Necromancer
JF-Expert Member
- Sep 20, 2018
- 3,187
- 3,138
Usimdanganye,Kule msikitini ataambiwa atamke maneno haya "Hakuna Mungu ispokuwa allah na Mihammad ni mtume wake"
Neno abudu kwenye shahada halipo.
Usikwepeshe ukafiri
Neno abudu kwenye shahada halipo.
Usikwepeshe ukafiri
,Kuhusu kusilimu nenda kwenye msikiti wowote ambao upo karibu na eneo lako uulizie viongozi wa msikiti ukishaonana nao waambie kuwa unataka kusilimu watakuelekeza utaratibu unaotakiwa!.
Muhimu elewa kwamba kusilimu ni bure hakuna malipo yoyote utakayotakiwa kulipia zaidi ya kutamkishwa shahada ya kukubali na kutamka kwamba hapana mwenye kuabudiwa kwa haki isipokuwa Allaah na kwamba Muhammad ni mtume wa Allaah.