Mimi ni muumini wa mfumo Dume

Wewe kasome nini alifanya golder meir,indira gandhi na angela merker

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Eti mwenyekiti wa sisiemu ni wamtu... True ndio anaamua mwelekeo wa chama!!
shetani mwenyewe hupenda kupitia kwa wanawake anaamini nirahisi kuwahadaa!!
ndomana wanawake huanguka mapepo Sana wakati wanaume hata jambazi,bakaji ningumu kuombewa likapandisha mapepo.
siafiki kiongozi wa juu kuwa mwanamke... Sitaki hata kusikia
 
"MWANA MUME NI MCHUNGA ..." Yaweza kuwa kazi aliyowapa BWANA MUNGU WENU IMEWASHINDA.!!!!!!!!! Hivyo mtulie sindano iwangiiieee taratibu
 
The bitter truth ni kwamba Marekani japo ni waumini wa gender equality ila kile kiti cha urais ni ngumu sana kwa mwanamke kukikalia kile kiti
Hata wanawake walio bungeni huko ni wachache sana, hawachaguliki. Huku tunaaminishwa kwenye upuuzi wa 50/50!
 
Labda unge define “Revolution ya maana” ili tuanzie hapo. Maana naona umejifungia kwenye kiroba na umejiandaa ili kila mfano utakaopewa useme hiyo sio”revolution ya maana”
 
Wewe ni mme wa bibi Samia?
 
Uko sawa kabisa kiongozi
 
Kuweka mwanamke pale Ikulu naamini tumemuudhi sana Mnyaazi, lazima tulipie kwa mapigo makali.
 
Naona elements za ushoga ndani yako
 
Kuweka mwanamke pale Ikulu naamini tumemuudhi sana Mnyaazi, lazima tulipie kwa mapigo makali.
Yaa mnyaazi hakuwahi kuweka mwanamke kuwa mfalme, labda kwenye karama nyingine.....lakini siyo kuwa mfalme wa taifa. Fuatilia historia ya wafalme wa Isreali kama utakutana na jina la mwanamke.........laana nyingine tunajitakia.
 

1. Cleopatra VII (Leader of Egypt)

2. Wu Zetian (Leader of China)

3. Joan of Arc (Leader of France)

4. Catherine II (Leader of Russia)

5. Queen Victoria (Leader of England)

6. Eva Perón (Leader in Argentina)

7. Rosa Parks (Leader in United States)

8. Indira Gandhi (Leader of India)

9. Margaret Thatcher (Leader of Britain)

10. Angela Merkel (Leader of Germany)

 

Kinachoongoza nchi ni uwezo wa kiongozi kiakili na fikra, busara na hekma sio uke wala uume
 
Mwafirika pekee ni Cleopatra, na hiyo ni miaka 5,000 iliyopita! Ungesema Winnie Mandela!
 
Acha weeee! natamani nije hapo kwako nione unavyomwongoza mzee baba....

Sijaongelea kumuongoza mume nimeongelea kuongoza kwa ujumla.

Btw hata wajane wanaongoza familia zao vizuri tuu na watoto wanakua wa kujielewa wakati mwingine kuliko hata baadhi ya zile zenye wanaume walio hai.

Usimdharau mwanamke aliyekuongoza kuanzia kujua matumizi ya mwili wako na viungo vyake hadi kufikia hapo
 
Mwafirika pekee ni Cleopatra, na hiyo ni miaka 5,000 iliyopita! Ungesema Winnie Mandela!
Hao sio famous locally bali worldwide..., na kama ni kipindi hicho cha mfumo Dume wa kweli hao waliweza kuwa viongozi ije kuwa leo ambapo watu wanapewa uongozi sio sababu ya uwezo wao bali kujaza nafasi za kijinsia....

Kwa hilo mimi sikubaliano tusiangalie fulani ni jinsia gani bali uwezo wa fulani kama unakidhi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…