josephat manyenye
JF-Expert Member
- Dec 3, 2017
- 529
- 679
Yaani ungepunguza masharti kidogo, hasa hapo kwenye bia, natumaini ungebeba mzigo muda siyo mrefuMimi ni msichana wa kitanzania mwenye miaka 26.najitokeza kwenu kutafuta mwanaume ambae MUNGU akipenda awe baba wa watoto.
Kiukweli niko very serious nawish nimpate mtu mwenye mapenzi ya dhati na sio masihara.
Sifa zake.
Dini .....mkristo
Miaka..... Kuanzia miaka 29-35
Kari awe ameajiriwa au awe anajishughulisha na kazi halali inayomuingizia kipato.
Mwenye kujitambua,
Asivute sigara wala sio mtumiaji wa pombe.
MSAFI.,mtanashati,
Aliye seriously.
Sibagui kabila
SIFA ZANGU.
miaka 26,mfanyabiashara,elimu diploma,
Ww ulisema humu ni mgeni mara umeshapajua kiasi cha kumwambia mwenzio hawezi kupata mume bora?!Heee. Humu sijui kama utapata mume bora. Mitandaoni siyo mahala pakupata mume ILa kila la kheri
Amezungumzia mitandao kwa ujumla wake na sio Jf peke yakeWw ulisema humu ni mgeni mara umeshapajua kiasi cha kumwambia mwenzio hawezi kupata mume bora?!
Au ulishajaribu kutafuta ukakosa?
Acha kumkatisha mwenzio tamaa
Kasema humuAmezungumzia mitandao kwa ujumla wake na sio Jf peke yake
Inasemekana mwanaume asiekunywa pombe anakuwa mzembe mzembe na pia anakuwa na gubu balaa sababu mda mwingi yupo nyumbani anagombania remote za tv na watoto!Mimi ni msichana wa kitanzania mwenye miaka 26.najitokeza kwenu kutafuta mwanaume ambae MUNGU akipenda awe baba wa watoto.
Kiukweli niko very serious nawish nimpate mtu mwenye mapenzi ya dhati na sio masihara.
Sifa zake.
Dini .....mkristo
Miaka..... Kuanzia miaka 29-35
Kari awe ameajiriwa au awe anajishughulisha na kazi halali inayomuingizia kipato.
Mwenye kujitambua,
Asivute sigara wala sio mtumiaji wa pombe.
MSAFI.,mtanashati,
Aliye seriously.
Sibagui kabila
SIFA ZANGU.
miaka 26,mfanyabiashara,elimu diploma,
Amesema mitandaoni sio sehemu ya kupata mume. Na amesema humu kwa sababu hum pia ni mtandaoniKasema humu
Aende wapi sasaHeee. Humu sijui kama utapata mume bora. Mitandaoni siyo mahala pakupata mume ILa kila la kheri
Yeye alishatafuta humu akakosa?!Amesema mitandaoni sio sehemu ya kupata mume. Na amesema humu kwa sababu hum pia ni mtandaoni
Kuhusu hayo mengine sijui ila jibu langu lilitokana na hoja yako ya ugeni na kile alichoandikaYeye alishatafuta humu akakosa?!
Wapo watu wanapata ndoa mitandaoni cha msingi ni kutomkatisha mtu tamaa kama yeye kakosa basi asiwaaminishe wenzie kuwa hamna watu wazuri mtandaoni maana hao wa mtaani na mtandaoni ni watu walewale
Mmh kweli?Heee. Humu sijui kama utapata mume bora. Mitandaoni siyo mahala pakupata mume ILa kila la kheri
Dm rafikiNakupataje ss
Kikubwa ni kuzidi tu kumuomba munguAtapata maana kuna wengi washapata kupitia hapa JF
AmenApo kwenye usafi hilo nijukumu lako kumfanya alook smart. By the way, all the best..
Mara nawewe hoja yako imebadilikaKuhusu hayo mengine sijui ila jibu langu lilitokana na hoja yako ya ugeni na kile alichoandika
Wala haijabadilika. Tangu mwanzo nilikujibu kwa ile hoja ya ugeni wake wa humu na kile alichokisema bila kujali ni cha kweli au laMara nawewe hoja yako imebadilika
Kwahiyo hoja yake ya kusema kuwa mwenzie hawezi kupata mume bora humu ndio unayoitetea wakati yeye kaombwa kukaribishwa humu sidhani hata kama wiki imeisha na humu kuna member zaidi ya milioni 3.Wala haijabadilika. Tangu mwanzo nilikujibu kwa ile hoja ya ugeni wake wa humu na kile alichokisema bila kujali ni cha kweli au la
Naona umeamua kuvunja watu asubuhi hii. kwenye nyekundu umeniacha hoiMie zote ninazo, Tatizo ni hapo kwenye POMBE,..
Kila la kheri Mungu akujalie umpate asiyetumia Pombe..
Ingawaje ninaamini ukikuta mwanaume hanywi Pombe ujue hana akili..
Nimeoa.[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]