Mimi ni mtoto wa mama, kula kulala, nina mika 40 na ninataka kuoa

@bujubuji ni taasisi, sio individual, funguka
 
EP PRO hongerakwa kuufufua uzi ule.
Jamaa alisema ananyanyaswa na beki3 wake.
Mara ooh kaoa
Ana watoto wa3
Leo anakaa kwa mama yake
 
wewe kikongwe achana na mambo ya kuoa tafuta mbesai kwanza
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ ukiwa siriaz na mambo ya jf utapotea.......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…