Mimi ni Muislamu. Nasema HAPANA kwa katiba pendekezwa

Mimi ni Muislamu. Nasema HAPANA kwa katiba pendekezwa

unashangilia ujinga wewe ni mazuzu yale aliyosema mwalimu,msukule wa ccm

asante kwa kurudi ningeshangaa uage hivi hivi kwa jinsi ulivyo mburura hayo matusi yakurudie mwenyewe,msukule unayetafutwa na ndugu zako! Waambie na hao misukule wenzako katiba inayopndekezwa haiepukiki tanzania.
 
mnajifariji na kupima upepo,haitapita hivyo mtalazimisha hapo ndio itakua mwisho wa ccm
 
Nimesikia Rais wetu Mhe Kikwete akisema akisema, serikali haitaanzisha Mahakama ya Kadhi na kwamba ni Jukumu la waislamu wenyewe kuianzisha na kuihudimia.

Waislamu tumekuwa tukiburuzwa na kugaragazwa katika mambo ya msingi hasa pale wenzetu wa dini nyingine wanapoweka ngumu.

Tuliomba sensa iwe na kipengele cha dini, tukashindwa baada ya usaliti wa BAKWATA. 2005 tulidanganywa ktk ilani ya CCM, tukawachagua. Lakini Hola.

Mchakato wa uundwaji wa Katiba mpya ulipoanza, tukaona ndipo pa kupatia Mahakama ya Kadhi. Rasimu ya Kwanza na ya pili, zikaja bila ya Mahakama ya kadhi.

Tulipokuja juu, Waziri Mkuu akaahidi Mswaada wa Mahakama ya Kadhi utapelekwa Bungeni februari. Kiini macho kikafanyika eti kupata ridhaa na muafaka na ndugu zetu wa upande wa pili.

Na katika Mchakato wa kuurudisha bungeni mswaada April hii, viongozi wa wenzetu wametia munda. Hawaitaki Mahakama ya Kadhi. Wamehamasisha waumini wao, wajiandikishe kwa wingi na muda ukifika, wapige kura ya HAPANA kwa Katiba Pendekezwa.

Serikali imeogopa nguvu ya wenzetu wakristo. Imesema HAPANA kwa Mahakama ya kadhi, licha ya Tafiti nyingi kuonesha, Mahakama ya kadhi haina madhara (Waziri Mkuu, Waziri wa Sheria na Mwanasheria Mkuu) waliuthibitishia Umma.

Kutokana na kudharauliwa na kupuuzwa kunakofanywa na serikali mara kwa mara dhidi ya waislamu na Uislamu, binafsi nitapiga kura ya HAPANA KWA KATIBA PENDEKEZWA.

Ewe Muislamu na ndugu zangu wa dini nyingine, tuungane tupige kura ya HAPANA kwa katiba pendekezwa

Kaumza, Topic ilivyo na mada ulivyoileta, hakika topic yako ni mwelekeo wa udini. Acha tabia zako hizo za kibaguzi, huo ni mwelekeo wa uchochezi na wala hauna tija kwa taifa letu. Mwelekeo huu haufai na wala hujengi zaidi ya kubomoa.

Tujenge taifa letu acha kuleta mambo yako hapa. Ubaguzi huo baki nao mwenyewe huko huko! Tanzania hatujazoea ubaguzi ndiyo maana Katiba Inayopendekezwa inaainisha kuwa "urithi tulioachiwa na Waasisi wa Taifa letu wa kujenga nchi yenye umoja wa watu wake ambao hawabaguani kwa misingi ya ukabila, dini, rangi, jinsi, ulemavu au ubaguzi wa aina nyingine yoyote"

Ndiyo maana Baba wa Taifa Mwl. Julius K. Nyerere aliwahi kusema "Msituingize kwenye karne ya 21 tukiwa kwenye basi la Udini, Dini inatusu nini sisi? Hebu acheni huo upumbavu na ni hatari kwa mustakabali wa taifa letu".

Kwa Busara yake muasisi wa taifa hili aliliona hilo, leo hii wewe kwa ujinga wako uturudishe huko? Kamwe tabia hii siyo ya kufumbiwa macho na kila Mtanzania anayependa nchi yake kwa manufaa ya sasa na ya vizazi vijavyo.
 
Waislam sio wapuuzi kama unavyodikiria wewe halaf jisemee katika pendekezwa haina tatizo kwetu na tutaipa kura ya ndio
 
Waislam sio wapuuzi kama unavyofikiria katiba pendekezwa ni nzuri tutaipa kura ya ndio na itawashangaza wengi ktk hili kuliko mnavyofikiri
 
Nadhani hujui hata maana ya uislam wenyewe engejua maana ya uislam usingekurupuka. Kama mwislam utakuwa ni mwislam wa harakati na uislam kama uislam unakaza uhanaharakati kwa kutumia uislam.

Umenipata hapo
 
Anayesema yeye Muislam anasema hapana katiba pendekezwa ni haki yake kikatiba lakini Waislam hawajatoa tamko. Una akili yako na unaposema hapana hata mtu akikuuliza swali uwe na majibu. Msiwe maroboti mnaongozwa na mitume feki
 
Kama sikosei wewe ndio wale wale watu wa bidaah na bidaah ni kharmu. Unakurupuka katika mambo ambayo sio ya twaa na niya yashangaza matokeo yake bidaah ndio wafanya kuwa twaa. Pengine hata kuoga janaba hujui. Usiuchafue uislam kwa mambo ambayo sio twaa na watu kama nyinyi ndio mwaurudisha nyuma uislam kwa elimu yenu ndogo ya dini.
 
Wewe ni mjinga mmoja tu na wala sio Muislam. Hiyo Bakwata ndio kipenzi cha Baraza la Maaskofu Tanzania kutokana na udhaifu wake na kamwe Waislam wasitegemee upinzani ukishika dola Bakwata itang'oka, ng'oooo kwani wanajua Bakwata iking'oka itakuja mwiba mkali hawataishi kwa amani kama wanavyoishi sasa
Nimesikia Rais wetu Mhe Kikwete akisema akisema, serikali haitaanzisha Mahakama ya Kadhi na kwamba ni Jukumu la waislamu wenyewe kuianzisha na kuihudimia.

Waislamu tumekuwa tukiburuzwa na kugaragazwa katika mambo ya msingi hasa pale wenzetu wa dini nyingine wanapoweka ngumu.

Tuliomba sensa iwe na kipengele cha dini, tukashindwa baada ya usaliti wa BAKWATA. 2005 tulidanganywa ktk ilani ya CCM, tukawachagua. Lakini Hola.

Mchakato wa uundwaji wa Katiba mpya ulipoanza, tukaona ndipo pa kupatia Mahakama ya Kadhi. Rasimu ya Kwanza na ya pili, zikaja bila ya Mahakama ya kadhi.

Tulipokuja juu, Waziri Mkuu akaahidi Mswaada wa Mahakama ya Kadhi utapelekwa Bungeni februari. Kiini macho kikafanyika eti kupata ridhaa na muafaka na ndugu zetu wa upande wa pili.

Na katika Mchakato wa kuurudisha bungeni mswaada April hii, viongozi wa wenzetu wametia munda. Hawaitaki Mahakama ya Kadhi. Wamehamasisha waumini wao, wajiandikishe kwa wingi na muda ukifika, wapige kura ya HAPANA kwa Katiba Pendekezwa.

Serikali imeogopa nguvu ya wenzetu wakristo. Imesema HAPANA kwa Mahakama ya kadhi, licha ya Tafiti nyingi kuonesha, Mahakama ya kadhi haina madhara (Waziri Mkuu, Waziri wa Sheria na Mwanasheria Mkuu) waliuthibitishia Umma.

Kutokana na kudharauliwa na kupuuzwa kunakofanywa na serikali mara kwa mara dhidi ya waislamu na Uislamu, binafsi nitapiga kura ya HAPANA KWA KATIBA PENDEKEZWA.

Ewe Muislamu na ndugu zangu wa dini nyingine, tuungane tupige kura ya HAPANA kwa katiba pendekezwa
 
Waislam sio wapuuzi kama unavyofikiria katiba pendekezwa ni nzuri tutaipa kura ya ndio na itawashangaza wengi ktk hili kuliko mnavyofikiri[/QUOT
QUOTE=Saint Ivuga;10715211]Na wapemba wamepewa nini huko dodoma ? Wameshindwa hata kuitetea nchi yao? Bora wangetetea mahakama ya kadhi angalau wapate cha kujivunia[/QUOTE

Ikugi safi Wakasome IBARA YA 41 KWENYE KATIBA PENDEKEZWA UHURU WA IMANI YA DINI, CLEARLY INAWEKA WAZI SERIKALI HAS NO PART TO RELIGIOUS INSTITUTIONS.
 
Hapana mpaka nipate kadhia

MANYARU WE NI BOYA KWELI HUPIGI KURA MPAKA UPATE KADHIA! Ha ha ha ha basi chukua hii hapa
IBARA YA 41 KWENYE KATIBA PENDEKEZWA UHURU WA IMANI YA DINI, CLEARLY INAWEKA SERIKALI HAS NO PART TO RELIGIOUS INSTITUTIONS.

SEMA NDIYOOOOOOO KWA KATIBA PENDEKEZWA NA USISAHAU NENO HILO UKALIANDIKE SIKU YA KUPIGA KURA.
 
Hapana mpaka nipate kadhia
Pole mtanzania wewe uliokuwa mvivu kusoma katiba inayopendekezwa, unaonekana hiyo ndo tabia yako ya kutopenda kusoma, sasa kam ungekuwa umeisoma hiyo katiba usinge lazimisha mahakama ya kadhi kwanza naamini kabisa hiyo kadhi yenyewe huijui, na pili katika katiba hii hakuna mahala popote ilipoandikwa, kwa ushahidi zaidi kasome ile Ibara ya 41 juu ya uhuru wa mambo ya dini ndo utajua haya nayokwambia.
 
Back
Top Bottom