Mimi ni msichana wa kitanzania mwenye miaka 26, najitokeza kwenu kutafuta mwanaume

Mimi ni msichana wa kitanzania mwenye miaka 26, najitokeza kwenu kutafuta mwanaume

Vigezo vingine vyooote ninatimiza ila navuta sigara na kunywa pombe, nitafikiriwa?
 
Dada zangu wengi mu wazuri wa viwiliwili tena sana tatizo huwa mnachagua sana mpaka inapitiliza ... Mambo mengine mtarekebishana tu hawezi kuja mwanaume ambae hanakijikasoro wewe legeza masharti watu pori watele mbona
 
Mie zote ninazo, Tatizo ni hapo kwenye POMBE,..

Kila la kheri Mungu akujalie umpate asiyetumia Pombe..

Ingawaje ninaamini ukikuta mwanaume hanywi Pombe ujue hana akili..

Nimeoa.[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Hahaha.... Kumbe mimi mwehu eeh...
 
Duh ina maana mtaani kwenu akuna hata kidume kimoja kilio jitokeza kurusha ndoano ???
 
Mimi ni msichana wa kitanzania mwenye miaka 26, najitokeza kwenu kutafuta mwanaume ambae Mungu akipenda awe baba wa watoto. Kiukweli niko very serious nawish nimpate mtu mwenye mapenzi ya dhati na sio masihara.

Sifa zangu
Miaka 26, mfanyabiashara, elimu diploma,

Sifa zake
Dini...mkristo
Miaka...kuanzia miaka 29-35
Kari awe ameajiriwa au awe anajishughulisha na kazi halali inayomuingizia kipato.
Mwenye kujitambua.
Asivute sigara wala sio mtumiaji wa pombe.
Msafi, mtanashati,
Aliye seriously.
Sibagui kabila
karibu pm
 
Back
Top Bottom