Mimi ni Mkristu ila nimeamua kukiri kwa ridhaa yangu kua Uislamu ndio dini ya haki ya mwenyezi Mungu

Koran ni kakitabu kama kwa kipeperushi , hakuna chochote Cha maana zaidi ya mashahiri tu
Wewe ni chizi tena pro, hakuna kitabu kipo completely kama Quran kariim, hakija acha kitu, kime muelezea mwanadamu in and out,

Bibilia yako haijakufundisha hata namna ya kumchinja mnyama, hata namna ya kuingia chooni, namna ya kula, namna ya ku muingilia mke,
namna ya kujisafisha kwa maji

MTume Muhammad (s.a.w) kafundisha namna ya kulala na akasisitiza sna, na mtu akishtuka ghafla usingizini afanye nini, na kaelezea kwa nini.

Wewe huna hoja labda chuki dhidi ya waislamu hizo unazo na rudia Quran kariim ni kitabu kikamilifu kisichokua na shaka
 
Koran ni kakitabu kama kwa kipeperushi , hakuna chochote Cha maana zaidi ya mashahiri tu
Haya tuambie ukienda chooni kunya bibilia ina kutaka ufanyanye?, njoo na ushahidi from bibilia au kauli ya yesu, au mwanamke aliyetoka kuzaa afanyiwe nini?, huna hoja wewe
 
Mungu ni mmoja,

Ukristo,
Uyahudi,
Uislam na dini zingine,ni njia tu ya kumfikia Mungu mwenye haki.

Yaani umeshuka kwenye Golden deer umeamua kupanda Majinjah kifupi safari yako utafika tu
Imani haiwezi kuwa moja na ktk hizo Imani hazina mungu mmoja.
 
Mijadala ya dini huwa naikwepa sana maana imejikita ktk Imani. Imani zipo tofauti na Imani ndizo zinatengeneza dini.
Hapo umetaja ukristu. Tukianza kwa hilo jina tu kwa imaninyangu tayari kuna utofauti kati ya ukristu na ukristo.
Unazungumzia kupungua kwa maovu. Unaifahamu maovu yanayotokea ktk nchi za kiislamu?

 
Bwana kama wewe unvehesabu maovu yetu nani angesimma?

Nimewapa mchague kati ya mema na mabaya. Uhai na kifo

mwenye shamba atayaacha magugu na ngano vikue pamoja...

Mungu huwanyeeshea mvua waovu na wema...

Hayo na baadhi na manukuu toka biblia. Sasa huyo ni Mungu kaamua kuwaacha watu wachague watakayemtumikia. Wewe mleta mada ni nani ikiwa Mungu keshaweka mkeka mbele yako uamue?

Yani muumini wa kiislam hana uhuru wa kumtumikia Mungu ampendaye. Akitaka kuwa mkristo basi shingo yake halali yao.
Wakati wa mfungo kila kitu kinafichwa ili ukose halafu ufunge bila kupenda. Imani ya jambia. Nenda baba, nenda. Nenda ukaoe wanawali wanne. Nenda na siku ya qiama ukakutane na mabikra 72 na mito ya pombe. Nenda ufike salama. Tuachie ukristu wetu
 
Mwandiko kutoka madrasa huu,hakuna mkristo mpuuzi wa aina yako.
 
Mwandiko kutoka madrasa huu,hakuna mkristo mpuuzi wa aina yako.
 
Eti Mungu ni mmoja, hamna kitu kama hicho. Haiwezekani Mungu huyo huyo awe anaruhusu wakristu kula kitimoto alafu awakataze Waislamu wasile. Ni wewe tu umeamua kwa kutumia u-stupidity wako kuwa muislamu, sisi haituhusu. Kamueleze mkeo
 
Narudia tena koran ni kitabu kidogo kama kipeperushi, hakina kipya zaidi ya majini kuwa waislamu na mambo ya ngono kwa kumpendelea Muhammad
 
Wewe ni chizi tena pro, hakuna kitabu kipo completely kama Quran kariim, hakija acha kitu, kime muelezea mwanadamu in and out,
Ata binadamu alivyo umbwa koran ni kituko tupu

Eti mbegu ya mwanaume unageuka kuwa bonge la damu lililoganda alafu lipo ndani ya mji wa uzazi , alietunga koran alikuwa mjinga wa kutupwa
 
Haya tuambie ukienda chooni kunya bibilia ina kutaka ufanyanye?, njoo na ushahidi from bibilia au kauli ya yesu, au mwanamke aliyetoka kuzaa afanyiwe nini?, huna hoja wewe
Yani mungu wako yupo bize kukwambia ukienda chooni ufanyaje ?
Ndio maana mpaka alifikia akaweka aya wanawake wote waislamu waende kwa Muhammad akawapige machine , alikuwa hana jipya
 
Una elimu gani kuhusu dini?au ukristo wako ni wa Sunday School, kipaimara, mama mchungaji nk? Umesoma theologia? Una, hata shahada ya kwanza yq, kitu chochote, au uzoefu wa kitaa tu,
 
Ikiwa bibilia yako tu huwezi kuielewa uta uelewa uislamu?, uislamu ni mfumo wa Maisha (political, economically, socially, ideological etc) , Islamic is territory
Uislamu ni mfumo wa maisha ya kijinga ambayo mtu asiye na akili kichwani anatakiwa kuyaishi,mfano mzuri ni pale uislamu unaporuhusu mtoto mdogo wa miaka 13 kuolewa na jitu zee kama wewe
 
Haya tuambie ukienda chooni kunya bibilia ina kutaka ufanyanye?, njoo na ushahidi from bibilia au kauli ya yesu, au mwanamke aliyetoka kuzaa afanyiwe nini?, huna hoja wewe
Biblia ina maelekezo kuhusu usafi wa mwili na sheria za kidini zinazohusu choo na mwanamke aliyekujaaliwa mtoto. Hapa kuna maandiko husika:

Ukienda Chooni Kufanya Haja

Biblia inatoa maelekezo ya usafi wa choo, hasa katika Agano la Kale:

Kumbukumbu la Torati 23:12-14
"Nawe utakuwa na mahali nje ya marago, utakapokwenda nje ili kuhitaji. Nawe utakuwa na chombo pamoja na silaha zako; kisha itakuwa, hapo utakapojisaidia nje, utafukua kwa chombo kile, na kugeuka, na kufukia kinyesi chako. Kwa kuwa Bwana, Mungu wako, anatembea kati ya marago yako, apate kukuokoa na kuwatia adui zako mikononi mwako; basi marago yako yatakuwa matakatifu, ili asione chochote kilicho kichafu ndani yako, akaacha kukufuata."


Hili linamaanisha kuwa Waisraeli walihitajika kwenda nje ya kambi, kuchimba shimo, na kufukia kinyesi chao ili kuweka usafi na kuepuka uchafuzi wa mazingira.

Mwanamke Aliyetoka Kujifungua Afanye Nini?

Sheria ya Musa inatoa mwongozo kuhusu mwanamke aliyekujaaliwa mtoto:

Mambo ya Walawi 12:2-5
"Mwanamke atakapozaa mwanamume, atakuwa najisi siku saba... Na katika siku ya nane nyama ya govi ya mtoto itatahiriwa. Kisha atakaa nyumbani mwake muda wa siku thelathini na tatu, akijitakasa damu yake; hatagusa kitu cho chote kitakatifu, wala hatauingia katika mahali patakatifu, hata siku za kujitakasa kwake zitakapotimia. Lakini ikiwa atazaa mwanamke, atakuwa najisi majuma mawili, kama katika unajisi wake wa hedhi, kisha atakaa nyumbani mwake siku sitini na sita, akijitakasa damu yake."

Hili linaonyesha kuwa mwanamke aliyejifungua alitakiwa kufuata muda wa kutengwa kabla ya kushiriki katika ibada.

Je, Yesu Alisema Nini Kuhusu Haya?

Yesu hakutoa mafundisho ya moja kwa moja kuhusu choo au kutengwa kwa wanawake baada ya kujifungua, lakini alifundisha kwamba usafi wa moyo ni muhimu zaidi kuliko sheria za nje:

Mathayo 15:17-20
"Hamwelewi ya kuwa kila kitu kiingiacho kinywani hushushwa tumboni, kisha hutolewa katika choo? Bali yatokayo kinywani hutoka moyoni; nayo ndiyo yamtia mtu unajisi. Maana moyoni hutoka mawazo mabaya, uuaji, uzinzi, uasherati, wivi, ushahidi wa uongo, na matukano; hayo ndiyo yamtiao mtu unajisi; bali kula kwa mikono isiyooshwa hakumtii mtu unajisi."


Hapa, Yesu anaeleza kuwa unajisi wa kweli unatoka moyoni, siyo tu kwenye mwili au sheria za usafi wa nje.

Kwa choo: Agano la Kale linaagiza kufukia kinyesi ili kuweka usafi.

Kwa mwanamke aliyejifungua: Alitakiwa kuwa najisi kwa muda fulani kabla ya kurudi kwenye ibada.

Yesu: Alisisitiza kuwa usafi wa ndani ya moyo ni muhimu zaidi kuliko sheria za nje za usafi.
 
QURAN NI HADITHI NA MASHAIRI YA APOKRIFA

Hoja zako kwamba Biblia haifundishi mambo ya maisha ya kila siku si sahihi, kwa sababu:

Biblia inafundisha jinsi ya kuchinja mnyama (Kumbukumbu 12:21).

Biblia inafundisha usafi wa choo (Kumbukumbu 23:12-14).

Biblia inafundisha kuhusu chakula halali na haramu (Mambo ya Walawi 11).

Biblia inafundisha kuhusu ndoa na tendo la ndoa (1 Wakorintho 7:3-5).

Biblia inafundisha usafi wa maji (Kutoka 30:18-21).

Biblia inafundisha jinsi ya kulala na kutulia (Zaburi 4:8, Mithali 3:24).
 
Wewe hamumjui Yesu ila unajidanganya

Yesu ana mama yake so Mungu wako ana mama?

Yesu ana dada zake aliyozaliwa nao tumbo Moja so Mungu wako Kuna watu ni kaka Yao

Yesu dada zake walizaa so Mungu Kuna watu ni mjomba wao

Yesu alicheza kombolela na watoto wenzake katika mitaa ya Galilaya so Mungu wako Kuna watu rafiki Yao wa utotoni

Yesu alikuwa anatumwa na mama yake aende dukani akanunue unga wa ngano na mafuta ya taa

Sisi waislam na Yesu Mungu wetu ni mmoja na ndio maana stail zetu za kumuabudu Mungu wetu zinafanana kupeleka paji la uso chini Yani kusujudu

Alafu hata mchungaji wenu Lusekelo Kila siku anakuambieni kuwa Yesu sio Mungu kwanini HAMUELEWI
 
Mungu yupi? Allah au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…