Mimi ni Mkristu ila nimeamua kukiri kwa ridhaa yangu kua Uislamu ndio dini ya haki ya mwenyezi Mungu

Mimi ni Mkristu ila nimeamua kukiri kwa ridhaa yangu kua Uislamu ndio dini ya haki ya mwenyezi Mungu

Kuna watu wana access na ujuzi na maarifa ambayo mtu akiyabobea anakuwa na uwezo wa kumchambua na kummenya binadamu kama karanga.

Ili kudhibiti binadamu juu ya uwezo wake, kwanza walimtenganisha na hayo maarifa kwa kuyaficha mahala (bottom secret)... huku Africa walitumaliza uwezo wetu kipindi cha ukoloni (jiulize kwanini waliwawinda machief licha ya kuwamudu bado waliondoka na viungo mafuvu why?

Pili wakacheza na ufahamu wa binadamu (deep psychology) kupitia dini na falsafa(idiology) mbalimbali.

Tatu wakatumia nguvu baada ya kukukata connection ya mwili wako na uwezo wako wa kiungu wakaona haitoshi wakaona huu mwili, mbavumbavu hizi zitatusumbua wakaunda mfumo wa serikali na vyombo vyake vya dola.

Huu ujinga unaukuta kwenye michezo na burudani, watazame watu walio jikitita kwenye mambo hayo,wamekuwa kama wendawazimu. Hawafikirii maisha nje ya michezo na burudani.

Kwenye dini utawakuta hao wapo nje ya Uislamu. Uislamu umehifadhiwa na yule aliyeuleta.

Hizi Stori za vijiweni.
 
Ukristo sio nadharia ni maisha. Hivyo sio jambo la kubishania

Ingekuwa hivyo Ukristo angufundisha Yesu kwanza, sababu wao ndio walipewa dini waje kuwafundisha namna ya kuishi na hiyo maana ya dini.

Sasa kama Ukristo hauna sheria wala ibada, hauwezi kuwa maisha mseme mtakavyosema.

Ukristo unakuwaje maisha wakati haufundishi ndoa inafungwaje, mtu akifa anatakiwa azikwe vipi kwa mujibu wa sheria. Halafu unadai ni maisha. Hivi huwa mnaandika haya kwa kujifurahisha au hamjui mnayiyaandika ?
 
Allah ni nani?

Tamka kwa lugha ya asili yako achana na kiarabu

Muumba wa Mbingu na Ardhi.

Nikitamka kwa Kiarabu kuna shida gani ? Mbona huna hoja kijana.

Kwamba nikitamka kwa lugha yangu ndio haiwi Allah au ?
 
Nasema tena, Mungu hahitaji watu wa kupigania dini yake. Labda huyo Allah ndo mwenye upuuzi huo.
Mungu gani unayemuongelea wewe ?

Mola wetu hafanyi kama unavyotaka wewe, wala hapangiwi sababu yeye ni mkamilifu na anataratibu zake ambazo hazibadiliki.

Sasa wewe endelea kusema, sababu habdilishi choochote katika uungu wake.
Mungu muumba wa vyote yeye ameshatoa amri zake then we ufate usifate ni juu yako, sasa ahitaji watu wapiganie ni kwamba yeye peke yake hawezi?

Mwenye uwezo kuipigania dini yake, ni kuonyesha udhaifu na yeye aameepukana na udhaifu wa aina yoyote.

Wanao pigania jambo ni wale wenye kuhitajia, lakini yeye si muhitaji, sababu hata msipoifata dini yake yeye hapungukiwi na chochote wala huongezi chochote katika utukufu wake.

Shida bado hujamjua Mola muumba.
Nyie mnapigania dini ya mtume feki mudi sio ya Mungu.

Sisi lazima tuipiganie dini yake sababu sisi tunahitajia toka kwake.
 
Yesu alisema ufalme ulio farakana hauta simama madhehebu ni mafarakano.
hiyo ni biblia iliyo kichwani mwako au kichwa cha mchungaji wako , weka aya hatutaki mineno mingui kijana
 
Ukishajua hiyo dini ya kweli na haki baki nayo moyoni tu. Watu wapo bize kutafuta hela wajikwamue na umasikini wameamua kuachana na utumwa wa dini
watu wapo busy kuitafuta pepo (paradise) yao . Itakufaa nini fahari ya ulimwengu huu ili hali utaukosa uzima wa milele?
 
hiyo ni biblia iliyo kichwani mwako au kichwa cha mchungaji wako , weka aya hatutaki mineno mingui kijana
Tatizo lako we unayachukulia mafundisho ya yesu powa ..hadi ukiniona mimi genius mzima japo sijawai kwenda makanisani wala misikitini hata siku moja ila ninakuambia INJILI NI MAAGIZO YA MUNGU WA KWELI UJUE SIYO JAMBO DOGO ,hayo ni maneno ya yesu kuwa ufalme ulio farakana hautasimaa.... watakatifu wa kweli wana ongozwa na roho wa Mungu mmoja hata wakiwa awajuani kamwe mafundisho yao ayafarakani wala wao awafarakani maana shauri la mungu mmoja linafanya kazi ndani yao
 
Ingekuwa hivyo Ukristo angufundisha Yesu kwanza, sababu wao ndio walipewa dini waje kuwafundisha namna ya kuishi na hiyo maana ya dini.

Sasa kama Ukristo hauna sheria wala ibada, hauwezi kuwa maisha mseme mtakavyosema.

Ukristo unakuwaje maisha wakati haufundishi ndoa inafungwaje, mtu akifa anatakiwa azikwe vipi kwa mujibu wa sheria. Halafu unadai ni maisha. Hivi huwa mnaandika haya kwa kujifurahisha au hamjui mnayiyaandika ?
Asante KWA mtazamo wako
 
Mind has no firewall.

Wenye siri washacheza ufahamu wa wanadamu... Wame-set wameingizia vitu kupitia huo huo uhalisia.
Utakuwa na mashaka sababu ya ujinga wako na kutokutumia akili juu ya hicho unachokisikia. Mola wetu hapendi wavivu wa kufikiri na wanao kata tamaa katika rehma zake.

Kila kitu Allah alikiweka wazi ni wewe kuamua tu kufata haki au uiache haki, ndio maana kuna siku ya hukumu. Walio tenda mema watalipwa pepo na waliofanya uasi watalipwa moto.


Inaonekana hata maana ya dini huijui. Unayo yaandika wewe ni matokeo na hayo ni katika dini ambazo si za haki, ndio maana watu wanaweza kuingiza uongo na hila zao. Lakini Uislamu umebakia vile vile kama alivyo ufundisha Mtume, na ndio maana ukileta lako katika Uislamu lazima utaambiwa. Mtume alishasema yeyote atakaye leta jambo katika dini hii basi atarudishiwa mwenyewe, au kama alivyo sema Mtume.

Kingine Usiku hauleti mchana, Mchana ni Mchana na Usiku ni usiku.

Hili hakuna bali hizo ni stori zenu tu za vijiweni ambazo hazina ushahidi, mambo ambayo yamewekwa kuwadhibiti watu wasifikirie zaidi ya wanayo yaona ni hayo mambo ya burudani na michezo, mafilamu, mipira, tamthilia na magame. Mavitu ambyo yanamfanya mtu asifikirie kwanini ameumbwa na kwanini anaishi, je ameumbwa ili aishi tu halafu basi ?

Dini inahimiza watu wafikirie kwa usahihi. Acheni kusambaza uongo.
Kikubwa kila mmoja aheshimu imani ya mwezake.
 
Hiki ulichokiandika unakielewa ? Kama ni neema, Sasa kwanini mnafanya matendo na mnapenda Kanisani ?

Ila Wakristo huwa mnamatatizo sana katika ufikiriaji, yaani mnaonekana huwa hamsomi maandiko yenu na hamjui asili yake, Wala hamfanyi utafiti.

Ukristo ndio maana sio ukweli sababu Hauna asili Toka kwa Yesu.
Nafikiri hufahamu kwanza maana ya neema.
Wakristo tunaamini hatuwezi kuwa wakamilifu mbele za Mungu. Kwahiyo tunapata rehema za Mungu kwa neema tu.

Sasa focus yetu haipo hasa kwenye matendo yanayo pimwa na sheria, bali focus yetu ni kwa Yesu ambae ametupa sisi kustahili(Neema) mahali ambapo hatukustahili.

Na ndio maana ili uokoke lazima umkiri Yesu kwa kinywa, na kuamini kwa moyo kazi aliyoifanya msalabani.
Na matendo yanayoendana na huo ukiri ni UPENDO (Wala sio kwenda kanisani ingawa ni muhimu). Kumpenda Mungu, na kumpenda Jirani. Hivi ndivyo Yesu alivyofundisha.

Kwasababu hiyo hiyo ya Upendo, Yesu akatuachia pia assignment ya kuwajuza watu wengine kuhusu yeye kwa kuhubiri, kama ninavyofanya hapa.
Ukimuamini; utaokoka na utakuwa Mkristo, kwa maana ya ufuasi wa Kristo na sio udini.
 
Back
Top Bottom