Mimi ni Mkristo nataka kufunga ndoa ya mitala nafanyaje?

Mimi ni Mkristo nataka kufunga ndoa ya mitala nafanyaje?

Sio kwasababu ya ngono la hasha! Mke mmoja imekuwa kama pasua kichwa na akijua ndio hivyo hawezi kuachwa basi shida inazidi kuwa kubwa lakini kwa mtazamo wangu wakiwa wawili kuna heshima inakuja
Sababu ya kishamba sababu Familia ya Mke na Mme mmoja ndo zinadumu hata Mifano ipo Mingi Duniani wengine hadi wanazeeka pamoja,,Pia unaweza ukawa na wawili na wakakusumbua vilevile au UKAFELI/ UKATESEKA Kuwahudumia,, Tena Utajuta kwann ulioa wawili ....Ndo Maana Nimekwambia Omba Mungu Akupatie mke anayekufaa na Kwa Imani kabisa utapata MSAIDIZI Wako Ambaye Mungu amekuandalia.


kama unapenda mademu wa kiislamu badili dini uwafate Ukimchoka huyu unaenda kwa huyu hadi wanne ni wewe tuu sababu kwa Pepo ulilonalo hata wawili pia hawatakutosha.......
 
Back
Top Bottom