Mimi ni Muislamu. Nasema HAPANA kwa katiba pendekezwa

Mimi ni Muislamu. Nasema HAPANA kwa katiba pendekezwa

Unashabikia ujinga wewe acha hizo kalale bhana.

Kwamba Jambo fulani ni la kijinga or not ;inategemea na Uelewa,mtizamo na ufahamu(IQ) wa mtu anayelitafakari jambo husika.Lina weza kuwa la kijinga kwa uelewa,mtizamo na IQ yako ,afu ni la maana kwa watu wengine.
Hope you have got me@ClaudiaEliakimu
 
serikali tayari inazo mahakama za kiserikali. Ilizianzisha na inazigharamia. Upande wa pili wanazo tatatibu zao za kimahakama za kushughulika na masuala ya waumini wake. Hata gharama zake hazitoki serikalini. Ugunu upo wapi kwa waislamu kuanzisha mahakama zake na kuziendesha? Hawaoni kuwa serikali inaweza kuzianzisha zikiwa na mapingufu kadhaa? Tuamke waislam na tuwe na chetu! Tuanzishe na serikali isituinhilie!

bankombeza acha hizo wewe unawahamasisha waislamu waamke, kwani wamelala?unataka waende wapi wewe acha kuvurugwa na udini wewe.
 
Mbona shulezetu serekali haitaki kuzirudisha mbona wakristo mmerudishiwa huu n
 
kwamba jambo fulani ni la kijinga or not ;inategemea na uelewa,mtizamo na ufahamu(iq) wa mtu anayelitafakari jambo husika.lina weza kuwa la kijinga kwa uelewa,mtizamo na iq yako ,afu ni la maana kwa watu wengine.
Hope you have got me@claudiaeliakimu

hata sikubaliani na wewe kwa hayo mambo unayotuleta humu ndani,unaota wewe ndoto za alinacha,tanzania nayoijua mimi pamoja na watu wake hawajafikia kiwango ch kuburuzwa kama unavyowaza, wana maamuzi sahihi, jifunze na ukubari mabadiliko.
 
Mbona shulezetu serekali haitaki kuzirudisha mbona wakristo mmerudishiwa huu n

DUUUU KWELI NIMEAMINI KUNA WATU AKILI ZAO ZIMEKUFA GANZI AISEE NA WEWE UMO haha unalilia SHULE,UDINI UTAKUUUA WEWE INAELEKEA WEWE NI PEPO ISSUE ZA KATIBA UNAONA HAZIKUHUSU WAKATI INA MAMBO YA MSINGI KASOME IBARA YA 41 UTAONA.

AFU HIVI KILE CHUO CHA MUSILIM UNIVERSITY MORO KILIKUA CHA NANI VILE, AFU WAKAPEWA WATU GANI VILE??? NIJIBU ACHA KUTOA MACHO NA UDINI WAKO!
 
hata sikubaliani na wewe kwa hayo mambo unayotuleta humu ndani,unaota wewe ndoto za alinacha,tanzania nayoijua mimi pamoja na watu wake hawajafikia kiwango ch kuburuzwa kama unavyowaza, wana maamuzi sahihi, jifunze na ukubari mabadiliko.

Haha!.Ngoja ije Cyber crime law;watu tutumie identities sahihi ili angalau tuwe na uwezo wa ku-search uwezo mtu anaye-Argue naye angalau ujue details zake..
 
Sijuikwanini tunajivika upofu kusoma alama za nyakati! Suala la kadhi libaki kwenye Uisilamu na waisilamu pekee,lisihusishwe na nchi!
 
Sheikh Jongoo amewasaliti waislamu wa Tanzania kwa njaa zake.Anatakiwa awaombe radhi kabla hawajaamuwa kula naye sahani moja...watamkubalia tu.Naona giza mbele na hata body language ya Mh.Rais kwenye kikao cha jana hainipi matumaini mazuri.
 


Kaumza acha ukauzu umetokea wapi wewe,naona umepotea njia humu malumbano ya dini hayana nafasi hivi wewe Katiba na masuala ya dini wapi na wapi,Kwa taarifa yako katiba pendekezwa imeweka usawa kwa dini zote, sasa unataka wewe dini yako iingizwe kwenye katiba Daaaa ama kweli una upungufu wa madini joto afu unahamasisha iwe mvua iwe jua nenda oman,iraq au somalia tuachie Tanzania yetu ya Mwalimu Nyerere SOMA IBARA YA 41 uhuru wa imani ya dini Katiba Pendekezwa (3) Shughuli za uendeshaji wa jumuiya za dini itakua nje ya shughuli za mamlaka ya serikali, katiba yenye kifungu hiki ndiyo itakayopigiwa kura na watu wa dini zote.

hujambooo........mmmhh?... bibie claudiaeliakimu sijakuona ibadani leo!
 
Last edited by a moderator:
Ndugu Kaumza unayekataa Katiba inayopendekezwa kwa ajili ya Mahakama yako ya Kadhi kutoanzishwa na serkali, je mkeo au mumeo akikataa kukununulia kitu utasusa watoto wako kwamba hukuwazaa. Huoni kuwa ni uendawazimu. Unavyojiita muilamu ungeongeza na sifa yako kuwa muislamu mamuma.Hiyo ni hasira ya mkisi faida kwa mvuvi. Tena miminakushauri wala usipoteze muda kwenda kupiga kura yako ya hapana ambayo ni kama tone la maji kulidondosha baharini ukidhani utaijaza au kuweka kijiko cha sukari baharini ukidhani utaondoa chumvi. Hivi ninyi mnaoreason namna hiyo mnatokea katika sayari gani ya Mars au Pluto ambako hatuj kama kuna viumbe wenye ufahamu hafifu kama ninyi. Kwa kweli nachelea kusema kuwa umefilisika. Nikisema hivyo nitakuwa nakukosea haki kwa maana hujawahi kutajirika kimawazo. Wewe na msemo huu ni sawa kuwa Masikini hafilisiki, nawe kwa sababu tangu awali ni maskini wa fikra hivyo huwezi kufilisika kwa maana hujawahi kutajirika. Sikilizia hilo likusaidie usiwe mropokaji. Au kama unashindwa kujizuia kuropoka kama ni tabia yako ropokea nyumbani kwako sio kwenye public kama unavyofanya sasa.
 
Rais Mtarajiwa wewe unaamka kwenye ndoto na kuanza kuulizia mambo ya ibada. Kwanza inawezekana hata ibadani hukwenda. Nakushauri usome Katiba Inayopendekezwa na uipigie kura ya ndiyo. Nafahamu saa nyingine huwa unakuwa muelewa. Kila kheri. Ukipata ugumu katika interpretation ya vifungu vya Katiba tafadhali tuwasiliane kwani nimegundua wewe ni mtu unayetaka kujifunza. Karibu sana.
 
Back
Top Bottom