PreGE2025 Mimi ni Mke wa Askari lakini kwa hili la Mdude simtaki tena mume wangu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Nimekuwa na uchumba na binti ambaye yupo mafunzo ya upolisi, aisee kuanzia sasa hivi, Selina mahali popote ulipo, tafuta mchumba mwingine atakayekubaliana na hizo laana zenu
 
Huyo mama namjua hata alipokuwa akikaa na huyo mumewe. Wameachana kitambo but kwenye ile video eti anasema ameachana na jamaa kwasababu ni polisi .wanawake muache unafiki.
 
Ningelikuwa mme wake, ningelimsindikiza kwa matarumbeta huko anakokwenda huku nikimwagia na maua!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…