Mimi ni Mkristu ila nimeamua kukiri kwa ridhaa yangu kua Uislamu ndio dini ya haki ya mwenyezi Mungu

Nimezaliwa kwenye Ukristu na nimekulia kwenye imani ya kikristu ila baada ya kupata akili nimegundua kua Uislamu ndio dini ya haki

Ukristu umekua kama kichwa cha mwendawazimu kila kanjanja anaingiza maigizo yake ukristu umekua dini ya ajabu mpk inafikia hatua mtu unaona aibu kujiita mkristu ni vituko kila kukicha.

Tumeshuudia pastor anaogesha wanawake madhabahuni...manabii wanatabiri mambo ya uongo...juzi tumeshuhudia wachungaji wanalambana ndimi...ni mambo machafu yanayoendelea kwenye Ukristu na mbaya zaidi Wakristu wenyewe hawana uchungu na dini yao wao wanachoamini ni kua Mungu mwenyewe atajipigania na dini yake.mnaacha kukemea uchafu mungu aje akemee kwa niaba yenu?!

Uislamu ndo dini ya haki na wenye dini yao wanajua kukemea mambo ambao yako kinyume na dini yao hata kama yapo ndani ya utandawazi lakini ni lazima yawe yanaendana na mafundisho ya mtume wao.

Anachoamini Muislamu wa Tanzania ndo hiko hiko anachoamini muislamu alieko Kenya ..Nigeria..Saudia na kwingineko...kwa mfano Muislamu anaetoka saudia leo hii anaweza kuingia kwenye msikiti wowote wa hapa Tanzania na akaswali bila tatizo lolote kwasababu ni dini iliyonyooka na aina maigizomaigizo tofauti na Ukristo ambao kila mchungaji anataka kubuni la kwake kutoka kwenye kichwa chake

Hatukatai kwamba kuna tofauti zipo za kiimani ndani ya Uislamu lakini tofauti ni za kutafuta kumlingania allah na pia tofauti zao zina hoja ya mafundisho ndani ya quran hadithi na sunnah za mtume wao na hata kama zinaweza kua ni hoja dhaifu ila lengo ni kujenga na kuitafuta kweli lakini sio maigizo ya sisi wakristu ambayo mengine ni kufuru hata mungu mwenyewe akiona anaona aibu

Ingefaa sana kama dunia nzima ingekua na dini moja uislamu naamini maovu yangepungua ulimwenguni kama kuna muislamu atakaesoma hili bango naomba anipe utaratibu wa kuslimu nimechoka na komedi na utapeli wa sisi makafiri

Sijaongea haya kwa ubaya au kutafuta kuleta chuki kwa waislamu na wakristu ila kama wakristu inabidi wajitafakari Ukristu wao unaelekea kubaya. Dini haina fomula maalum kila mtu anatafsiri maandiko kwa namna yake kwa faida yake na wengine kwa ajili ya kupiga hela.
Wewe sio mkristo umetafuta namna ya kufikisha ujumbe wako
 
Tamka maneno haya huku ukiwa na yakini moyoni;

Ash-hadu an laa ilaaha illa Allah, wa ash hadu anna Muhammadan Rasul Allah

Maana yake;

Ninashuhudia kwamba hapana mwenye kuabudiwa kwa haki isipokuwa Allaah. na ninashuhudia kwamba Muhammad ni Mtume wa Allah.

Karibu katika Uislam, Dini ya Mitume wote wa Allah. Dini aliyoileta Allah kwa ajili ya watu wote. Actually kusilimu kwako ni kurudi katika asili yako. Ulipozaliwa, ulizaliwa katika fitrah ya Uislam ila wazazi/walezi wako wakakupeleka katika ukristo.

Karibu katika Uislam. Uislam ndio muongozo kwako kutoka kwa Mola Mlezi wa Walimwengu wote. Ndio sababu ya kufaulu kwako.

Harakisha kurejea katika Uislam.

Allah akuongoze.
Dini ya uongo,ushenzi na unafiki,diji ya shetani mkuuu.

Only a fool can become a muslm,muslm is like a fungal disease
 
Nimezaliwa kwenye Ukristu na nimekulia kwenye imani ya kikristu ila baada ya kupata akili nimegundua kua Uislamu ndio dini ya haki

Ukristu umekua kama kichwa cha mwendawazimu kila kanjanja anaingiza maigizo yake ukristu umekua dini ya ajabu mpk inafikia hatua mtu unaona aibu kujiita mkristu ni vituko kila kukicha.

Tumeshuudia pastor anaogesha wanawake madhabahuni...manabii wanatabiri mambo ya uongo...juzi tumeshuhudia wachungaji wanalambana ndimi...ni mambo machafu yanayoendelea kwenye Ukristu na mbaya zaidi Wakristu wenyewe hawana uchungu na dini yao wao wanachoamini ni kua Mungu mwenyewe atajipigania na dini yake.mnaacha kukemea uchafu mungu aje akemee kwa niaba yenu?!

Uislamu ndo dini ya haki na wenye dini yao wanajua kukemea mambo ambao yako kinyume na dini yao hata kama yapo ndani ya utandawazi lakini ni lazima yawe yanaendana na mafundisho ya mtume wao.

Anachoamini Muislamu wa Tanzania ndo hiko hiko anachoamini muislamu alieko Kenya ..Nigeria..Saudia na kwingineko...kwa mfano Muislamu anaetoka saudia leo hii anaweza kuingia kwenye msikiti wowote wa hapa Tanzania na akaswali bila tatizo lolote kwasababu ni dini iliyonyooka na aina maigizomaigizo tofauti na Ukristo ambao kila mchungaji anataka kubuni la kwake kutoka kwenye kichwa chake

Hatukatai kwamba kuna tofauti zipo za kiimani ndani ya Uislamu lakini tofauti ni za kutafuta kumlingania allah na pia tofauti zao zina hoja ya mafundisho ndani ya quran hadithi na sunnah za mtume wao na hata kama zinaweza kua ni hoja dhaifu ila lengo ni kujenga na kuitafuta kweli lakini sio maigizo ya sisi wakristu ambayo mengine ni kufuru hata mungu mwenyewe akiona anaona aibu

Ingefaa sana kama dunia nzima ingekua na dini moja uislamu naamini maovu yangepungua ulimwenguni kama kuna muislamu atakaesoma hili bango naomba anipe utaratibu wa kuslimu nimechoka na komedi na utapeli wa sisi makafiri

Sijaongea haya kwa ubaya au kutafuta kuleta chuki kwa waislamu na wakristu ila kama wakristu inabidi wajitafakari Ukristu wao unaelekea kubaya. Dini haina fomula maalum kila mtu anatafsiri maandiko kwa namna yake kwa faida yake na wengine kwa ajili ya kupiga hela.
Hatuwezi kubadili uamuzi wako kwakuwa na wewe Ni mtu mzima. Hata sisi Ni wakristo lkn bado tunaduwaa kwa haya yanayoendelea kwa baadhi ya watumishi wa Mungu.

Lkn Kama alivyokushauri jambo la msingi kabisa mchangiaji wa nne Kama sikosei kwamba wewe unasali tu lkn bado hujamjua yesu, maana ukimjua hutoweza kuhamia uislam hata uwekewe panga shingoni.

Kingine kikubwa tambua wewe unawaangalia wachungaji na waumini badala yakumwangalia yesu. Achilia mbali vituko vya wachungaji, na unadai ulikuwa mkristo kwani hukuwahi kuona wazinifu kanisani kwako? Au wambea, wasengenyaji, wachawi nk. Na wote huwa tunasali nao lkn tunaendelea kudumu sio kwa sababu tumewafata wao hasha! Bali tumemfuata kristo. Ndugu ukitaka kuwa mpagani mzuri Basi fanya uamuzi huo ndipo utagundua hakuna sehemu salama. Maana hata huko Kuna wazinzi pia, wapo wachawi, wafuga majini nk. Ukiingia ndipo utawajua kwa ukaribu na undani.

Alafu unaonekana unasali kimazoea hujaingia mzima kwenye imani ndo sababu umekata tamaa. Mjue yesu ndipo utagundua kitu kizuri ambacho hujawahi kukijua maisha yako yote.
 
Bado ni mjinga tu na mtumwa uliyefungwa kifikra hapo umebadili geteza tu
 
Yesu,yesu,yesu je,huyu yesu ni zaidi ya WAZAZI WAKO iwapo mnakiri wenyewe kuwa MZAZI ni MUNGU wa PILI??
 
WEW NI MWISLAM TU

@(Tumeshuudia pastor anaogesha wanawake madhabahuni...manabii wanatabiri mambo ya uongo...juzi tumeshuhudia wachungaji wanalambana ndimi...ni mambo machafu yanayoendelea kwenye Ukristu na mbaya zaidi)
-Si ulifata miujiza kula chuma hiko..
@(Wakristu wenyewe hawana uchungu na dini yao wao wanachoamini ni kua Mungu mwenyewe atajipigania na dini yake.mnaacha kukemea uchafu mungu aje)
-hapo ulvonena yathibitisha kabxa wew sie mkiristu. unatuletea itikad za kidin hapa wew ni mwongo na mchonganishi.

-wew ndo tatzo, mpka unaingia hayo makanisa uchwala hkujua unaingia wapi?

JE' hko palestina wanaozichapa ni dini gan? Maana umesema zicngekupo fujo tungekua wote wais lam
 
Yes Ni zaidi ya wazazi wangu. Sababu maishani Kuna Mambo ambayo wazazi wanaweza kuyamudu kukusaidia na wakaweza. Lkn Kuna Mambo ambayo ukiwaambia wazazi wakusaidie wanaweza kubaki wanalia tu kwa kushindwa wafanye Nini. Happy ndipo mfalme wa amani anapohusika Sasa.
 
YESU NI MWILI NA NA NAFSI ....NAFSI NI MTAWALA WA MWILI YENYEWE NDIYO INAUTUMA MWILI KUFANYA UFANYAVYO ....NAFSI NI MFALME WA MWILI WAKE MTU .....HIVYO YESU ALITUMWA NA NAFSI YAKE AMBAYO NDIYO MUNGU ....maana inasema mwana anatenda tu yale yampendezayo baba, tafsiri yake ni mwili unatenda yale tu yaipendezayo nafsi yake ambayo ndiyo baba ambayo ndiyo Mungu
Mwambie Mchungaji aliyekuambia maneno hayo akupe na Aya inayosema hivyo
 
Unajisumbua na kujichosha tu, Kristo hajawahi badirika, utazunguka kote, ila ujue jehanamu ya moto inakusubiri Kama hautatubu na kuacha dhambi na kumwamini Yesu kristo maana yeye ndio njia kweli na uzima.

Maisha ni ya kwako, na uzuri Kila mtu anakufa peke yake.

Yesu ni halisi, ukimuita atakuja na kukusikiliza, hata ukitaka umuone atakuja umuone, Sasa wewe unajichanganya kwenda kwa Mungu mfu. Shauri yako
Yesu katumwa kwa wana Israeli , wewe kijana wa gongo la mboto hakuhusu
 
Wewe unaleta ushabiki ...Muhammad ndiyo alifanya hivyo kumnyanya yule mtoto wa kiume

Maneno haya kayasema Nani ?
4267947594_92553f8abe_w (2).jpg
 
WEW NI MWISLAM TU

@(Tumeshuudia pastor anaogesha wanawake madhabahuni...manabii wanatabiri mambo ya uongo...juzi tumeshuhudia wachungaji wanalambana ndimi...ni mambo machafu yanayoendelea kwenye Ukristu na mbaya zaidi)
-Si ulifata miujiza kula chuma hiko..
@(Wakristu wenyewe hawana uchungu na dini yao wao wanachoamini ni kua Mungu mwenyewe atajipigania na dini yake.mnaacha kukemea uchafu mungu aje)
-hapo ulvonena yathibitisha kabxa wew sie mkiristu. unatuletea itikad za kidin hapa wew ni mwongo na mchonganishi.

-wew ndo tatzo, mpka unaingia hayo makanisa uchwala hkujua unaingia wapi?

JE' hko palestina wanaozichapa ni dini gan? Maana umesema zicngekupo fujo tungekua wote wais lam

View: https://youtube.com/shorts/Xnkt_KyieLo?si=KFPu6NOqFLUcKNQK
 
Kwa tamaduni za watu wa zamani na miaka hiyo ilikuwa ni kawaida kwa wao kuoa wasichana wadogo

Iwe waarabu, waafrika na Wayahudi na hata Wazungu
King Richard || wa England alimuoa Isabelle wa France 1396 akiwa na umri wa miaka 6

Kama unavyoshangaa wewe sasa, na pia watakaokuja baadae wakisikia na nyie watoto mnatembea na mishangazi watashangaa pia
Bi hadija alikua mshangazi wa kiben 10 muddy,pedophile mzee wa wahay za kulomba wake wa watoto zake.
 
Hatuwezi kubadili uamuzi wako kwakuwa na wewe Ni mtu mzima. Hata sisi Ni wakristo lkn bado tunaduwaa kwa haya yanayoendelea kwa baadhi ya watumishi wa Mungu.

Lkn Kama alivyokushauri jambo la msingi kabisa mchangiaji wa nne Kama sikosei kwamba wewe unasali tu lkn bado hujamjua yesu, maana ukimjua hutoweza kuhamia uislam hata uwekewe panga shingoni.

Kingine kikubwa tambua wewe unawaangalia wachungaji na waumini badala yakumwangalia yesu. Achilia mbali vituko vya wachungaji, na unadai ulikuwa mkristo kwani hukuwahi kuona wazinifu kanisani kwako? Au wambea, wasengenyaji, wachawi nk. Na wote huwa tunasali nao lkn tunaendelea kudumu sio kwa sababu tumewafata wao hasha! Bali tumemfuata kristo. Ndugu ukitaka kuwa mpagani mzuri Basi fanya uamuzi huo ndipo utagundua hakuna sehemu salama. Maana hata huko Kuna wazinzi pia, wapo wachawi, wafuga majini nk. Ukiingia ndipo utawajua kwa ukaribu na undani.

Alafu unaonekana unasali kimazoea hujaingia mzima kwenye imani ndo sababu umekata tamaa. Mjue yesu ndipo utagundua kitu kizuri ambacho hujawahi kukijua maisha yako yote.
Yesu alikuwa kabla ya kusali Anatawadha je Unafanya hayo?
Yesu Alikuwa anasujudu je unafanya hivyo?
La mwisho kabisa Yesu hajawai na hatowai kuingia kanisani kwa mujibu wa Bible Yesu alikuwa anafundisha ndani ya Misikiti ya Wayahudi.
Neno kufundisha umelielewaje?
 
Kuna Yule aliejiita shkh shoga uko south Africa.....alikula chuma fasta apo apo akadead
 
Wewe ni mtoto mdogo sana, note Quran kariim haiwezi Ikawa ngao yako, elimu yako ya bibilia na ukristo ni 0.000000% , toka lini yesu akawa mungu?, yesu huyu huyu, yaani unatoa maandiko ya kuunga unga,

yesu ali lala, yesu ali kula, yesu aliomba msaada, yesu alinyonya kwa mama, yesu uki mpiga anatoa damu,
Be serious 🤣 🤣 🤣 🤣 huyo hana sifa ya kua mungu, sifa yake huyo ni mja wa MUNGU
Yesu Alikufa akafufuka,muddy pedohile yupo jehanam tunamswalia
 
Yesu alikuwa kabla ya kusali Anatawadha je Unafanya hayo?
Yesu Alikuwa anasujudu je unafanya hivyo?
La mwisho kabisa Yesu hajawai na hatowai kuingia kanisani kwa mujibu wa Bible Yesu alikuwa anafundisha ndani ya Misikiti ya Wayahudi.
Neno kufundisha umelielewaje?
Aliishi katika tamaduni za kiyahudi ilimbidi aendane nazo.

Ukristo ni imani sio tamaduni
 
Back
Top Bottom