Minja Ngalason
JF-Expert Member
- Jan 8, 2017
- 1,284
- 1,839
Daah🤣🤣Subiria mabikira 70 wenye macho ka vikombe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daah🤣🤣Subiria mabikira 70 wenye macho ka vikombe
Ila waumini wa dini hiyo wanatumia nguvu kubwa kumtetea Mungu wao 🤣🤣Umeongea point dini ya kweli haitumii nguvu kujitangaza
Kwa hiyo mtu kuitwa muislamu ndiyo kuwa mtakatifu au kuwa hauna dhambi ? Nikisema waislamu awatumii akili sija koseaHiyo ndio ipo hivyo wala hakuna aliyechezea
"Atakayebadilisha Dini yake(Uislamu) muuweni." [Al-Bukhaariy]
Ikiwa murtad anatangaza waziwazi na anachochea wengine dhidi ya Uislamu, hukumu ya kifo inapaswa kutekelezwa na dola ya Kiislamu baada ya kumpa muda wa kutubu.
Ikiwa mtu ameritadi kimyakimya na hajafanya uasi wa wazi, basi hukumu inakuwa kati yake na Allah, na hana haja ya kuadhibiwa na wanadamu.
Dini ni utapeli tuMungu ni mmoja,
Ukristo,
Uyahudi,
Uislam na dini zingine,ni njia tu ya kumfikia Mungu mwenye haki.
Yaani umeshuka kwenye Golden deer umeamua kupanda Majinjah kifupi safari yako utafika tu
Na Mungu wa kweli hatetewi na mwanadamu kiumbe alichokiumba mwenyewe kinamtetea vipi??? Mungu wa kweli hujitetea mwenyewe kwa vitendo, akisema anashusha moto unashuka. Hili swala la kusema unamtetea Mungu au unampigania Mungu ni uongo mtupu.Ila waumini wa dini hiyo wanatumia nguvu kubwa kumtetea Mungu wao 🤣🤣
Ukija kupata akili ndo utajua hata hiyo unayoiita dini ya haki na yenyewe ni ubatili tu. Baki ukiamini Mungu yupo na siyo huo usanii w kitu kinaitwa dini.Nimezaliwa kwenye Ukristu na nimekulia kwenye imani ya kikristu ila baada ya kupata akili nimegundua kua Uislamu ndio dini ya haki
Ukristu umekua kama kichwa cha mwendawazimu kila kanjanja anaingiza maigizo yake ukristu umekua dini ya ajabu mpk inafikia hatua mtu unaona aibu kujiita mkristu ni vituko kila kukicha.
Tumeshuudia pastor anaogesha wanawake madhabahuni...manabii wanatabiri mambo ya uongo...juzi tumeshuhudia wachungaji wanalambana ndimi...ni mambo machafu yanayoendelea kwenye Ukristu na mbaya zaidi Wakristu wenyewe hawana uchungu na dini yao wao wanachoamini ni kua Mungu mwenyewe atajipigania na dini yake.mnaacha kukemea uchafu mungu aje akemee kwa niaba yenu?!
Uislamu ndo dini ya haki na wenye dini yao wanajua kukemea mambo ambao yako kinyume na dini yao hata kama yapo ndani ya utandawazi lakini ni lazima yawe yanaendana na mafundisho ya mtume wao.
Anachoamini Muislamu wa Tanzania ndo hiko hiko anachoamini muislamu alieko Kenya ..Nigeria..Saudia na kwingineko...kwa mfano Muislamu anaetoka saudia leo hii anaweza kuingia kwenye msikiti wowote wa hapa Tanzania na akaswali bila tatizo lolote kwasababu ni dini iliyonyooka na aina maigizomaigizo tofauti na Ukristo ambao kila mchungaji anataka kubuni la kwake kutoka kwenye kichwa chake
Hatukatai kwamba kuna tofauti zipo za kiimani ndani ya Uislamu lakini tofauti ni za kutafuta kumlingania allah na pia tofauti zao zina hoja ya mafundisho ndani ya quran hadithi na sunnah za mtume wao na hata kama zinaweza kua ni hoja dhaifu ila lengo ni kujenga na kuitafuta kweli lakini sio maigizo ya sisi wakristu ambayo mengine ni kufuru hata mungu mwenyewe akiona anaona aibu
Ingefaa sana kama dunia nzima ingekua na dini moja uislamu naamini maovu yangepungua ulimwenguni kama kuna muislamu atakaesoma hili bango naomba anipe utaratibu wa kuslimu nimechoka na komedi na utapeli wa sisi makafiri
Sijaongea haya kwa ubaya au kutafuta kuleta chuki kwa waislamu na wakristu ila kama wakristu inabidi wajitafakari Ukristu wao unaelekea kubaya. Dini haina fomula maalum kila mtu anatafsiri maandiko kwa namna yake kwa faida yake na wengine kwa ajili ya kupiga hela.
Kama siyo mpagani je wewe ni mkristo au ni muislamu?, kama haupo hapo basi wewe ni mpumbavu kila unapohema, kila unapongea, kila unapo kula, kila una ona.Kwanza kabisa mimi si mpagani.
Ila wewe hujui hilo.
Kwa sababu wewe ni mjinga.
Sasa kwanini kuwe na maneno ya kiarabu ambayo huyaelewi na bado unaamini! Huoni kuwa ni utapeli huo?Uislam umeumbwa kwenye sheria
Ni kazi sana kufuata sheria zote ndo maana ni ngumu kuitekeleza ila Quran Yao nzuri ukipata ya kiswahili inamrudishia Mola mamlaka kama tu neno la Mungu katika biblia
Ukristo ni Imani kukombolewa kwa neema umepewa nafasi ujiongeze
ZOTE NZURI
ME NI MKRISTI MLUTHERI ILA NINAJUA KUTAWADHA NA KUSUJUDU NA NISHAINGIA MASJID ZAIDI YA MARA 20 KUSWALI JAPO MANENO YALE YA KIARABU SIYAJUI NA SIPENDI KUYAJUA
ZOTE NZURI..
KWENYE BIBLE NAPENDA ZAIDI KUSOMA NYARAKA ZA PAULO NA YOHANA NA UFUNUO KULIKO AGANO LA KALE NA INJILI
Lete ushahidi kuwa mtu mweusi hana ahadi ya pepo otherwise ni porojo
This logical fallacy is called ad hominem.Kama siyo mpagani je wewe ni mkristo au ni muislamu?, kama haupo hapo basi wewe ni mpumbavu kila unapohema, kila unapongea, kila unapo kula, kila una ona.
Wewe ni chuki na roho mbaya ndio zilizojaa Ktk kifua chako, kwanza hakuna (muumini)muislamu ambaye hana dhambi, na hakuna anayesema hivo na hayo ni maneno yenu nyinyi (wa kristo):kusema mmeokoka ili hali mnaishi, toka lini ukristo uka kemea ushoga hadharani?, papa alifanya hivo lini?, je Vatican kuna mashoga au hamna?, je Israel (Jerusalem) , tel aviv kuna mashoga au hamna?, na je wanakemea au wanafurahia?,Kwa hiyo mtu kuitwa muislamu ndiyo kuwa mtakatifu au kuwa hauna dhambi ? Nikisema waislamu awatumii akili sija kosea
haya ndiyo yale ya wapumbavu wanaodhani kuwa kama duniani kusipo kuwa na dini nyingine isipokuwa dini yake basi dhambi isinge kuwepo watu wote wange kwenda peponi ....wapumbavu tumieni akili hakuna dini ambayo ukiwa ndani yake basi dhambi haiwezi kukupata... sasa hiyo hukumu ya muhammad ni uhuni tu, maana hata wasio waislam wanaweza kuchochea wengine dhidi ya uislamu .....mungu uhukumu watu adhabu kwa sababu ya dhambi aijalishi dini gani ambayo ambayo mtu yupo ...sasa hiyo hukumu ya muhammad ni yakiuni kwa sababu ana ukumiwa mtu kwa sababu tu katoka Uislamu wakati ndani ya uislamu dhambi zimetamalaki ....kwa yoyote mwenye qkili ya kupambanua haki na batili hapo tu anaweza kujua kuwa Muhammad ni mtume feki ...UKIONA MAFUNDISHO YOYOTE YANAYO DAIWA NI DINI YANAYO HUKUMU WENGINE NJE YA MISINGI YA DHAMBI BASI JUA MOJA KWA MOJA HIYO DINI NI MALI HALALI YA IBILISI SHETANI...Mfano mwizi muislamu anapo kuwa muislamu na mwizi huyo ni bora kuliko mwizi asiye muiskamu ?je malaya muislamu ni bora kuliko malaya asiye muislamu ...shoga muislamu ni bora kuliko shoga asiye muislamu ?😁😁😁😁nikisema uislamu ni upumbavu mwingine duniani sijakosea ndiyo maana waislamu wanalalamika wakisikia choko kwenye jina la kiislamu kaenda kanisani ....utasikia wanasema huyu choko(shoga) mpumbavu sana kwanini kaanza kwenda kanisani wakati yeye ni muislamu..hivyo waislamu wanalilia choko lao libaki misikitini🙄🙄🙄🙄🙄
Dini siyo chama cha siasa, why uinadi ili iweje? Imani hainadiwi bradha imani ni hiyari imani ni wewe mwenyewe, acha ujinga!Kinachonishangaza ni wakristu kutoinadi dini yao wala kuilinganisha na dini zingine.Wao wako bize kuhubiri toba na kuiamini injili.
Huwezi mkuta Padre au Pastor analinganisha ukristu na dini zingine za kata!
Yote yaleyale tu, usaniiKwani kuna tofauti kati ya ukristo na uislamu mwanangu?
Adhana ikipgwa popote Leo nenda hapo usubr njee imamu alimalza jieleze umekuja kuslimu ,ili uwe kweny dini ya kwel,hata ukifa sku iyo iyo utakula menu na mtume SAW,utapewe zako bikra 72 ukawale na pembeni Kuna mito ya kila aina ya pombe ,,Cha kufia nn ndugu nenda ,wahi haraka sanaNimezaliwa kwenye Ukristu na nimekulia kwenye imani ya kikristu ila baada ya kupata akili nimegundua kua Uislamu ndio dini ya haki
Ukristu umekua kama kichwa cha mwendawazimu kila kanjanja anaingiza maigizo yake ukristu umekua dini ya ajabu mpk inafikia hatua mtu unaona aibu kujiita mkristu ni vituko kila kukicha.
Tumeshuudia pastor anaogesha wanawake madhabahuni...manabii wanatabiri mambo ya uongo...juzi tumeshuhudia wachungaji wanalambana ndimi...ni mambo machafu yanayoendelea kwenye Ukristu na mbaya zaidi Wakristu wenyewe hawana uchungu na dini yao wao wanachoamini ni kua Mungu mwenyewe atajipigania na dini yake.mnaacha kukemea uchafu mungu aje akemee kwa niaba yenu?!
Uislamu ndo dini ya haki na wenye dini yao wanajua kukemea mambo ambao yako kinyume na dini yao hata kama yapo ndani ya utandawazi lakini ni lazima yawe yanaendana na mafundisho ya mtume wao.
Anachoamini Muislamu wa Tanzania ndo hiko hiko anachoamini muislamu alieko Kenya ..Nigeria..Saudia na kwingineko...kwa mfano Muislamu anaetoka saudia leo hii anaweza kuingia kwenye msikiti wowote wa hapa Tanzania na akaswali bila tatizo lolote kwasababu ni dini iliyonyooka na aina maigizomaigizo tofauti na Ukristo ambao kila mchungaji anataka kubuni la kwake kutoka kwenye kichwa chake
Hatukatai kwamba kuna tofauti zipo za kiimani ndani ya Uislamu lakini tofauti ni za kutafuta kumlingania allah na pia tofauti zao zina hoja ya mafundisho ndani ya quran hadithi na sunnah za mtume wao na hata kama zinaweza kua ni hoja dhaifu ila lengo ni kujenga na kuitafuta kweli lakini sio maigizo ya sisi wakristu ambayo mengine ni kufuru hata mungu mwenyewe akiona anaona aibu
Ingefaa sana kama dunia nzima ingekua na dini moja uislamu naamini maovu yangepungua ulimwenguni kama kuna muislamu atakaesoma hili bango naomba anipe utaratibu wa kuslimu nimechoka na komedi na utapeli wa sisi makafiri
Sijaongea haya kwa ubaya au kutafuta kuleta chuki kwa waislamu na wakristu ila kama wakristu inabidi wajitafakari Ukristu wao unaelekea kubaya. Dini haina fomula maalum kila mtu anatafsiri maandiko kwa namna yake kwa faida yake na wengine kwa ajili ya kupiga hela.
Huo ni uongo mtupu, Mungu gani anahamasisha ngono??Kwahiyo kupewa mabikra 72 na mapipa ya pombe ndo ukweli na haki? 😹😹