Mimi ni Mkristu ila nimeamua kukiri kwa ridhaa yangu kua Uislamu ndio dini ya haki ya mwenyezi Mungu

Mimi ni Mkristu ila nimeamua kukiri kwa ridhaa yangu kua Uislamu ndio dini ya haki ya mwenyezi Mungu

Nakusubiri uniambie towashi ni Nani kwa Kiengereza na kigiriki , usinikimbie
Towashi ni mwanaume anithi au aliye jizuia na kusex maisha yake yote au aliye asiwa....au asiye na uwezo wa kumwingilia mwanamke
 
Towashi ni mwanaume anithi au aliye jizuia na kusex maisha yake yote au aliye asiwa....au asiye na uwezo wa kumwingilia mwanamke

Swali lilikuwa

Nakusubiri uniambie towashi ni Nani kwa Kiengereza na kigiriki , usinikimbie

Kuna kiengereza na kigiriki hapo ? kama hujui si useme tu , kujitia upofu ndio upate kitu gani ??
 
Mbona hata sunni na shia uwa wanatafsiri tofauti, sunni wanawahi kusherehekea sikukuu ya kula pilau kabla ya shia. Sunni wanapenda sana kufuga midevu mpaka kwenye kifua lakini shia wao watu wa suti suti.

Kinachofanana labda ni issue ya kupenda sana kunywa pombe ya kwenye mito ya pombe inayotiririka na mabikira 72 wa kiarabu.

Ndiyo mafundisho ya nabii wako Tito hayo ??
 
Swali lilikuwa

Nakusubiri uniambie towashi ni Nani kwa Kiengereza na kigiriki , usinikimbie

Kuna kiengereza na kigiriki hapo ? kama hujui si useme tu , kujitia upofu ndio upate kitu gani ??
Tumia akili yesu anasema kuto kuoa wala kuolewa kwa ajili ya mungu ni chaguo bora zaidi sasa ushoga umetoka wapi hata kilogic inagoma ...haya eleza wewe towashi ni nani ? Soma hapa wewe kiazi mbatata
 
Attachments

  • Screenshot_20250309-190441_Google.jpg
    Screenshot_20250309-190441_Google.jpg
    254.4 KB · Views: 1
Uislam umeumbwa kwenye sheria

Ni kazi sana kufuata sheria zote ndo maana ni ngumu kuitekeleza ila Quran Yao nzuri ukipata ya kiswahili inamrudishia Mola mamlaka kama tu neno la Mungu katika biblia

Ukristo ni Imani kukombolewa kwa neema umepewa nafasi ujiongeze

ZOTE NZURI

ME NI MKRISTI MLUTHERI ILA NINAJUA KUTAWADHA NA KUSUJUDU NA NISHAINGIA MASJID ZAIDI YA MARA 20 KUSWALI JAPO MANENO YALE YA KIARABU SIYAJUI NA SIPENDI KUYAJUA

ZOTE NZURI..

KWENYE BIBLE NAPENDA ZAIDI KUSOMA NYARAKA ZA PAULO NA YOHANA NA UFUNUO KULIKO AGANO LA KALE NA INJILI
Mimi namkataa shetani na kazi zake zote, kwa nguvu zangu zote na akili zangu zote. Najitoa kwako Yesu kukutumikia mpaka kufa. Amen!

Kwa nini hupendelei zaidi kusoma injili mlutheri mwenzangu, huoni msingi wa ukombozi kupitia neema hiyo?
 
INJILI uisome mara kwa mara ili ukariri Nini maana stori ya yesu si ipo kichwani na mafunzo yake yote ..ni kupiga tu na kustawisha sifa zake
 
Hujuwahi kuwa mkristo,wewe😂😂😂😂 eti umeshuhudia pastor anamuogesha .wanamke madhabahuni....kwani hilo limendikwa wapi katika Biblia,au Yesu alifundisha wapi juu ya hilo jambo? Do not put words in our mouths...kama umeamua kwenda upande wa pili,hilo ni juu Yako...
Dini zote ni njia ya kumfikia Muumba wao lakini Yesu ni njia na kweli na uzima,mtu hafiki kwa Mungu pasipo kupitia kwa YESU...
Kuukubali uislam maana yake unapinga wazi kwamba YESU hakusulubiwa, Wala hakufanyika kafara kwaajili ya wokovu wa ulimwengu...ukiamini hayo hapo unakuwa mpinga kristo kwa % 100.
 
Tumia akili yesu anasema kuto kuoa wala kuolewa kwa ajili ya mungu ni chaguo bora zaidi sasa ushoga umetoka wapi hata kilogic inagoma ...haya eleza wewe towashi ni nani ? Soma hapa wewe kiazi mbatata

Sema uelimishwe , towashi ni Eunuch na kigiriki ni euvouxoc-- eunouchos
 
Ujaona hii
 
Attachments

  • Screenshot_20250309-190441_Google.jpg
    Screenshot_20250309-190441_Google.jpg
    254.4 KB · Views: 1
Kwahiyo wewe na ushetani wako wote unanizidi Nini mimi? Pumbavu kweli wewe.

Weka hoja hapa, unafikiri Mimi unaweza kunishawishi kwa matusi? Weka hoja acha umama.
Wewe ni mfia dini huna unachokijua juu ya dini unayoabudu umemeza na kukariri tu naada ya kurithi kwa wajinga waliokuzaa,hivi kama ukristo wako ndiyo dini ya kweli kwanini kuwe na dini za Uhindu, Ubuddha, Uislamu, Uconfucianism, Taoism, na Uyahudi? Je wewe unawazidi nini labda hao dini nyingine?

Unajifanya unamchukia shetani kwa kumezeshwa tu wakati shetani ni wewe unapofanya maovu yako shetani huwa anakushika mkono??

Nakushinda pakubwa sana kwani NATAMBUA ASILI YANGU na kuwa mimi siyo mkristo kwani sina nasaba na kristo/mzungu bali nasaba yangu ni ni kwa MABABU na MABIBI ZANGU WAAFRIKA walionitangulia siyo mzungu au mwarabu kama wewe unavyojinadi

Hakuna MWAFRIKA aliyesahihi ktk kuabudu uislam au ukristo mmepotea hamjitambui,hivi usinge kuwa UKOLONI na UTUMWA ulioleta uislam na ukristo wewe kenge ungekuwa mkristo,WEWE NI BWEGE MTOZENI,ZERO JUU YA ZERO!!
 
Sasa unampigia nani kelele , wewe endelea tu huko tena sahizi ni mfungo wa Ramso kazana na mfungo huko
 
Nimezaliwa kwenye Ukristu na nimekulia kwenye imani ya kikristu ila baada ya kupata akili nimegundua kua Uislamu ndio dini ya haki

Ukristu umekua kama kichwa cha mwendawazimu kila kanjanja anaingiza maigizo yake ukristu umekua dini ya ajabu mpk inafikia hatua mtu unaona aibu kujiita mkristu ni vituko kila kukicha.

Tumeshuudia pastor anaogesha wanawake madhabahuni...manabii wanatabiri mambo ya uongo...juzi tumeshuhudia wachungaji wanalambana ndimi...ni mambo machafu yanayoendelea kwenye Ukristu na mbaya zaidi Wakristu wenyewe hawana uchungu na dini yao wao wanachoamini ni kua Mungu mwenyewe atajipigania na dini yake.mnaacha kukemea uchafu mungu aje akemee kwa niaba yenu?!

Uislamu ndo dini ya haki na wenye dini yao wanajua kukemea mambo ambao yako kinyume na dini yao hata kama yapo ndani ya utandawazi lakini ni lazima yawe yanaendana na mafundisho ya mtume wao.

Anachoamini Muislamu wa Tanzania ndo hiko hiko anachoamini muislamu alieko Kenya ..Nigeria..Saudia na kwingineko...kwa mfano Muislamu anaetoka saudia leo hii anaweza kuingia kwenye msikiti wowote wa hapa Tanzania na akaswali bila tatizo lolote kwasababu ni dini iliyonyooka na aina maigizomaigizo tofauti na Ukristo ambao kila mchungaji anataka kubuni la kwake kutoka kwenye kichwa chake

Hatukatai kwamba kuna tofauti zipo za kiimani ndani ya Uislamu lakini tofauti ni za kutafuta kumlingania allah na pia tofauti zao zina hoja ya mafundisho ndani ya quran hadithi na sunnah za mtume wao na hata kama zinaweza kua ni hoja dhaifu ila lengo ni kujenga na kuitafuta kweli lakini sio maigizo ya sisi wakristu ambayo mengine ni kufuru hata mungu mwenyewe akiona anaona aibu

Ingefaa sana kama dunia nzima ingekua na dini moja uislamu naamini maovu yangepungua ulimwenguni kama kuna muislamu atakaesoma hili bango naomba anipe utaratibu wa kuslimu nimechoka na komedi na utapeli wa sisi makafiri

Sijaongea haya kwa ubaya au kutafuta kuleta chuki kwa waislamu na wakristu ila kama wakristu inabidi wajitafakari Ukristu wao unaelekea kubaya. Dini haina fomula maalum kila mtu anatafsiri maandiko kwa namna yake kwa faida yake na wengine kwa ajili ya kupiga hela.
Kwa kweli nimesoma kichwa tu na maudhui kidogo, kwa mimi mkristo nimeona uko sahihi, sababu msingi wa dini ya Kristo ni Yesu.

Yesu hakulishana mikate na akina Petro kwa mtindo huo.

Yaani uko sahihi kuona kumbe kulishana dizain ya ndege mnyama sio sawa n
.k
Ila ungefuatilia pia kwa kina historia ya maisha ya waanzilishi wa dini hizi mbili kabla ya kuamua.

Mfano sasa hivi wewe ni ruksa kwenda kutoa mahari ķwa binti wa miaka 9 kutokana na mwongozo wa kiongozo huko uliko.

Na huku Upande mwingine kuna keki za upako, wali wa upako maandazi n.k. pia kuna maombi yalifanyika kwa wanaume wote ambao " Umeme" umekata. Na watu ambao "umeme" umerudi walikuja kushuhudia kanisani humo.

Baadae utajua tu ukweli uko vipi.

Sababu hata kwenye hukumu Yesu alisema ungeliijua kweli shida hamna akaulizwa kweli ni nini.

Ndio hicho kitu na wewe uko gizani
 
Ndio hicho kitu na wewe uko gizano
😂😂😂 Umeme umerudi mwee, hivi mtu anaweza kubali kujianika mbele za watu vile,?
 
Back
Top Bottom