Mimi ni Mnyamwezi , Na Wewe Je??

Mimi ni Mnyamwezi , Na Wewe Je??

Wana Jf, Ni jambo zuri sana endapo kila mwana Jf atajitambulisha kabila lake hapa jamvini.

Swali: Nini Faida ya kutaja kabila lako hapa?

Jibu : Faida zake ni nyingi sana, nitakutajieni chache...

1-Itatusaidia kujua hapa jamvini kabila gani linaongoza kuwa na wanachama wengi

2-Itatusaidi kujua kabila gani lina busara zaidi kutokana na post za mhusika

3-Itatusaidia kujua tabia na uhalisia wa makabila yaliyopo Jf

4-Itatusaidia kujua makabila ya wana Jf ambao ni wabeba box

5-Itatusaidia kujua makabila........................

mimi siku sitaki hata kujitambulisha kama mnyamwezi. Aisee wanyamwezzi hatusaidiani kabisa. Kuna watu wa unyamwezini wapo kwenye system lakini
kutunyanyua shahe, nduhu gete. Wenzetu nshomile, wachaga na wanyakyusa wanabebana mno
 
usisafirie nyota ya mwenzio.

Ila kumbuka wanaosaidiwa huwa ni wale 'outstanding'

mimi siku sitaki hata kujitambulisha kama mnyamwezi. Aisee wanyamwezzi hatusaidiani kabisa. Kuna watu wa unyamwezini wapo kwenye system lakini
kutunyanyua shahe, nduhu gete. Wenzetu nshomile, wachaga na wanyakyusa wanabebana mno
 
mimi siku sitaki hata kujitambulisha kama mnyamwezi. Aisee wanyamwezzi hatusaidiani kabisa. Kuna watu wa unyamwezini wapo kwenye system lakini
kutunyanyua shahe, nduhu gete. Wenzetu nshomile, wachaga na wanyakyusa wanabebana mno

Usijali mkuu..

Mimi nitakupa msaada, na hauna masharti
 
halafu we unapenda mambo ya koni. Nikila yako ujue naimaliza sikuachii hata kidogo.
Wee swahiba hata sevaban haikutoshi....khaaaa!!

Kaka Boflo mie natoka SayuSayu mwaya eeh!
 
Back
Top Bottom