Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kura yangu ya hapana si kwasababu ya mahakama ya kadhi, kwasababu naamini mahakama hiyo inaweza kuanzishwa na dini husika kama walivyoanzisha Roman Cathoriki. Kura yangu ya hapana ni kwasababu Katiba pendekezwa imeondoka miiko ya maadali kwa viongozi wa umma, imeshindwa kupunguza madaraka ya Raisi, haijaweka ukomo wa ubunge kama ilivyo kwa uraisi na mambo mengine mengi kama tulivyopendekeza kwanye rasmu ya Warioba. Tunaunda katiba hatutaki kufanya makosa kwa kisingizio kuwa tutarekebisha mbeleni kwanini isiwe sasa.
Kuwa mzalendo wewe MtanZania acha ushawishi usio na maana kwa watanzania wapenda amani.Yan inaonekana mngenyimwa haki zote za kijamii ila kadhi ikawemo basi mngesema ndiyoooooo!
Hivi nani atetee maadili ya umma na responsible gvt?Msitupe mzigo huu wakristo pekee!
Sisi wakristo mahakama ya kadhi iwemo au isiwemo,katiba pendekezwa ni hapana!
Kuwa mzalendo wewe MtanZania acha ushawishi usio na maana kwa watanzania wapenda amani.
Hilo wasema wewe na wewe ni binadamu wala sio malaika labda uwe pepo au jini ndo unaweza badili akili za watanzania wengine lakn daima dua la kuku halimpati mwewe, we endelea kujifurahisha tu hapo mwisho wa siku utapata vidonge vyako.Mzalendo wa kweli ataikataa katiba pendekezwa
Hilo wasema wewe na wewe ni binadamu wala sio malaika labda uwe pepo au jini ndo unaweza badili akili za watanzania wengine lakn daima dua la kuku halimpati mwewe, we endelea kujifurahisha tu hapo mwisho wa siku utapata vidonge vyako.
Tatizo lako unaongea pasipo uhakika, maadili ya viongozu yapo kwenye Ibara ya 28-31 nenda kasome utayakuta uache kudanganya watu humu ndani hujasoma unadai eti yamefutwa ulifuta wewe?Maneno unayotumia unaonekana mtu wa mipasho ambayo kwangu mwiko,tujadili kwa facts!Katiba pendekezwa imeyatupilia mbali maadili ya viongozi,mambo haya azimio la Arusha iliyaweka wazi,lakini ccm ilifuta azimio hilo.Rasimu ya warioba ilirudisha miiko ile.je,mzalendo gani anaona hili ni sawa?
Nimesikia Rais wetu Mhe Kikwete akisema akisema, serikali haitaanzisha Mahakama ya Kadhi na kwamba ni Jukumu la waislamu wenyewe kuianzisha na kuihudimia.
Waislamu tumekuwa tukiburuzwa na kugaragazwa katika mambo ya msingi hasa pale wenzetu wa dini nyingine wanapoweka ngumu.
Tuliomba sensa iwe na kipengele cha dini, tukashindwa baada ya usaliti wa BAKWATA. 2005 tulidanganywa ktk ilani ya CCM, tukawachagua. Lakini Hola.
Mchakato wa uundwaji wa Katiba mpya ulipoanza, tukaona ndipo pa kupatia Mahakama ya Kadhi. Rasimu ya Kwanza na ya pili, zikaja bila ya Mahakama ya kadhi.
Tulipokuja juu, Waziri Mkuu akaahidi Mswaada wa Mahakama ya Kadhi utapelekwa Bungeni februari. Kiini macho kikafanyika eti kupata ridhaa na muafaka na ndugu zetu wa upande wa pili.
Na katika Mchakato wa kuurudisha bungeni mswaada April hii, viongozi wa wenzetu wametia munda. Hawaitaki Mahakama ya Kadhi. Wamehamasisha waumini wao, wajiandikishe kwa wingi na muda ukifika, wapige kura ya HAPANA kwa Katiba Pendekezwa.
Serikali imeogopa nguvu ya wenzetu wakristo. Imesema HAPANA kwa Mahakama ya kadhi, licha ya Tafiti nyingi kuonesha, Mahakama ya kadhi haina madhara (Waziri Mkuu, Waziri wa Sheria na Mwanasheria Mkuu) waliuthibitishia Umma.
Kutokana na kudharauliwa na kupuuzwa kunakofanywa na serikali mara kwa mara dhidi ya waislamu na Uislamu, binafsi nitapiga kura ya HAPANA KWA KATIBA PENDEKEZWA.
Ewe Muislamu na ndugu zangu wa dini nyingine, tuungane tupige kura ya HAPANA kwa katiba pendekezwa
Katumwa huyo maybe
Kaumza acha ukauzu umetokea wapi wewe,naona umepotea njia humu malumbano ya dini hayana nafasi hivi wewe Katiba na masuala ya dini wapi na wapi,Kwa taarifa yako katiba pendekezwa imeweka usawa kwa dini zote, sasa unataka wewe dini yako iingizwe kwenye katiba Daaaa ama kweli una upungufu wa madini joto afu unahamasisha iwe mvua iwe jua nenda oman,iraq au somalia tuachie Tanzania yetu ya Mwalimu Nyerere SOMA IBARA YA 41 uhuru wa imani ya dini Katiba Pendekezwa (3) Shughuli za uendeshaji wa jumuiya za dini itakua nje ya shughuli za mamlaka ya serikali, katiba yenye kifungu hiki ndiyo itakayopigiwa kura na watu wa dini zote.
Maneno unayotumia unaonekana mtu wa mipasho ambayo kwangu mwiko,tujadili kwa facts!Katiba pendekezwa imeyatupilia mbali maadili ya viongozi,mambo haya azimio la Arusha iliyaweka wazi,lakini ccm ilifuta azimio hilo.Rasimu ya warioba ilirudisha miiko ile.je,mzalendo gani anaona hili ni sawa?
Yan inaonekana mngenyimwa haki zote za kijamii ila kadhi ikawemo basi mngesema ndiyoooooo!
Hivi nani atetee maadili ya umma na responsible gvt?Msitupe mzigo huu wakristo pekee!
Sisi wakristo mahakama ya kadhi iwemo au isiwemo,katiba pendekezwa ni hapana!
Katumwa huyo maybe
Hilo wasema wewe na wewe ni binadamu wala sio malaika labda uwe pepo au jini ndo unaweza badili akili za watanzania wengine lakn daima dua la kuku halimpati mwewe, we endelea kujifurahisha tu hapo mwisho wa siku utapata vidonge vyako.
RAIS JK KASEMA JANA:-
"Waislamu ANZISHENJ na ENDESHENI mahakama ya kadhi mkiona INAFAA.Serikali haitoianzisha wala kuiendesha.Si jukumu la serikali kuzianzisha&kuziendesha. Ila itayakubali yale maamuzi ya kadhi zenu"
J. Kikwete. 28.03.2015
Am 100%. With you.Umeongea points za msingi mkuu.
Mbona Kikwete kasema ni ruksa kwa Waislamu kuanzisha na kughalimia mahakama ya Kadhi!!! Hivyo ndivyo nilivyomwelewa mimi..
Kwa hiyo kama mahakama ya Kadhi ingeanzishwa ungeipa katiba pendekezwa ya Chenge kura ya NDIO pamoja na ubovu wote huo???