Mimi ni msichana wa kitanzania mwenye miaka 26, najitokeza kwenu kutafuta mwanaume

Heee. Humu sijui kama utapata mume bora. Mitandaoni siyo mahala pakupata mume ILa kila la kheri
Usimkatishe tamaa, wapo wengi waliofanikiwa kupitia mtandaoni, tena baadhi tunaowafahamu. Nimependa alivyojieleza, hakika anaweza kuwa mwanamke anayefaa. Hata hawa waliokwisha olewa wengi waliunganishwa na 'social networks' kama sherehe, kwenye ibada vyama, kazini na siku hizi fb, instagram, JF, na nyingi nyinginezo. Kila la kheri.
 
Nichek 0765147920,0715603068
 
Mm mwenyewe ni kijana wa miaka 29. Diploma holder ktk midwifery aspects. Ninatamani kuwa na binti ila naishiwa nguvu bcoz wengi hawapendi kuambiwa ukweli bali hupenda uongo. Mm c mvuta sigara, bangi wala pombe plus any restricted drugs since I was born. Upo tayar kuishi ktk ukweli
 
Mwenye bandiko hajaongelea kuhusu suala la ukweli. Wewe angalia kama huna vigezo alivyoviweka utulie tu
 
Ukipata uniambie..namimi natafuta
 
Kila la kheri
 
Nakidhi vgezo vyako... Kama utaruhusu nije PM Nitashukuru..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…