Kichaafulani
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 1,295
- 1,273
Vigezo vingine vyooote ninatimiza ila navuta sigara na kunywa pombe, nitafikiriwa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
baby nataka niende unaniruhusu? mi niko seriousNgoja walio seriously waje
acha mawazo mgandoHeee. Humu sijui kama utapata mume bora. Mitandaoni siyo mahala pakupata mume ILa kila la kheri
Walio seriously? ???!!!!!!
Amesema walio seriously sio seriousbaby nataka niende unaniruhusu? mi niko serious
sawa mahabubaAmesema walio seriously sio serious
Hahaha.... Kumbe mimi mwehu eeh...Mie zote ninazo, Tatizo ni hapo kwenye POMBE,..
Kila la kheri Mungu akujalie umpate asiyetumia Pombe..
Ingawaje ninaamini ukikuta mwanaume hanywi Pombe ujue hana akili..
Nimeoa.[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Au na yeye alimpata JF??mkuu. mlifikia wap na yule mgoni wako. maana hukuleta mrejesho kabisa
Au na yeye alimpata JF??mkuu. mlifikia wap na yule mgoni wako. maana hukuleta mrejesho kabisa
karibu pmMimi ni msichana wa kitanzania mwenye miaka 26, najitokeza kwenu kutafuta mwanaume ambae Mungu akipenda awe baba wa watoto. Kiukweli niko very serious nawish nimpate mtu mwenye mapenzi ya dhati na sio masihara.
Sifa zangu
Miaka 26, mfanyabiashara, elimu diploma,
Sifa zake
Dini...mkristo
Miaka...kuanzia miaka 29-35
Kari awe ameajiriwa au awe anajishughulisha na kazi halali inayomuingizia kipato.
Mwenye kujitambua.
Asivute sigara wala sio mtumiaji wa pombe.
Msafi, mtanashati,
Aliye seriously.
Sibagui kabila