Morning Glory1
JF-Expert Member
- Oct 23, 2019
- 237
- 381
Nimezaliwa kwenye Ukristu na nimekulia kwenye imani ya kikristu ila baada ya kupata akili nimegundua kua Uislamu ndio dini ya haki
Ukristu umekua kama kichwa cha mwendawazimu kila kanjanja anaingiza maigizo yake ukristu umekua dini ya ajabu mpk inafikia hatua mtu unaona aibu kujiita mkristu ni vituko kila kukicha.
Tumeshuudia pastor anaogesha wanawake madhabahuni...manabii wanatabiri mambo ya uongo...juzi tumeshuhudia wachungaji wanalambana ndimi...ni mambo machafu yanayoendelea kwenye Ukristu na mbaya zaidi Wakristu wenyewe hawana uchungu na dini yao wao wanachoamini ni kua Mungu mwenyewe atajipigania na dini yake.mnaacha kukemea uchafu mungu aje akemee kwa niaba yenu?!
Uislamu ndo dini ya haki na wenye dini yao wanajua kukemea mambo ambao yako kinyume na dini yao hata kama yapo ndani ya utandawazi lakini ni lazima yawe yanaendana na mafundisho ya mtume wao.
Anachoamini Muislamu wa Tanzania ndo hiko hiko anachoamini muislamu alieko Kenya ..Nigeria..Saudia na kwingineko...kwa mfano Muislamu anaetoka saudia leo hii anaweza kuingia kwenye msikiti wowote wa hapa Tanzania na akaswali bila tatizo lolote kwasababu ni dini iliyonyooka na aina maigizomaigizo tofauti na Ukristo ambao kila mchungaji anataka kubuni la kwake kutoka kwenye kichwa chake
Hatukatai kwamba kuna tofauti zipo za kiimani ndani ya Uislamu lakini tofauti ni za kutafuta kumlingania allah na pia tofauti zao zina hoja ya mafundisho ndani ya quran hadithi na sunnah za mtume wao na hata kama zinaweza kua ni hoja dhaifu ila lengo ni kujenga na kuitafuta kweli lakini sio maigizo ya sisi wakristu ambayo mengine ni kufuru hata mungu mwenyewe akiona anaona aibu
Ingefaa sana kama dunia nzima ingekua na dini moja uislamu naamini maovu yangepungua ulimwenguni kama kuna muislamu atakaesoma hili bango naomba anipe utaratibu wa kuslimu nimechoka na komedi na utapeli wa sisi makafiri
Sijaongea haya kwa ubaya au kutafuta kuleta chuki kwa waislamu na wakristu ila kama wakristu inabidi wajitafakari Ukristu wao unaelekea kubaya. Dini haina fomula maalum kila mtu anatafsiri maandiko kwa namna yake kwa faida yake na wengine kwa ajili ya kupiga hela.