Mimi ni Mkristu ila nimeamua kukiri kwa ridhaa yangu kua Uislamu ndio dini ya haki ya mwenyezi Mungu

Mimi ni Mkristu ila nimeamua kukiri kwa ridhaa yangu kua Uislamu ndio dini ya haki ya mwenyezi Mungu

Sasa mkuu hivi bila ya dini utamjua MUNGU?, jibu hapana
Si kweli, dini ipi imekutambulisha kuhusu Mungu? Na kwanini tunapenda hizi dini kuliko kumpenda Mungu?
 
UISLAMU ukiingiza hata herufi tu, lazima utajulikana na utawekwa wazi.

Allah aliahidi kuilinda hii dini, kuanzia maneno yake mpaka maneno ya Mtume wake, vyote amevilinda.
Umedanganywa
 
Kwani neno mungu abadiliki maana yake wewe unadhani ni nini ? Inaweza kuwa abadiliki katika kuwa upande wa watenda haki na kuwa kinyume na watenda uovu ...kwani wewe unaposikia kuwa mungu abadiliki unadhani ni kuto kubadilika kwenye kitu gani ?
Unajua kama uta focus kidogo tu utapa maana,
"Kubadilika ni kitendo cha kutoka hali moja kwenda hali nyingine "

Andiko lingine lika kazia
"MUNGU habadiliki wala hafi "
Hivi unaijua maana ya kufa??

Na bibilia in short ina accept MUNGU mmoja,

Maandiko yapo mengi huwezi kuamini,
Swali why haya hamyaoni ilhali yapo ndani ya bibilia??
 
Nimezaliwa kwenye Ukristu na nimekulia kwenye imani ya kikristu ila baada ya kupata akili nimegundua kua Uislamu ndio dini ya haki

Ukristu umekua kama kichwa cha mwendawazimu kila kanjanja anaingiza maigizo yake ukristu umekua dini ya ajabu mpk inafikia hatua mtu unaona aibu kujiita mkristu ni vituko kila kukicha.

Tumeshuudia pastor anaogesha wanawake madhabahuni...manabii wanatabiri mambo ya uongo...juzi tumeshuhudia wachungaji wanalambana ndimi...ni mambo machafu yanayoendelea kwenye Ukristu na mbaya zaidi Wakristu wenyewe hawana uchungu na dini yao wao wanachoamini ni kua Mungu mwenyewe atajipigania na dini yake.mnaacha kukemea uchafu mungu aje akemee kwa niaba yenu?!

Uislamu ndo dini ya haki na wenye dini yao wanajua kukemea mambo ambao yako kinyume na dini yao hata kama yapo ndani ya utandawazi lakini ni lazima yawe yanaendana na mafundisho ya mtume wao.

Anachoamini Muislamu wa Tanzania ndo hiko hiko anachoamini muislamu alieko Kenya ..Nigeria..Saudia na kwingineko...kwa mfano Muislamu anaetoka saudia leo hii anaweza kuingia kwenye msikiti wowote wa hapa Tanzania na akaswali bila tatizo lolote kwasababu ni dini iliyonyooka na aina maigizomaigizo tofauti na Ukristo ambao kila mchungaji anataka kubuni la kwake kutoka kwenye kichwa chake

Hatukatai kwamba kuna tofauti zipo za kiimani ndani ya Uislamu lakini tofauti ni za kutafuta kumlingania allah na pia tofauti zao zina hoja ya mafundisho ndani ya quran hadithi na sunnah za mtume wao na hata kama zinaweza kua ni hoja dhaifu ila lengo ni kujenga na kuitafuta kweli lakini sio maigizo ya sisi wakristu ambayo mengine ni kufuru hata mungu mwenyewe akiona anaona aibu

Ingefaa sana kama dunia nzima ingekua na dini moja uislamu naamini maovu yangepungua ulimwenguni kama kuna muislamu atakaesoma hili bango naomba anipe utaratibu wa kuslimu nimechoka na komedi na utapeli wa sisi makafiri

Sijaongea haya kwa ubaya au kutafuta kuleta chuki kwa waislamu na wakristu ila kama wakristu inabidi wajitafakari Ukristu wao unaelekea kubaya. Dini haina fomula maalum kila mtu anatafsiri maandiko kwa namna yake kwa faida yake na wengine kwa ajili ya kupiga hela.
Wewe utakuwa unaumwa.
 
Si kweli, dini ipi imekutambulisha kuhusu Mungu? Na kwanini tunapenda hizi dini kuliko kumpenda Mungu?
Mkuu acha kubisha vitu rahisi sana
Hivi MUNGU yupi na uta mjuaje bila ya dini?, kuamini au kuto kuamini ni juu yako, naweza kukupa swali ukahisi nimekutusi bure na huto jibu
 
Unajua kama uta focus kidogo tu utapa maana,
"Kubadilika ni kitendo cha kutoka hali moja kwenda hali nyingine "

Andiko lingine lika kazia
"MUNGU habadiliki wala hafi "
Hivi unaijua maana ya kufa??

Na bibilia in short ina accept MUNGU mmoja,

Maandiko yapo mengi huwezi kuamini,
Swali why haya hamyaoni ilhali yapo ndani ya bibilia??
Kasome kwenye injili yesu anasema wajapo kufa watakuwa wanaishi ...kuna kufa mwili na kufa nafsi hii hata kisayansi inajulikana ..mfano nafsi ya jini ikiwa ndani ya mwili wako kisha ukagongwa na gari ile nafsi ya jini haifi kwa sababu yenyewe inaweza kuishi nje ya mwili wa mwanadamu ...rudi msalabani kamsikie yesu anamwambia yule mtu leo hii utakuwa pamoja nami pema peponi
 
Narudia wewe huna hoja, matusi unayo ila hoja ya kumtetea YESU huna na hutokuwa nayo
Yaani kanisa lilikuwepo kabla ya ADAM?,
Sas bibilia yako huijui uta kuwa na hoja ya kumtetea
Bibilia we unaijua?
 
Mkuu acha kubisha vitu rahisi sana
Hivi MUNGU yupi na uta mjuaje bila ya dini?, kuamini au kuto kuamini ni juu yako, naweza kukupa swali ukahisi nimekutusi bure na huto jibu
Mkuu sio lazima tufanane mtazamo, haya mambo sio 1+1 ni 2.

Nimekuuliza dini ipi imekutambulisha kuhusu Mungu? Na kwanini tunapenda hizi dini kuliko kumpenda Mungu?
 
Allah ni baba yetu ndio
( siyo biological) No
18. Na Mayahudi na Wakristo wanasema: Sisi ni wana wa Mwenyezi Mungu na vipenzi vyake. Sema: Basi kwa nini anakuadhibuni kwa ajili ya dhambi zenu? Bali nyinyi ni watu tu kama wale wengine alio waumba
 
Sijatukana ni Allah amesema mwenyewe anatuma mashetani kwa wakristo

Na sisi tunayashughulikia ipasavyo kwa jina la yesu yanarudi kwa Allah

Allah anasema
Koran 19.83 Kwani huoni ya kwamba tumewatuma mashet'ani kwa makafiri wawachochee kwa uchochezi?

Anzia huku

Spirits that GOD Almighty sends down including lying ones in the Bibles:

Some of the Spirits that GOD Almighty sends down upon His creations in the Old Testament. See alsoDaniel 7:25: Christianity will change time and the Law.

Isaiah 11:1-3 "1. A shoot willcome up from the stump of Jesse; from his roots a Branch will bear fruit.

2. The Spirit of the LORD will rest on him (Jesus)-- the Spirit ofwisdom and of understanding, the Spirit of
counsel and of power, the Spirit of knowledge and of the fear of the LORD(Jesus fearing his GOD)--

3. and he will delight in the fear of the LORD. He will not judge by what he sees with hiseyes, or
decide by what he hears with his ears;"

1 Kings 22:22 " 'By what means?' the LORD asked. " 'I will go out and be a lying spiritin the mouths of all his prophets,' he said. " 'You will succeed in enticing him,' said the LORD. 'Go and do it.'

1 Kings 22:23 "So now the LORD has put a lying spirit in the mouths of all these prophets of yours. The LORD has decreed disaster for you."

Paul admitted lying (Romans 3:7). He literally said he spoke lies during his ministry. Which spirit inspired Paul to lie?
 
Kinachonishangaza ni wakristu kutoinadi dini yao wala kuilinganisha na dini zingine.Wao wako bize kuhubiri toba na kuiamini injili.
Huwezi mkuta Padre au Pastor analinganisha ukristu na dini zingine za kata!
Kinachokushangaza ni kwa sababu hawataki kufanya ivo kwa sababu hawana hoja za kuweka mezani mgekuwa na hoja za kujisimamia wala msingekuwa na presha na dini yenu hiyo just imagine dini gani unaenda kumuabudu mungu umevaa uchi mtupu afu ati unaenda kutubu Dhabi zako kwa mwanadam mwenzako ambaye nae anafanya hata za kuzidi zako ati unaenda kuabudu sanam ivi kati ya yesu na mtume Muhammad nani katangulia mwenzake mbona hamtumii japo akili kidogo lkn mtaambiwa mpaka lini ila sawa ujumbe umefika kazi kwako uamini au usiamn ila ujumbe umewafikia
 
Kwani ni wakristo wote wanaoenda kuabudi kwa huyo mwanadamu unayemtaja ? Mbona ninyi wenginine wameanza kufunga na wataanza kula pilau ilhali wengine - waabudu mwezi wamechelewa kufunga na watachelewa kula iddi.

Suala la kuvaa uchi haliangalii tu ukiwa unaenda kuabudu, hata ukiwa kitaa unatakiwa uwe umevaa vizuri. Mbona dada zenu kitaa ndio wanaongoza kwa kuvaa vichupi na kubana madela yao kwenye chupi.
 
Tutegemee ninini kutoka kwa watu walioitwa kondoo na wao wakaamini ni kondoo kweli? - courtesy Jinni la Tiktok.
 
Nimezaliwa kwenye Ukristu na nimekulia kwenye imani ya kikristu ila baada ya kupata akili nimegundua kua Uislamu ndio dini ya haki

Ukristu umekua kama kichwa cha mwendawazimu kila kanjanja anaingiza maigizo yake ukristu umekua dini ya ajabu mpk inafikia hatua mtu unaona aibu kujiita mkristu ni vituko kila kukicha.

Tumeshuudia pastor anaogesha wanawake madhabahuni...manabii wanatabiri mambo ya uongo...juzi tumeshuhudia wachungaji wanalambana ndimi...ni mambo machafu yanayoendelea kwenye Ukristu na mbaya zaidi Wakristu wenyewe hawana uchungu na dini yao wao wanachoamini ni kua Mungu mwenyewe atajipigania na dini yake.mnaacha kukemea uchafu mungu aje akemee kwa niaba yenu?!

Uislamu ndo dini ya haki na wenye dini yao wanajua kukemea mambo ambao yako kinyume na dini yao hata kama yapo ndani ya utandawazi lakini ni lazima yawe yanaendana na mafundisho ya mtume wao.

Anachoamini Muislamu wa Tanzania ndo hiko hiko anachoamini muislamu alieko Kenya ..Nigeria..Saudia na kwingineko...kwa mfano Muislamu anaetoka saudia leo hii anaweza kuingia kwenye msikiti wowote wa hapa Tanzania na akaswali bila tatizo lolote kwasababu ni dini iliyonyooka na aina maigizomaigizo tofauti na Ukristo ambao kila mchungaji anataka kubuni la kwake kutoka kwenye kichwa chake

Hatukatai kwamba kuna tofauti zipo za kiimani ndani ya Uislamu lakini tofauti ni za kutafuta kumlingania allah na pia tofauti zao zina hoja ya mafundisho ndani ya quran hadithi na sunnah za mtume wao na hata kama zinaweza kua ni hoja dhaifu ila lengo ni kujenga na kuitafuta kweli lakini sio maigizo ya sisi wakristu ambayo mengine ni kufuru hata mungu mwenyewe akiona anaona aibu

Ingefaa sana kama dunia nzima ingekua na dini moja uislamu naamini maovu yangepungua ulimwenguni kama kuna muislamu atakaesoma hili bango naomba anipe utaratibu wa kuslimu nimechoka na komedi na utapeli wa sisi makafiri

Sijaongea haya kwa ubaya au kutafuta kuleta chuki kwa waislamu na wakristu ila kama wakristu inabidi wajitafakari Ukristu wao unaelekea kubaya. Dini haina fomula maalum kila mtu anatafsiri maandiko kwa namna yake kwa faida yake na wengine kwa ajili ya kupiga hela.
Ukristo nini?
 
Tutegemee ninini kutoka kwa watu walioitwa kondoo na wao wakaamini ni kondoo kweli? - courtesy Jinni la Tiktok.
Muhuni mudi boy akawaambia wapumbavu kuwa...
👉 wao ndiyo uma bora mbinguni ila akawaambia hao hao wapumbavu kuwa.

👉katika uma huo bora kuliko nyuma zote hakuna atakaye fikia daraja ya NABII AU YA MITUME KISHA AKAWAAMBIA WAPIGE MAKOFI NA KUSHANGILIA KWA KUWA AWAWEZI TENA KUMCHA MUNGU NA KUFIKIA DARAYA ZA JUU HIVYO KWA HIYO WAO NDIYO UMA BORA ZAIDI...hapa kuna tusi kubwa sana.
Je mwalimu bora ni yule anaye waambia wanafunzi wake kuwa kwa sababu yeye ni mwalimu bora basi hakuna tena mwanafunzi katika shule anayo fundisha atakaye pata division 2 wala 1...kisha wanafunzi kakashangilia sana kuwa huyo ni mwalimu bora 😇😇😇😇....tungo tata muhuni mudi boy kasepa na wapumbavu ...harafu kuna mpumbavu anasema mudi boy alikuwa nanajua mtume na nabii ni nini?...kituko mtume mkuu kuliko wote ajui logic ya daraja ya utume ni nini 👐 adriz FaizaFoxy Malaria 2 Bwana Utam k290 Mufti kuku The Infinity Rabbon Jagina
💩💩💩💩💩💩💩
 
Back
Top Bottom