Mimi ni Mkristo nataka kufunga ndoa ya mitala nafanyaje?

Yaani ushauri wa kuoa nani unakuja utafuta JF!

Huna wazazi au ndugu wa kuwashirikiaha jambo muhimu kama hili?
Unazani ukiwaambia Wazazi watakuelewa kweli
 
Wewe Kasilimu uoe wanne kabisa. Hivi unafikiri kulea nyumba zaidi ya moja na familia hizo ziishi maisha poa ni mchezo siyo? Oa hata 10
 
Wewe sio mkristo. Wewe unadhani kukulia familia ya kikristo au kwenda kanisani ndio ukristo?
 
Wewe hufahamu chochote kuhusu ukristo. Kwenda kanisani au kuwa kiongozi wa dhehebu hakukufanyi kuwa mkristo.
 
Hilo ni pepo la Ngono linakusumbua blood, Mkristo halisi Anayeongozwa na Roho wa Mungu Hawezi kuoa wake wawili au zaidi.

Mungu Alisema Atamfanyia mwanaume MSAIDIZI na Si WASAIDIZI.........

USHAURI: Omba Mungu akupatie MSAIDIZI wa kufanana naye au ukiona ukristo haukufaii basi Silimu uwe Muislam sababu Huko Hata Wanne unaruhusiwa Ni wewe tu na Uwezo wako.....So Hilo Wazo lakuoa wake wawili wa Dini Tofauti mimi sikushauri kuna Mahali UTAKWAMA,, chagua moja kusuka au kunyoa usiwe Vugu Vugu.
 
Sio kwasababu ya ngono la hasha! Mke mmoja imekuwa kama pasua kichwa na akijua ndio hivyo hawezi kuachwa basi shida inazidi kuwa kubwa lakini kwa mtazamo wangu wakiwa wawili kuna heshima inakuja
 
Mtoa mada ni mfuasi wa mudi
Ziko nyuzi nyingi anaonyeshga misimamo yake
 
Mtoa mada ni mfuasi wa mudi
Ziko nyuzi nyingi anaonyeshga misimamo yake
Ebu niwie radhi sio muislamu na wala siipendi dini ya kislamu lakini navutiwa sana na mademu wa kislamu
 
Kwenye Biblia hatuna Andiko la hivyo! Labda Uhamie huko kwingine,Usituchoshe hapa na Tamaa zako...
 
Umemsahau Magufuli alikuwa wake wawili
 
Kumbe unandoto basi endelea kuota mana wewe sio mkristo.
I hope hujakulia familia ya baba na mama yenye utulivu, pole
 
Mzee una nguvu za kiume za kutosha hao wake wawili?na uchumi je unarihusu?usije ukaoa halafu ukaanza kusaidiwa na wajanja mwisho yakatokea majanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…