Mimi ni Mkristo mlokole, nimeanza kukosa Imani na ukristo nahisi Uislam ndiyo dini ya kweli

Bora hata na wewe umemgundua mapema. Huyu ni mvaa kobazi. Ameamua kutumia njia ya kizamani kuja kuwaharibia watu wa imani nyingine.
Aliyo yazungumza yapo au hayapo???tofauti na hapo utakuwa kundi lilelile la upumbavu umeshimdwa kuji
 
Kajifunze ukristo halisi, Imani katoliki. Hutojutia.
 
Kijibwa cha mudi kinaleta papara hapa na kujifanya kipo chachi.
Umeshindwa kupinga hoja zake unabaki unabwabwaja,kuna muda nikiwa nyumbani naweka zile channel zenu aisee mpaka unajiuliza hii mijitu ina akili kweli,yaan mtu anatoa ushuhuda baada ya kuombewa karudi nyumban kalikuta gari limepaki uwani,yaan unawaza mpaka unaishiwa nguvu huku mchungaji likisema pigeni makofi na ilivyo mipumbavu kanisa zima inapiga makofi
 
Nguvu itokanayo na kristo haichunguziki na ni ngumu kuitolea logic ya kimtazamo coz Haina formula maalum ya kumfundishia mtu!
Hapa ndo panapokuwa pagumu kueleweka kwa kweli. Ikiwa kinachojenga imani ni nguvu isiyoonekana na tunakubaliana kuwa si kila mtu amebarikiwa kuwa na hiyo nguvu ya kiimani then iweje wasiokuwa nayo wakaadhibiwe kwa makosa yaliyokuwa nje ya uwezo wao?
 
Siku nikiacha kuamini katika dhehebu langu KKKT achaia mbali ukristo sitajihusisha na dini yoyote na ntaamini mungu hayupo
 
Dini yako uhuru wako hakuna anayeweza kukuzui KUBADILI, mimi nilikua muislam nikabadili sasa Mkristo mkatoliki sioni shida kuona watu wanafanya maamuzi.
 
Ibara ya 19 (1) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 na marekebisho yake yanakupa uhuru wa kubadili dini uitakayo. Kwa hiyo uko uhuru kubadili mkuu.
 
Inawezekana ukawa mkristo ila sio mkristo wa kweli...unakuwaje mkristo wa kweli wakati huna Imani na huo ukristo...wakati huo huo unaimani na Dini nyingine ni vizuri usiyumbe kiimani ni bora huenda ambako unaimani nako pia.
 
Mbinguni inaenda roho inayoamini, siyo mavazi wala kanisa. Ukiamini basi hapo umemaliza kila kitu. Wewe ni mfano wa wale kizazi cha nyoka yaani mpaka uone ndiyo uamini wakati inaanza kwenye kuamini ndiyo uone matendo makuu ya Mungu. Pia usichanganye uwezo waliotupa Mungu Vs kuamini. Usije kufuata dini kisa kuna mchungaji anafanya miujiza, hapana haitakusaidia kabisa hata kidogo na utapigwa na mapepo balaa mwishoe utaenda kwa Islam siku ukifa wanakutia bisu la shingo na ndugu zako hawatakuwa na nafasi. Kikubwa Yesu Kristu ndiye njia na ndiyo maana huwezi sikia mtu anatoa jini/pepo kukemea kwa jina lingine zaidi ya jina la Yesu Kristu!
 
Haihitaji akili ya form 4 kungamua kwamba HAKIKA DINI MBELE YA ALLAH NI UISLAMU
Angalia ndoa za KIISLAMU
Angalia utaratibu wa FUNGA ndoa utaratibu wa Kutoa Zaid ya mke mmoja utaratibu wa talaqa utaratibu wa Mirathi utaratibu wa maziko
Nakadhalika utagundua kitu
 
aisee mpaka unajiuliza hii mijitu ina akili kweli,
Ngawira ni mali ya uwizi kwenye vita , yani mnavamia mji mkisha ua watu mali zao mnazichukua na nusu alikuwa anapewa Muhammad na Nusu anapewa Allah

Jibu hili swali
Tunajua Mali za wizi (ngawira) nusu ya Muhammad Ali spend na mtoto wa miaka 6 Aisha sasa nusu ya Allah ,Allah aliipataje ? au jibril alikuwa anampelekea?

Koran8:1. Wanakuuliza juu ya Ngawira. Sema: Ngawira ni ya Allah na Muhammad.....


Kuna mda natamani waislamu niwapige makofi ya uso , huyu mudi aliwavhezea sana
 
Kwenye uislam hakuna neno ndoa ila Kuna nikah Yani kupiga mbupu

Kuoa zaidi ya mke mmoja ni tamaa za mwili ambazo ndio mudi akatumia kiwatamanisha kwamba peponi mtapewa wanawake 72 akasahau wanawake wao watapewa Nini?

Talaka ni njia moja ya umalaya ,ilifika mda mpaka mudi akaweka Aya kwenye Koran yake kila mwanamke akajitoe kwake awapige mbupu bila ndoa akasema mpaka house girl apigwe mbupu bila ndoa

Maziko ni utaratibu wa jangwani kwenye joto Kali na hakukia na technology ya kuhifadhi mwili

Mwisho uislam maana yake ni ku surrender na sio imani
 
Achana na dini ni ujinga kwa karne hii
Hakika.
Dini inajaza watu hofu za kijinga.

Inawafanya wasitafute suluhu za changamoto halisi za maisha na kubaki wakitegemea miujiza iwatokee.
 
Sijasoma hata ulichoandika maana ni upuuzi mtupu! Hivi wavaa kobazi hamuwezi kuishi na imani zenu bila kukashifu imani za wenzenu (hasa ukristo)!?
 
Nami nakuunga mkono ila shingo upande kwa kuelekea Uislamu. Kwangu mimi Ukristu ni Uyahudi na Uislamu ni Uarabu. Zote ni imani za kigeni, tunaaminishwa tusichokijua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…