akiwa hai, lakini pia wakiwa tayari kukabiliana na ukweli wowote.
Wewe ni mwanamke malaya
Wewe ni mwanamke malaya
Chadema mwenzio alilianika jina ni kanisa katoliki la SimikeIbada hiyo imefanyika katika moja ya kanisa jijini Mbeya, lakini jina la kanisa hilo limehifadhiwa kwa mujibu wa masharti ya kibali walichopewa.