Maramla
JF-Expert Member
- Jan 8, 2014
- 588
- 648
Mbona Kikwete kasema ni ruksa kwa Waislamu kuanzisha na kughalimia mahakama ya Kadhi!!! Hivyo ndivyo nilivyomwelewa mimi..
Kwa hiyo kama mahakama ya Kadhi ingeanzishwa ungeipa katiba pendekezwa ya Chenge kura ya NDIO pamoja na ubovu wote huo???
Mnaosema katiba hii ni ya chenge mbon mnachekesha......wale wajumbe waliokuwa mule bungeni whom were they representing....kingine.....UKAWA ndio wamewalisha haya matapishi baada ya kushindwa kupitisha serikali 3 ambazo ziliingizwa kinyemela kwenye rasimu ya warioba.....wakati hayakuwa mapendekezo ya wengi....mbn hamjiuliz kwann waliingiza hii kitu...



