Wa ku hoji ni hao waislamu na wakristo wenyewe na sio wewe mpgani, kwa kifupi wewe upo mbali saaaana na hao watu, au hapo huja elewa hilo fumbo??, chakata hiyoKwani Ukristo na Uislamu hapa JF hauhojiwi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wa ku hoji ni hao waislamu na wakristo wenyewe na sio wewe mpgani, kwa kifupi wewe upo mbali saaaana na hao watu, au hapo huja elewa hilo fumbo??, chakata hiyoKwani Ukristo na Uislamu hapa JF hauhojiwi?
Kwanza kabisa mimi si mpagani.Wa ku hoji ni hao waislamu na wakristo wenyewe na sio wewe mpgani, kwa kifupi wewe upo mbali saaaana na hao watu, au hapo huja elewa hilo fumbo??, chakata hiyo
Huyo kwa hadithi za uongo ni nomaDogo naona umechanganyikiwa unaanza kujiandikia mambo yako haya twende Hadithi namba 4117 iliyopo kwenye Sahihi Bukhari inasema:
Hadithi hii inahusiana na Jibril (Gabriel) kumjia Mtume Muhammad (SAW). Hii ni hadithi ambayo inasema kwamba Jibril alijitokeza kwa Mtume Muhammad (SAW) akiwa na umbo la mwanadamu ili kumfundisha kuhusu imani, ibada, na matendo mema. Hii ni sehemu muhimu katika mifano ya hadithi inayotufundisha kuhusu msingi wa imani katika Uislamu.
Hiyo yako inayosema ya kuwa walikua wanaabudu masanamu alikuandikia nani Padri au mchungaji?
Hoja ya kuwa mtu anaye acha uislamu auliwe huo ni mkono wa wachezea uislamu...ushahidi upo wazi ndani ya uislamu ndiyo maana waislamu mambo leo (waisiharamu) walio wanafiki awathubutu kuongelea huo mkono ulio dhahiri...ila kuna Uzi hapa JF kuna muislamu mmoja alithibitisha kuwa huo ni mkono wa wachezea uislamu na hakatoa fafanuzi kamili zilizo nyoka kabisa ....moja ya fafanuzi ni kuwa Muhammad mwenyewe aliingia mkataba na maasim7 wake kuwa atakaye kuwa muislamu na awe na atakaye kuacha uislamu na a ache... ...mara nyingi katika uislamu wanapo gundua kuchezewa kwa uislamu wao wana angalia maslai wakiona kuchezewa huko kuna wakomesha wanao wahita wakafiri basi wanakuunga huko kuchezewa.Thibitisha kwa maandiko
Sasa hapo tatizo ni nini au unadhani hayo maandiko yanapingana 😁Hiking ndicho usomacho???
Yohana 14:9
9 Yesu akamjibu, “Filipo, imekuwaje hunifahamu baada ya mimi kuwa pamoja nanyi muda wote huu? Mtu ye yote ambaye ameniona mimi, amemwona Baba. Sasa inakuwaje unasema, ‘Tuonyeshe Baba’?
Yohana 5:37
Naye Baba aliyenituma amenishuhudia. Sauti yake hamkuisikia wakati wowote, wala sura yake hamkuiona.
Jagina Setfree Lwiva
May the Lord forgive and give his holy spirity to inspire you so you may know the truth that will set you free🙏 Yohana 17:3Nimezaliwa kwenye Ukristu na nimekulia kwenye imani ya kikristu ila baada ya kupata akili nimegundua kua Uislamu ndio dini ya haki
Ukristu umekua kama kichwa cha mwendawazimu kila kanjanja anaingiza maigizo yake ukristu umekua dini ya ajabu mpk inafikia hatua mtu unaona aibu kujiita mkristu ni vituko kila kukicha.
Tumeshuudia pastor anaogesha wanawake madhabahuni...manabii wanatabiri mambo ya uongo...juzi tumeshuhudia wachungaji wanalambana ndimi...ni mambo machafu yanayoendelea kwenye Ukristu na mbaya zaidi Wakristu wenyewe hawana uchungu na dini yao wao wanachoamini ni kua Mungu mwenyewe atajipigania na dini yake.mnaacha kukemea uchafu mungu aje akemee kwa niaba yenu?!
Uislamu ndo dini ya haki na wenye dini yao wanajua kukemea mambo ambao yako kinyume na dini yao hata kama yapo ndani ya utandawazi lakini ni lazima yawe yanaendana na mafundisho ya mtume wao.
Anachoamini Muislamu wa Tanzania ndo hiko hiko anachoamini muislamu alieko Kenya ..Nigeria..Saudia na kwingineko...kwa mfano Muislamu anaetoka saudia leo hii anaweza kuingia kwenye msikiti wowote wa hapa Tanzania na akaswali bila tatizo lolote kwasababu ni dini iliyonyooka na aina maigizomaigizo tofauti na Ukristo ambao kila mchungaji anataka kubuni la kwake kutoka kwenye kichwa chake
Hatukatai kwamba kuna tofauti zipo za kiimani ndani ya Uislamu lakini tofauti ni za kutafuta kumlingania allah na pia tofauti zao zina hoja ya mafundisho ndani ya quran hadithi na sunnah za mtume wao na hata kama zinaweza kua ni hoja dhaifu ila lengo ni kujenga na kuitafuta kweli lakini sio maigizo ya sisi wakristu ambayo mengine ni kufuru hata mungu mwenyewe akiona anaona aibu
Ingefaa sana kama dunia nzima ingekua na dini moja uislamu naamini maovu yangepungua ulimwenguni kama kuna muislamu atakaesoma hili bango naomba anipe utaratibu wa kuslimu nimechoka na komedi na utapeli wa sisi makafiri
Sijaongea haya kwa ubaya au kutafuta kuleta chuki kwa waislamu na wakristu ila kama wakristu inabidi wajitafakari Ukristu wao unaelekea kubaya. Dini haina fomula maalum kila mtu anatafsiri maandiko kwa namna yake kwa faida yake na wengine kwa ajili ya kupiga hela.
Hiyo ndio ipo hivyo wala hakuna aliyechezeaHoja ya kuwa mtu anaye acha uislamu auliwe huo ni mkono wa wachezea uislamu...ushahidi upo wazi ndani ya uislamu ndiyo maana waislamu mambo leo (waisiharamu) walio wanafiki awathubutu kuongelea huo mkono ulio dhahiri...ila kuna Uzi hapa JF kuna muislamu mmoja alithibitisha kuwa huo ni mkono wa wachezea uislamu na hakatoa fafanuzi kamili zilizo nyoka kabisa ....moja ya fafanuzi ni kuwa Muhammad mwenyewe aliingia mkataba na maasim7 wake kuwa atakaye kuwa muislamu na awe na atakaye kuacha uislamu na a ache... ...mara nyingi katika uislamu wanapo gundua kuchezewa kwa uislamu wao wana angalia maslai wakiona kuchezewa huko kuna wakomesha wanao wahita wakafiri basi wanakuunga huko kuchezewa.
Embu kataa Aya maandiko ya wabusu jiweSasa unasema wanalipiga mawe alafu unauliza tena ni mungu? We uliona wapi Mungu anapigwa mawe?
anyway Kumbe wanalipiga mawe hawaliabudu? Haya leta elfu 40 ninunue mifuko miwili ya cement nikutengenezee kasanamu kako na wewe uwe unakaomba toba na baraka kama huyu mwenzakoView attachment 3261859
Wana wafuasi wao humu ndo jibuni sasa.Hao ingebidi uwaulize wenyewe
Wote waliofanya hayo ni wabakaji kama walivyo wabakaji wengine wanalala na watoto hata wa miezi miwiliKwa tamaduni za watu wa zamani na miaka hiyo ilikuwa ni kawaida kwa wao kuoa wasichana wadogo
Iwe waarabu, waafrika na Wayahudi na hata Wazungu
King Richard || wa England alimuoa Isabelle wa France 1396 akiwa na umri wa miaka 6
Kama unavyoshangaa wewe sasa, na pia watakaokuja baadae wakisikia na nyie watoto mnatembea na mishangazi watashangaa pia
wewe sema ni Muislamu tu, nani amekuambia Mungu alianzisha dini? wewe ishi maisha ya kumpendeza Mungu kulingana na imani yako, nani alikuambia tutahukumiwa kutokana na dini zetu?, hiyo unayosema ni dini ya haki wameruhusiwa kuua anayehama kutoka dini yao sasa hiyo ndio unyaoita haki?Nimezaliwa kwenye Ukristu na nimekulia kwenye imani ya kikristu ila baada ya kupata akili nimegundua kua Uislamu ndio dini ya haki
Ukristu umekua kama kichwa cha mwendawazimu kila kanjanja anaingiza maigizo yake ukristu umekua dini ya ajabu mpk inafikia hatua mtu unaona aibu kujiita mkristu ni vituko kila kukicha.
Tumeshuudia pastor anaogesha wanawake madhabahuni...manabii wanatabiri mambo ya uongo...juzi tumeshuhudia wachungaji wanalambana ndimi...ni mambo machafu yanayoendelea kwenye Ukristu na mbaya zaidi Wakristu wenyewe hawana uchungu na dini yao wao wanachoamini ni kua Mungu mwenyewe atajipigania na dini yake.mnaacha kukemea uchafu mungu aje akemee kwa niaba yenu?!
Uislamu ndo dini ya haki na wenye dini yao wanajua kukemea mambo ambao yako kinyume na dini yao hata kama yapo ndani ya utandawazi lakini ni lazima yawe yanaendana na mafundisho ya mtume wao.
Anachoamini Muislamu wa Tanzania ndo hiko hiko anachoamini muislamu alieko Kenya ..Nigeria..Saudia na kwingineko...kwa mfano Muislamu anaetoka saudia leo hii anaweza kuingia kwenye msikiti wowote wa hapa Tanzania na akaswali bila tatizo lolote kwasababu ni dini iliyonyooka na aina maigizomaigizo tofauti na Ukristo ambao kila mchungaji anataka kubuni la kwake kutoka kwenye kichwa chake
Hatukatai kwamba kuna tofauti zipo za kiimani ndani ya Uislamu lakini tofauti ni za kutafuta kumlingania allah na pia tofauti zao zina hoja ya mafundisho ndani ya quran hadithi na sunnah za mtume wao na hata kama zinaweza kua ni hoja dhaifu ila lengo ni kujenga na kuitafuta kweli lakini sio maigizo ya sisi wakristu ambayo mengine ni kufuru hata mungu mwenyewe akiona anaona aibu
Ingefaa sana kama dunia nzima ingekua na dini moja uislamu naamini maovu yangepungua ulimwenguni kama kuna muislamu atakaesoma hili bango naomba anipe utaratibu wa kuslimu nimechoka na komedi na utapeli wa sisi makafiri
Sijaongea haya kwa ubaya au kutafuta kuleta chuki kwa waislamu na wakristu ila kama wakristu inabidi wajitafakari Ukristu wao unaelekea kubaya. Dini haina fomula maalum kila mtu anatafsiri maandiko kwa namna yake kwa faida yake na wengine kwa ajili ya kupiga hela.
Acha uongo mtume kamuoa Aisha akiwa na miaka 6 na akaànza kumbaka akiwa na miaka 9 ni ukatili ulioje hakana tofauti na wabakaji WA Leo wanao baka tu toto haijalishi ni uingereza au Amerikamtume alimuoa akiwa na miaka 9 kisha akamuacha mpk alipobalehe kuwa mwanamke kamili ndio akamfanya mke wake kamili
Sasa hapa nakuambia hadi kufikia miaka ya 1800 mwishoni karibu nchi zote za ULAYA ikiongozwa na UINGEREZA taifa ambalo ukristo ulikuwa umetamalaki sheria ya NDOA ya msichana umri wa kuolewa ulikuwa kuanzia miaka 9
unafahamu hili kumbuka MTUME mtume yeye ilikuwa miaka ya 600 huko
Unasifia Ugaidi wa mudiMpumbavu wewe kila sekunde ya Allah, utakua mpumbavu, hivi wewe dogo ndio una upumbavu kiasi hichi?, hivi nyinyi wakristo wa jamii forum mnaona huu upumbavu wa huyu mwezenu, hata kumtonya mna shindwa? ,
Je hadi leo hii hao waislaeli wana mkubali yesu??, wanafata walicho fundishwa na yesu?, je yesu kaacha athari yoyote huko islael hadi leo?,
Njoo sasa kwa mtume Muhammad, hebu anangalia alivyo faulu
Kaacha dini (athari kuanzia middle to far east) , Africa hadi ulaya
Jamii yake yote ina fata dini (makka na madina) na Saudi Arabia yote utaki chukua sumu kunywa hebu angalia basi hata bendera ya Saudi Arabia na hio ndio ilikua bendera ya mwamba mtume Muhammad, tena chini kuna upanga, hivi nchi ngapi zina ongoea ki arabu?,
Mtume Muhammad kafa na umri 63 note na ndio umri wa kustaafu kazini (60) ,
Kaacha watoto, kalea hadi wajukuu, kapigana vita (front line), kafanya biashara za kimataifa na kitaifa tena akiwa na umri mdogo sana,
Amekufa kaacha uislamu una tawala totally tena manaswara na mikafiri ilikua ina lipa kodi na ikisikia huyu Mtu ni muislamu ilikua inamuogopa
Amekufa kaacha makhalifa wana tawala dola la kiislammu
Alafu umlinganishe kidumme mtume Muhammad na yesu, na kuanzia sasa ukiona comment ukae kimya mpumbavu wewe
Religion is man made.Nimezaliwa kwenye Ukristu na nimekulia kwenye imani ya kikristu ila baada ya kupata akili nimegundua kua Uislamu ndio dini ya haki
Ukristu umekua kama kichwa cha mwendawazimu kila kanjanja anaingiza maigizo yake ukristu umekua dini ya ajabu mpk inafikia hatua mtu unaona aibu kujiita mkristu ni vituko kila kukicha.
Tumeshuudia pastor anaogesha wanawake madhabahuni...manabii wanatabiri mambo ya uongo...juzi tumeshuhudia wachungaji wanalambana ndimi...ni mambo machafu yanayoendelea kwenye Ukristu na mbaya zaidi Wakristu wenyewe hawana uchungu na dini yao wao wanachoamini ni kua Mungu mwenyewe atajipigania na dini yake.mnaacha kukemea uchafu mungu aje akemee kwa niaba yenu?!
Uislamu ndo dini ya haki na wenye dini yao wanajua kukemea mambo ambao yako kinyume na dini yao hata kama yapo ndani ya utandawazi lakini ni lazima yawe yanaendana na mafundisho ya mtume wao.
Anachoamini Muislamu wa Tanzania ndo hiko hiko anachoamini muislamu alieko Kenya ..Nigeria..Saudia na kwingineko...kwa mfano Muislamu anaetoka saudia leo hii anaweza kuingia kwenye msikiti wowote wa hapa Tanzania na akaswali bila tatizo lolote kwasababu ni dini iliyonyooka na aina maigizomaigizo tofauti na Ukristo ambao kila mchungaji anataka kubuni la kwake kutoka kwenye kichwa chake
Hatukatai kwamba kuna tofauti zipo za kiimani ndani ya Uislamu lakini tofauti ni za kutafuta kumlingania allah na pia tofauti zao zina hoja ya mafundisho ndani ya quran hadithi na sunnah za mtume wao na hata kama zinaweza kua ni hoja dhaifu ila lengo ni kujenga na kuitafuta kweli lakini sio maigizo ya sisi wakristu ambayo mengine ni kufuru hata mungu mwenyewe akiona anaona aibu
Ingefaa sana kama dunia nzima ingekua na dini moja uislamu naamini maovu yangepungua ulimwenguni kama kuna muislamu atakaesoma hili bango naomba anipe utaratibu wa kuslimu nimechoka na komedi na utapeli wa sisi makafiri
Sijaongea haya kwa ubaya au kutafuta kuleta chuki kwa waislamu na wakristu ila kama wakristu inabidi wajitafakari Ukristu wao unaelekea kubaya. Dini haina fomula maalum kila mtu anatafsiri maandiko kwa namna yake kwa faida yake na wengine kwa ajili ya kupiga hela.
Haya wasubiri wafuasi wao wakujibuWana wafuasi wao humu ndo jibuni sasa.