Mimi ni Muislamu. Nasema HAPANA kwa katiba pendekezwa

Ni kweli kwamba kila mtu ana uhuru wa maoni,ila katika hili naona sio sahihi hata kidogo kuchanganya maslahi ya imani yako na maswala ya kitaifa kwa kuwa swala la katiba halina dini ni la watanzania wote,sasa unapotumia dini yako kusema hiki na kile hakijawekwa kwenye katiba pendekezwa na kina maslahi katika imani yako nadhani utakuea umepotoka ndg yangu kwa sababu hebu fikiria kila mtu kwa imani yake aseme kile chenye maslahi kwake na kiandikwe kwenye katiba,itakuwa katiba au kitu gani ?nadhani ujiunge na walio wengi na ukubaliane tu na katiba inayopendekezwa kwa kuwa imetokana na wananchi wenyewe,tafadhali sana kama una ajenda nyingine ndg yangu sema ila hilo watanzania hawaliungi mkono na hawataliunga mkono kamwe

Muelimishe aelewe juu ya hilo
 
RAIS JK KASEMA JANA:-
"Waislamu ANZISHENJ na ENDESHENI mahakama ya kadhi mkiona INAFAA.Serikali haitoianzisha wala kuiendesha.Si jukumu la serikali kuzianzisha&kuziendesha. Ila itayakubali yale maamuzi ya kadhi zenu"

J. Kikwete. 28.03.2015

Kuwa na tabia ya kumalizia quote za mtu vinginevyo utafungwa...labda nikusaidie..."ila muhakikishe haivunji sheria za nchi" home work kwako nenda ukazisome sheria zote za nchi ili ujue nini itakuwa mipaka ya kadhi pindi waislam wakiamua ianzishwe.....

Most important haitambuliki katika katiba inayopendekezwa
 
nimesikia rais wetu mhe kikwete akisema akisema, serikali haitaanzisha mahakama ya kadhi na kwamba ni jukumu la waislamu wenyewe kuianzisha na kuihudimia.

Waislamu tumekuwa tukiburuzwa na kugaragazwa katika mambo ya msingi hasa pale wenzetu wa dini nyingine wanapoweka ngumu.

Tuliomba sensa iwe na kipengele cha dini, tukashindwa baada ya usaliti wa bakwata. 2005 tulidanganywa ktk ilani ya ccm, tukawachagua. Lakini hola.

Mchakato wa uundwaji wa katiba mpya ulipoanza, tukaona ndipo pa kupatia mahakama ya kadhi. Rasimu ya kwanza na ya pili, zikaja bila ya mahakama ya kadhi.

Tulipokuja juu, waziri mkuu akaahidi mswaada wa mahakama ya kadhi utapelekwa bungeni februari. Kiini macho kikafanyika eti kupata ridhaa na muafaka na ndugu zetu wa upande wa pili.

Na katika mchakato wa kuurudisha bungeni mswaada april hii, viongozi wa wenzetu wametia munda. Hawaitaki mahakama ya kadhi. Wamehamasisha waumini wao, wajiandikishe kwa wingi na muda ukifika, wapige kura ya hapana kwa katiba pendekezwa.

Serikali imeogopa nguvu ya wenzetu wakristo. Imesema hapana kwa mahakama ya kadhi, licha ya tafiti nyingi kuonesha, mahakama ya kadhi haina madhara (waziri mkuu, waziri wa sheria na mwanasheria mkuu) waliuthibitishia umma.

Kutokana na kudharauliwa na kupuuzwa kunakofanywa na serikali mara kwa mara dhidi ya waislamu na uislamu, binafsi nitapiga kura ya hapana kwa katiba pendekezwa.

Ewe muislamu na ndugu zangu wa dini nyingine, tuungane tupige kura ya hapana kwa katiba pendekezwa

we kaumza unasema mmekua mkiburuzwa na kugaragazwa na nani mbona hujielewi wewe, mtu mzima ovyo jiheshimu bhana mbona sikuelewi, nchi hii ina watu wenye imani tofauti za dini sasa unaposema mnagaragazwa ni nani anayewgaragaza mjikague vizuri msiwe mnajigaragaza wenyewe na kampeni chafu dhidi ya katiba pendekezwa.

Soma ibara ya 41 kwenye katiba pendekezwa inaweka wazi uhuru wa kuabudu na imani za dini ni ruksa ilimradi usivunje sheria za nchi pia serikali kutojihusisha na masuala ya dini hapo utanielewa tu.
 
Watanzania tumieni akili kufikilia acheni kutumia makalio mabwege nyie ivi kweli mtu anae tumia hakili anaweza kupigia kura ya ndio katiba hii pia mtambue hakuna nchi duniani iliyopata katiba bora bila kupigana mfano tunayo hapakwetu atutaki tufike huko
 
Toa ujinga wako hapa. Kutukana Watanzania sii hoja hapa na mustakabali wa taifa letu. Ujinga wako baki nao, huko sii hapa JF, mwenye akili timamu anatoa hoja, then kura ni siri ya mtu, wewe u nani utake sote tufuajte ujinga wako? Kama unahamu ya kupigana, sisi ugomvi tumeaachia kuku. Hadi karne hii unatamani kupigana? Tanzania hatujazoea kupigana na hii inatokana na Msingi imara wa Katiba yetu. Sasa ili mambo yawe mazuri zaidi Watanznia tulihitaji tupate katiba Mpya sasa ipo mbele yetu, tumia muda wako isome muda muafaka ukifika katumie haki yako ya msingi ya kuipigia kura, ila zingatia kujiandikisha ili nia yako ihitimishwe kwa kupiga kura.
 
Mahakama ya kadhi ni ya waislamu, serikali inaikubbali mahakama hiyo kwa sharti la kuendeshwa na waislamu wenyewe. Kitu chako iweje utake kigharamiwe na wengine?
Nimesikia Rais wetu Mhe Kikwete akisema akisema, serikali haitaanzisha Mahakama ya Kadhi na kwamba ni Jukumu la waislamu wenyewe kuianzisha na kuihudimia.

Waislamu tumekuwa tukiburuzwa na kugaragazwa katika mambo ya msingi hasa pale wenzetu wa dini nyingine wanapoweka ngumu.

Tuliomba sensa iwe na kipengele cha dini, tukashindwa baada ya usaliti wa BAKWATA. 2005 tulidanganywa ktk ilani ya CCM, tukawachagua. Lakini Hola.

Mchakato wa uundwaji wa Katiba mpya ulipoanza, tukaona ndipo pa kupatia Mahakama ya Kadhi. Rasimu ya Kwanza na ya pili, zikaja bila ya Mahakama ya kadhi.

Tulipokuja juu, Waziri Mkuu akaahidi Mswaada wa Mahakama ya Kadhi utapelekwa Bungeni februari. Kiini macho kikafanyika eti kupata ridhaa na muafaka na ndugu zetu wa upande wa pili.

Na katika Mchakato wa kuurudisha bungeni mswaada April hii, viongozi wa wenzetu wametia munda. Hawaitaki Mahakama ya Kadhi. Wamehamasisha waumini wao, wajiandikishe kwa wingi na muda ukifika, wapige kura ya HAPANA kwa Katiba Pendekezwa.

Serikali imeogopa nguvu ya wenzetu wakristo. Imesema HAPANA kwa Mahakama ya kadhi, licha ya Tafiti nyingi kuonesha, Mahakama ya kadhi haina madhara (Waziri Mkuu, Waziri wa Sheria na Mwanasheria Mkuu) waliuthibitishia Umma.

Kutokana na kudharauliwa na kupuuzwa kunakofanywa na serikali mara kwa mara dhidi ya waislamu na Uislamu, binafsi nitapiga kura ya HAPANA KWA KATIBA PENDEKEZWA.

Ewe Muislamu na ndugu zangu wa dini nyingine, tuungane tupige kura ya HAPANA kwa katiba pendekezwa
 
watanzania tumieni akili kufikilia acheni kutumia makalio mabwege nyie ivi kweli mtu anae tumia hakili anaweza kupigia kura ya ndio katiba hii pia mtambue hakuna nchi duniani iliyopata katiba bora bila kupigana mfano tunayo hapakwetu atutaki tufike huko
nyutwakg kuwa mstaarabu bhana watz hatuko na akili kama zako tuko wastaarabu na hapa tunakuangalia na hayo maneno yako uliyotumia,na una bahati nimekuheshimu sana unajidai kufyatua jiangalie nakufanyia tahmini ukiendelea na uongo wako ntakupandia mpaka utapasuka!!suala la katiba ni la maamuzi ya watz waache waamue wenyewe usijifanye kuwaamulia kuwa mstaarabu unajifanya kushawishi watu kupigana ili wapate katiba bora kweli una akili za beberu, mijitu kama wewe machafuko yakitokea unafanywa kuwa mshikaki.
 
Jamani wewe mbona husikii kwani Tanzania dini gani?
Kuna dini moja tu duniani nayo ni ya Allah. Sisi WAKRISTO HATUNA DINI, maana Yesu hakuja na dini na wala Mungu haitaji Dini.
YESU KRISTO NI MUNGU MKUU
 
Hii nini sasa unataka tuipigie kura?hiyo kaipitisheni kwenye nyumba zenu za ibada mimi nasubiri katiba pendekezwa nipige kura na hicho kipengele chako hakipo endelea kusubiri.
Mwambia Kafir kahtaan ndio anapende hii mambo haya ya Ushaitwain na dada yetu kipenzi FaizaFoxy ambaye nakaribia Kumbatiza.

KAMWE KADHI COURT HAITO INGIA TANZANIA.

Waislam wataendelea kuota MPAKA SIKU ALLAH atakapo INGIZA MGUU WAKE Jehannam.
 
Waislam wanadai haki ya msingi kama katiba inavotamka kuhusu uhuru wa imani.
Ina chodai ni haki ambayo serikali yenyewe tayari imeitungia sheria mbali mbali katika kuhakikisha haki na sheria zinafatwa.
Kuna sheria nyingi ambazo zinatambua kuwepo kwa mila desturi na dini za raia ndio maana serikali ikatunga sheria nyingi tu mfano ni
Katika Migistrate act inataka hakimu kutaka ushauri wa baraza la wazee kabla ya kutoa hukumu kama kesi inahusu sheria ya waislam…
8. In any proceeding in a magistrate's court in which any rule of
customary law or Islamic law is in issue or relevant, the court may, and
when directed by an appropriate judicial authority shall, sit with an
assessor or assessors; and every such assessor shall be required, before
judgment, to give his opinion as to all questions relating to customary
law or Islamic law in issue in, or relevant to, the proceeding:
Provided that in determining the proceeding the court shall not be
bound to conform with the opinions of the assessors.
Hali hii pia tunaona katika sehemu ifuatayo:

PART III
JURISDICTION AND POWERS OF, AND APPEALS, ETC., FROM PRIMARY
COURTS
(a) 14.-(1) A primary court shall have and exercise jurisdictionof
(a) in all proceedings of a civil nature- (i) where the law applicable is customary law or Islamic law:
Provided that no primary court shall have jurisdiction in
any proceedings
(A) affecting the title to or any interest in land registered
under the Land Registration Ordinance; or Cap. 334
(B) in which Islamic law is applicable by virtue of the
provisions of the Marriage, Divorce and Succession
(Non-Christian Asiatics) Ordinance;

(2) The Chief Justice may, by order published in the Gazette, confer
upon a primary court jurisdiction in the administration of deceases'
estates where the law applicable to the administration or distribution of,
or the succession to, the estate is customary law or, save as provided
in subsection (1) of this section, Islamic law.

Pia tukumbuke sheria ya familia wanayo dai waislam sio kusilimisha wakrsto kama sasa jamaa zetu wana vosambaza vikaratasi makanisani huu ni uchochezi na ujinga mkubwa unaofanywa na wote wanao tangaza uongo
Kinachombwa ni kuweka mfumo mzuri zaidi katika kutoa haki za kwa mujibu wa islamic marriage ambayo tayari inatambuliwa na sheria za nchi .
Ni jambo la ajabu kwa serikali kutambua kwa sheria islamic marriage tena kuendeshwa kwa taratibu za dini hio lakini watu wanapinga kwa serikali kuweka sheria kusimamia haki zitokanazo na ndoa hio inayotambuliwa na sheria Marriage act 1971
Hapa mapadri na wabunge wakristo wanashindwa kutafautisha kati ya sheria na kusilimisha .

Utaona katika shria ya Marriage act ndoa ya wake wengi kwa waislam imekatazwa mpaka kwa declaration ya mke na mume ipatikane kutoka kwa hakimu ….lakini sheria hii imetungwa kwa makini kabisa kulinda misingi ya ndoa za ukatoliki ya ndoa..
Pia sheria hio inatimiza sharti jengine muhimu la ndoa za ukatoliki la kutoa tangazo la ndoa kanisani siku 21 !!!
Lakini mizengwe ikawekwa katika masharti mengi kuhusu ndoa za waislam, ndoa ni process inaanza na mkataba wa ndoa , watoto , kufa na kuachana haya yote yana sheria zake katika uislam lakini sheria ya ndoa imezikandamiza haki hizi za msingi za waislam na kuwalinda wakristo …ndio maana sasa tunataka makosa haya yarekebishwe ..

THE LAW OF MARRIAGE ACT, 1971
Conversion of Marriages Section 11
(5)-2, No marriage between two Christians which was celebrated
in a church in Christian form may, for so long as both the parties
continue to profess the Christian faith, be converted from monogamous
to polygamous and the provisions of this section shall not apply to any
such marriage, notwithstanding that the marriage was preceded or
succeeded by a ceremony of marriage between the same parties in civil
form or any other form.

1) A marriage contracted in Tanganyika may be converted
(a) from monogamous to potentially polygamous; or
(b) if the husband has one, wife only, from potentially polygamous
to monogamous,
by a declaration made by the husband and the wife, that they each,
of their own free will, agree to the conversion.

(2) A declaration under subsection (1) shall be made in the presence
of a Judge, a resident magistrate or a district magistrate and shall be
recorded in writing, signed by the husband and the wife and the person
before whom it is made, at the time of making.

Notice of 18.-(1) Subject to the provisions of section 23, where a man and
a woman desire to marry, they shall, at least twenty-one days before
the day when they propose to marry, give notice of their intention to a registrar or a registration officer.
(2) (i) where both the parties are Christians and it is intended to
celebrate the marriage in a church in Christian form, a declaration
by the intended husband that he is not already married to another
woman, and shall be signed by both parties and, where the consent of the court
to the intended marriage has been obtained, shall be accompanied by
a certified copy of the order giving that consent.

25.-(1) A marriage may, subject to the provisions of this Act, be
contracted in Tanganyika-
(3) For the purposes of this Act-
(a) a marriage in Islamic form means a marriage contracted in the
manner recognized by Islam or by any school or sect of that
faith;

32. It shall be the duty
(a) of every kadhi or registration officer to whom notice has been
given that a marriage is intended to be contracted in Islamic
form; and
(b) of every registration officer to whom notice has been given that
a marriage is intended to be contracted according to rites
recognized by customary law,
so far as is reasonably practicable, to attend that marriage

kaweka kizingiti kwa islamic customary law kutumiwa katika THE JUDICATURE AND APPLICATION OF LAWS ACT

The Judicature and Application of Laws Ordinance Cap. 453
''(3A) Notwithstanding the provisions of this Act the rules of customary law and the
rules of Islamic Law shall not apply in regard to any matter provided for in the Law of Marriage Act, 1971.''
indian sucessesion act ikabakizwa na sheria nyengine za jadi zikabakishwa.

wanachotaka waislam ni kuweka sawa sheria ambazo serikali imeziweka nusu nusu na zinaathiri imani za waislam . Kama unaitambua ndoa ya wasialm kwa sheria , umetunga sheria kwa kutumia bunge kuweka utaratibu wa ndoa na baadhi ya kanuni zake kuzitambua na nyengine ukazipinda hio sio haki wala sio uhuru wa kuabudu unao tambuliwa na katiba ,
ndoa ni institution ya family , ndio msingi mkuu wa kuendeleza kizazi cha watanzania , ni asasi pekee ambayo ni chanzo cha kupata vijana wenye maadili mema katika kujenga taifa hivyo ndoa sio jambo la binafsi linahusu uhai wa taifa , bila ya ndoa hakuna taifa la wastaarabu ..ndio maana tukaweka sheria na sheria zina wekwa kutambua ndoa za dini tofauti na mila tofauti...na ndoa haimalizii kutoa certificate tu marriage bali kuna watoto, kuna kugombana kuna kufa na kuna kuachana .Unatambua kuwepo ndoa za waislam basi isiishie hapo. inatakiwa kuwepo na sheria kulinda haki kama kutakuwepo na matatizo yanayohitaji kanuni na haki na katika hili waislam wana sheria zao hivyo wanataka mabadiliko na kuwekwa sawa jambo hili
wenzetu mnakataa na wabunge tena wanakosa busara ....hakika ni hasara na uhai wa nchi hii ni mdogo sana kwani upande wa pili wao wanataka wao tu...
 
1427671681273.jpg

1427671694270.jpg

1427671714660.jpg
 
Mimi ni mkristu. Nasema HAPANA kwa Katiba inayopendekezwa.
 
!
!
jino liinasumbua sana nikifuka baadhi ya maeneo nasoma kwa taabu
 
Tikiti maji wewe naona umepotea njia kabisa humu malumbano ya dini hayana nafasi hivi wewe Katiba na masuala ya dini wapi na wapi,Kwa taarifa yako katiba pendekezwa imeweka usawa kwa dini zote, sasa unataka wewe dini yako iingizwe kwenye katiba Daaaa ama kweli una upungufu wa madini joto afu unahamasisha iwe mvua iwe jua nenda oman,iraq au somalia tuachie Tanzania yetu ya Mwalimu Nyerere SOMA IBARA YA 41 uhuru wa imani ya dini Katiba Pendekezwa (3) Shughuli za uendeshaji wa jumuiya za dini itakua nje ya shughuli za mamlaka ya serikali, katiba yenye kifungu hiki ndiyo itakayopigiwa kura na watu wa dini zote.

Tuache dini wapi miiiko na maadili ya watawala sisi watawaliwa tumeamua sasa ni HAPANA na ole wenu nyie vijibwa mtuekezee eti NDIYO kamshinda HAPANA mtatujua na uongo na uzindaki wa AMANI tusiyoijua waka kuiona.
 
Back
Top Bottom