Mimi ni Mkristu ila nimeamua kukiri kwa ridhaa yangu kua Uislamu ndio dini ya haki ya mwenyezi Mungu

Kaka umepiga ndimu asali .Karibu ktk UISLAMI Karibu katika DINI ya haki ambayo ktk Quraan Mwenyezi Mungu ALLAH anasema .Siku ya Kiama hatakubali dini yyote zaidi ya Uislamu atakaefuata Dini nyengine yyote basi yuko ktk Hasara .Broo simple nende msikitini kamuone Imamu mwambie nimekuja kusilimu .Atakusilimisha mara moja .NB Jiandae kupata matusi hapa JF kuna wakristo wajinga sana sana hapa na wana chuki ya UISLAMU.
 
Kwani wewe uko kwa mabasha 100 na kuvalishwa pampers ?? Jessy aliwapiga na kitu kilaini kichwani, Eti mnaweza kuoana jinsia moja sasa unaona raha yake unakuja kuandika hadithi za mchungaji wako
😂😂😂😂😂😂
Umepaniki mpaka unaandika vitu hata havieleweki. Ila ukweli mudi fundi kweli, hivi unaweza ukawa na akili kweli akaamini zile hadithi zake na anawaambia eti majini ni ndugu zenu! Ndiyo maana wengi wenu ndiyo vile tena
😂😂😂😂
 
Dini ni njia ya watu kumfikia MUNGU acha mihemko isiyokusaidia na kutokuchunguza wewe binafsi ABC ya Dini zilizokuja na Mwarabu na Mzungu. Wewe mwenyewe hapo una njia zako za kumuabudu MUNGU ila ulizaliwa ukakuta wazazi wako wameacha Dini na wamerukia Dini ya Marabu na wewe ukabeba tu, sasa hutaki kuhangaisha fuvu lako kutaka kujua kiasi hujui hata kama MUNGU kakuumba na utashi wa kujua mambo
 
Anatokea mtu anasema waislamu na wakristo wote wasenge tu
 
Hapo Sasa ndo umeanza kuwa na akili, kiasi tunaweza kujadili maana umeleta hoja. Sasa ndo upunguze matusi na ubishi tutakwenda vizuri.

Kuna dini nyingi budha, uhindu, umesahau na ibada zetu za asili kuabudu mizimu nk.

Kitu ambacho kwa upande wa wengi huwa wanaangalia kwenye dini Ni ujumbe uliobeba maana nzima ya maisha pamoja na hoja ambazo bila kupepesa macho zinatibu tatizo la kifo au kukidhi matarajio ya maisha ya milele. Kwa sababu wanadamu hawapendi kufa.

Ukristo na uislam Ni dini pekee ambazo zimefanikiwa kuwa na wafuasi lukuki ulimwengu mzima kutokana na ujumbe ulio kwenye vitabu hivyo. Haimaanishi dini nyingine hazipo lkn zimekosa ushawishi kwa sababu kila anayejaribu kupeleleza habari za yesu huishia kuwa mkristo badala yakuendelea na dini yake.

Huwezi kusema mwafrika hayuko sahihi kuwa mkristo. Wewe mwenyewe vitu vigeni vingi tu unatumia. Wataalam wameshakaa kujadili namna mwafrika anaweza kuishi bila tamaduni za nje lkn ikaonekana tumechelewa haiwezekani kwani utajikuta tu umeingia kwenye chein yao.
 
Jibu swali kuna mtu uzaliwa shoga?..ukishatoa jibu kasome ile aya yote yesu anasema kuna matowashi wamezaliwa hivyo ...ushoga ni kitendo cha mwanaume kuingiliwa kinyume na maumbile na mwanaume mwenzie sasa hapo utapata jibu kuwa hakuna shoga wa kuzaliwa sasa mbona yesu anasema matowashi wapo wa kuzaliwa?
YESU PIA NI MMOJA WAPO WA MATOWASHI..tatizo lako akili yako finyu unashindwa kufanya codination ya maandiko kujua nini ni nini ...kasome ile aya yote huone hadi yesu ana zungumzia habari za towashi mada ilikuwa nini .
 

Ni vipi towashi waingie katika Makutano ya Bwana na kwenye Deutoronomy imeandikwa Towashi haingii katika Makutano ya Mungu

Deuteronomy 23:1-6 The Message (MSG)
No eunuch is to enter the congregation of GOD
 
Ni vipi towashi waingie katika Makutano ya Bwana na kwenye Deutoronomy imeandikwa Towashi haingii katika Makutano ya Mungu

Deuteronomy 23:1-6 The Message (MSG)
No eunuch is to enter the congregation of GOD
Katika Injili kuna kitu kinaitwa kuzaliwa mara ya pili tena kinaeleza wazi kilicho zaliw kwa mwili ni mwili na kilicho zaliwa kwa roho ni roho ...ndiyo maana unasikia kwenye Ukristo kunakitu kinaitwa KUZALIWA UPYA...wewe unachanganya torati na injili ...katika Torati hata kuwa na govi ilikiwa ni haramu ...wacha kuchanganya mambo ..pia wapo maenuchi wanaotokana na ushoga hao ndiyo awataulithi ufalme wa mungu
 

Umefurahi mpaka unaandika vitu hata havieleweki Ila ukweli Jessy fundi kweli , hivi una akili kweli unaamini zile hadithi zake jessy anawaambia eti jini lilimpa lift na kumwonyesha miji , Ndio maana wengi wenu ndio vile tena
 
Hivi huu ujinga wa kugombania dini huwa mnafaidika na nini?

Imani zote ni sawa, kila mtu aheshimu imani ya mwenzake.... Simple.

Anaye amini uislamu epewe heshima yake
Anaye amini Ukristo apewe heshima yake

Pia anaye amini kwenye miungu yake apewe heshima yake.

Majivuno ya dini ipi sahihi na majigambo hayatawafikisha popote na Sina imani kama kuna dini yoyote ambayo huwa inafundisha majigambo na dhihaka kwa dini zingine.

Tuishi kwa upendo.

Udini usitugawe.
 
mbona hiyo aya ya deutoronomy haijasema kuwa huko kwenye injili kuna kilichozaliwa kwa mwili na kilichozaliwa kwa roho ?? Mbona unapakazia injili na torati ???kwani kwenye injili yesu kasema kuwa govi si haramu ??
 
mbona hiyo aya ya deutoronomy haijasema kuwa huko kwenye injili kuna kilichozaliwa kwa mwili na kilichozaliwa kwa roho ?? Mbona unapakazia injili na torati ???kwani kwenye injili yesu kasema kuwa govi si haramu ??
Ndiyo maana yake kwenye injili govi siyo haramu ...zamani ilikuwa uwezi kuingia kwenye nyumba ya ibada kama una govi
 
Ndiyo maana yake kwenye injili govi siyo haramu ...zamani ilikuwa uwezi kuingia kwenye nyumba ya ibada kama una govi

Ndiyo nilitaka uweke Aya Yesu anasema sio haramu sitaki maneno ya wachungaji watafutaji tonge ya ugali
 
Umekusudia biblia ipi ilyokuwa hairukiwi rukiwi kama makorokocho , ni Gay bible, Satanic bible , NKJV QJV, AV, au maelfu ya biblia zilizo tofauti ??
Ushaambiwa mi mkatoliki hayo ma king James version ya juzi tu. Hujui ata historia ya bibilia.
 
Ndiyo nilitaka uweke Aya Yesu anasema sio haramu sitaki maneno ya wachungaji watafutaji tonge ya ugali
Unadhani bibilia inatafsiriwa kirahisirahisi tu kama kitabu chenu. We baki na dini yako. Sisi hatuhami na huwezi kutushawishi kumfuata mbakaji., muuaji, mwizi, mzinzi. Never.
 
Unadhani bibilia inatafsiriwa kirahisirahisi tu kama kitabu chenu. We baki na dini yako. Sisi hatuhami na huwezi kutushawishi kumfuata mbakaji., muuaji, mwizi, mzinzi. Never.

Ndiyo Aya hiyo umeweka ya Yesu anasema sio haramu ?
 
Ushaambiwa mi mkatoliki hayo ma king James version ya juzi tu. Hujui ata historia ya bibilia.
kwa hivyo hao wengine wenye biblia zisizo za kikatoliki wewe huwatambui kama ni wakristo ??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…