Kwa kweli nimesoma kichwa tu na maudhui kidogo, kwa mimi mkristo nimeona uko sahihi, sababu msingi wa dini ya Kristo ni Yesu.
Yesu hakulishana mikate na akina Petro kwa mtindo huo.
Yaani uko sahihi kuona kumbe kulishana dizain ya ndege mnyama sio sawa n
.k
Ila ungefuatilia pia kwa kina historia ya maisha ya waanzilishi wa dini hizi mbili kabla ya kuamua.
Mfano sasa hivi wewe ni ruksa kwenda kutoa mahari ķwa binti wa miaka 9 kutokana na mwongozo wa kiongozo huko uliko.
Na huku Upande mwingine kuna keki za upako, wali wa upako maandazi n.k. pia kuna maombi yalifanyika kwa wanaume wote ambao " Umeme" umekata. Na watu ambao "umeme" umerudi walikuja kushuhudia kanisani humo.
Baadae utajua tu ukweli uko vipi.
Sababu hata kwenye hukumu Yesu alisema ungeliijua kweli shida hamna akaulizwa kweli ni nini.
Ndio hicho kitu na wewe uko gizano