- Thread starter
- #21
Unazani ukiwaambia Wazazi watakuelewa kweliYaani ushauri wa kuoa nani unakuja utafuta JF!
Huna wazazi au ndugu wa kuwashirikiaha jambo muhimu kama hili?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unazani ukiwaambia Wazazi watakuelewa kweliYaani ushauri wa kuoa nani unakuja utafuta JF!
Huna wazazi au ndugu wa kuwashirikiaha jambo muhimu kama hili?
Wewe Kasilimu uoe wanne kabisa. Hivi unafikiri kulea nyumba zaidi ya moja na familia hizo ziishi maisha poa ni mchezo siyo? Oa hata 10Habari wanajf
Mimi ni mkristo Moja Kati ya ndoto zangu ni kuwa na wake wawili mmoja muislamu mwingine mkristo.Hii kitu imekuwa ikija kichwani hivi karibuni kwasababu nimekuwa na bahati ya kupata mabinti wa kislamu Tena unakuta ni wife material wanastahili kuwekwa ndani na nimekuwa nikidumu nao kwenye mahusiano kwa muda mrefu shida inakuja kwa Wazazi wao ili nioe binti zao ni lazima eti niibadilishe dini kwanza sasa hiki kitu sikitaki.kwanini nataka mmoja awe wa kikristo mwingine muislamu? Kwababu ili kutocomplicate vitu especially kwa upande wa mke wa kislamu abakie na dini yake na watoto nitakayozaa nae wafate dini ya mama yao hapo nitakuwa nimewaridhisha Wazazi wake
Naombeni ushauri nifanyeje nioe ndoa ya namna hii ya mke mmoja wa kikristo mwingine wa kislamu
Ndoto zako si mbayaSijafanya maamuzi bado au ujaelewa uzi wangu nina ndoto hizo sio kwamba nimeoa
Unazani ukiwaambia Wazazi watakuelewa kweli
Wewe sio mkristo. Wewe unadhani kukulia familia ya kikristo au kwenda kanisani ndio ukristo?Habari wanajf
Mimi ni mkristo moja kati ya ndoto zangu ni kuwa na wake wawili mmoja muislamu mwingine mkristo. Hii kitu imekuwa ikija kichwani hivi karibuni kwasababu nimekuwa na bahati ya kupata mabinti wa kislamu tena unakuta ni wife material wanastahili kuwekwa ndani na nimekuwa nikidumu nao kwenye mahusiano kwa muda mrefu.
Shida inakuja kwa Wazazi wao ili nioe binti zao ni lazima eti niibadilishe dini kwanza sasa hiki kitu sikitaki. Kwanini nataka mmoja awe wa kikristo mwingine muislamu? Kwababu ili kutocomplicate vitu especially kwa upande wa mke wa kislamu abakie na dini yake na watoto nitakaozaa nae wafate dini ya mama yao hapo nitakuwa nimewaridhisha Wazazi wake.
Naombeni ushauri nifanyeje nioe ndoa ya namna hii ya mke mmoja wa kikristo mwingine wa kislamu
Wewe hufahamu chochote kuhusu ukristo. Kwenda kanisani au kuwa kiongozi wa dhehebu hakukufanyi kuwa mkristo.Kuna Wakristo kadhaa wana wake zaid ya mmoja cha msingi uwe na msimamo
Hayati Edward Moringe Sokoine alikuwa Mkristo mzuri tu na alikuwa na wake wawili na hata alipokufa alizikwa kwa heshma zote za kanisa
Hayati Samwel Sitta sio tu alikuwa Mkristo mzuri bali alikuwa ni mmoja wa Wazee wa kanisa lakin alikuwa na Wake wawili na hata alipokufa alizikwa kwa heshma zote za imani yake mmoja unaoa kanisani. mwingine bomani au kimila
Kuna Mzee mwenzangu wa kingoni yeye ana wake watatu na ni mkristo na kanisani kama kawaida na hata zile Jumuiya za kila Jumamosi asubuhi zinazunguka kwa wake zake wote watatu ila Ngawira kwa maana ya rasilimali fedha anazo za kutosha
Sawa nimekuelewa Mkristo mzawa, halisi original.Wewe hufahamu chochote kuhusu ukristo. Kwenda kanisani au kuwa kiongozi wa dhehebu hakukufanyi kuwa mkristo.
Hilo ni pepo la Ngono linakusumbua blood, Mkristo halisi Anayeongozwa na Roho wa Mungu Hawezi kuoa wake wawili au zaidi.Habari wanajf
Mimi ni mkristo moja kati ya ndoto zangu ni kuwa na wake wawili mmoja muislamu mwingine mkristo. Hii kitu imekuwa ikija kichwani hivi karibuni kwasababu nimekuwa na bahati ya kupata mabinti wa kislamu tena unakuta ni wife material wanastahili kuwekwa ndani na nimekuwa nikidumu nao kwenye mahusiano kwa muda mrefu.
Shida inakuja kwa Wazazi wao ili nioe binti zao ni lazima eti niibadilishe dini kwanza sasa hiki kitu sikitaki. Kwanini nataka mmoja awe wa kikristo mwingine muislamu? Kwababu ili kutocomplicate vitu especially kwa upande wa mke wa kislamu abakie na dini yake na watoto nitakaozaa nae wafate dini ya mama yao hapo nitakuwa nimewaridhisha Wazazi wake.
Naombeni ushauri nifanyeje nioe ndoa ya namna hii ya mke mmoja wa kikristo mwingine wa kislamu
Sio kwasababu ya ngono la hasha! Mke mmoja imekuwa kama pasua kichwa na akijua ndio hivyo hawezi kuachwa basi shida inazidi kuwa kubwa lakini kwa mtazamo wangu wakiwa wawili kuna heshima inakujaHilo ni pepo la Ngono linakusumbua blood, Mkristo halisi Anayeongozwa na Roho wa Mungu Hawezi kuoa wake wawili au zaidi.
Mungu Alisema Atamfanyia mwanaume MSAIDIZI na Si WASAIDIZI.........
USHAURI: Omba Mungu akupatie MSAIDIZI wa kufanana naye au ukiona ukristo haukufaii basi Silimu uwe Muislam sababu Huko Hata Wanne unaruhusiwa Ni wewe tu na Uwezo wako.....So Hilo Wazo lakuoa wake wawili wa Dini Tofauti mimi sikushauri kuna Mahali UTAKWAMA,, chagua moja kusuka au kunyoa usiwe Vugu Vugu.
Miaka 2000 iliopitaSince when?
Mtoa mada ni mfuasi wa mudiHilo ni pepo la Ngono linakusumbua blood, Mkristo halisi Anayeongozwa na Roho wa Mungu Hawezi kuoa wake wawili au zaidi.
Mungu Alisema Atamfanyia mwanaume MSAIDIZI na Si WASAIDIZI.........
USHAURI: Omba Mungu akupatie MSAIDIZI wa kufanana naye au ukiona ukristo haukufaii basi Silimu uwe Muislam sababu Huko Hata Wanne unaruhusiwa Ni wewe tu na Uwezo wako.....So Hilo Wazo lakuoa wake wawili wa Dini Tofauti mimi sikushauri kuna Mahali UTAKWAMA,, chagua moja kusuka au kunyoa usiwe Vugu Vugu.
Ebu niwie radhi sio muislamu na wala siipendi dini ya kislamu lakini navutiwa sana na mademu wa kislamuMtoa mada ni mfuasi wa mudi
Ziko nyuzi nyingi anaonyeshga misimamo yake
Hakika.Wewe siyo M-kristo ni M-nyege, yaani mfuasi wa nyege
Umemsahau Magufuli alikuwa wake wawiliKuna Wakristo kadhaa wana wake zaid ya mmoja cha msingi uwe na msimamo