Naanto Mushi
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 6,236
- 15,677
Huo ndo ukweli jamani ambao natamani kuusema... Nahisi mimi ntakuwa ni kati ya wale watanzania ambao tunashika mkia kwenye suala zima la kupiga show.
Niseme tu ukweli mimi ni mbovu sana, tena sanaa.. Sitaki kusema ni mbovu kiasi gani.. Ila nahisi ntakuwa nashika mkia.
Ila kizuri ni kwamba, pamoja na ubovu wangu, sijawahi kabisa kuwaza kwamba natakiwa nifanye improvement kwenye hili eneo... yaani najiona nipo perfect kabisa, kinyume na watu wengine ambao naona ni kama wanafanya uwekezaji mkubwa kwenye show..
Ila sasa ninachoshindwa kuelewa, nilitegemea ningekuwa napokea negative feedback kutoka kwa kambi ya upinzani, ila huwa sipati feedback yeyote baada ya uchaguzi... na kila ikitokea nimeitisha uchaguzi mwingine, basi vyama vya upinzani huwa wanaonesha mwitikio bila kutoa kasoro zozote za uchaguzi uliopita.
Sasa hii tabia ya hivi vyama vya upinzani kutokususia chaguzi, inanifanya na mimi niendelee kuamini demokrasia yangu ipo imara, ilhali mimi binafsi nikichunguza nchi jirani naona kabisa kuna mapengo kwenye demokrasia yangu.
Sasa sielewi.
1. Je? Vyama vya upinzani kwenye taifa langu ni vichanga, kwamba vinashindwa kubaini changamoto za kidemokrasia kwenye uchaguzi?
Ni hayo...
Elewa kwanza mada..hahahahaha