Mimi ni muumini wa mfumo Dume

Mimi ni muumini wa mfumo Dume

Sijaongelea kumuongoza mume nimeongelea kuongoza kwa ujumla.

Btw hata wajane wanaongoza familia zao vizuri tuu na watoto wanakua wa kujielewa wakati mwingine kuliko hata baadhi ya zile zenye wanaume walio hai.

Usimdharau mwanamke aliyekuongoza kuanzia kujua matumizi ya mwili wako na viungo vyake hadi kufikia hapo
Kama huwezi kumuongoza mzee baba kama mzee baba, utaongozaje vichwa vya wanaume mamilioni....
 
Unaongelea vitu viwili tofauti hapo, Uschanganye madawa kama hivi utakufa
Ila elewa tuu uume au uke hauongozi ila uwezo wa kiongozi
 
Uhalisia utakuwa unaujua mamaa, sema unajikosha tu.....hata wanawake wenyewe hamuamini katika kuongozwa na mwanamke mwenzenu, uwongo?
 
Huo uhalisia unaujua wewe na ni wa kwako..... tusilazimishane!

Mimi nakuambia ninachokijua na kukiamini
 
Wewe ni mtu mkweli, wanafiki wanalijua hili kua d mkuu wa nchi apaswa kua mwanaume ila wanajitoa tu ufahamu.
Habarini za leo ndugu zangu, nimetafakari sana na katika pitapita zangu kwenye maktaba mbalimbali nimejiridhisha bila shaka kuwa nafasi za uongozi wa juu ni lazima zishikwe na mwanaume ili mambo yaende.

Na hakuna ushahidi duniani wa nchi yoyote iliyowahi kufanya revolution yoyote ya maana chini ya kiongozi mwanamke, haipo narudia haipo,ndoja nirudie kwa herufi kubwa HAIPO.

Simaanishi kuwa wanawake wasiongoze, ila wanaweza kupewa nafasi Kama za ukuu wa shule kwenye shule za wasichana, uongozi wa wizara kama wizara ya afya, jinsia, wanawake, wazee na watoto nk.

Mimi naamini tunapaswa kupata rais mwanaume 2025 na makamo wake awe mwanaume.
 
Ualimu mkuu utakuwa umeenda mbali sana kiongozi,mwanamke yake cherehani fullstop!
Kazi zao kushona sweta hata kupika hatuwataki awajui kupika vyakula vyenye kuchangamsha akili kitu,ndimu na pilipili kwa wingi ,siyo kujaza mimaji na vitungui chungu nzima
 
Yani empty head jingine janamke hili hapa. "Anapaswa" ni state of being - hali ya kua na sio hali ya kutendewa. Kwa hiyo sio sahihi kuuliza anapaswa na nani ?!! Kwani mtu akisema muwindaji anapaswa kua makini, anapaswa na nani ?!

Kwa kuuliza swali hili inadhihirisha manna gani wanawake ni empty box na hawafai kua kiongozi mkuu wa nchi.
Anapaswa na nani🤔🤔🤔🤔🤔
 
Mwanamke hana akili kiasilia tutabishana wee ila ukweli uko pale pale, mama yenu mwenyewe kawakataza wanawake kucheza mpira wakaoshe vyombo
Kinachoongoza nchi ni uwezo wa kiongozi kiakili na fikra, busara na hekma sio uke wala uume
 
Habarini za leo ndugu zangu, nimetafakari sana na katika pitapita zangu kwenye maktaba mbalimbali nimejiridhisha bila shaka kuwa nafasi za uongozi wa juu ni lazima zishikwe na mwanaume ili mambo yaende.

Na hakuna ushahidi duniani wa nchi yoyote iliyowahi kufanya revolution yoyote ya maana chini ya kiongozi mwanamke, haipo narudia haipo,ndoja nirudie kwa herufi kubwa HAIPO.

Simaanishi kuwa wanawake wasiongoze, ila wanaweza kupewa nafasi Kama za ukuu wa shule kwenye shule za wasichana, uongozi wa wizara kama wizara ya afya, jinsia, wanawake, wazee na watoto nk.

Mimi naamini tunapaswa kupata rais mwanaume 2025 na makamo wake awe mwanaume.
Makamo wa Rais[emoji777]
Makamu wa Rais[emoji818]
 
Hujaongelea kumuongoza kwa kua huna mume nani ataoa mwanamke kama wewe. Hauoleki na ni kutokana na ujinga wenu wa feminism umebaki kua nungaiembe, kama unabisha nilete hapa screenshot ukitafuta mume kwenye post za love connect kutafuta mume inbox kwa @stigfridmzava
Sijaongelea kumuongoza mume nimeongelea kuongoza kwa ujumla.

Btw hata wajane wanaongoza familia zao vizuri tuu na watoto wanakua wa kujielewa wakati mwingine kuliko hata baadhi ya zile zenye wanaume walio hai.

Usimdharau mwanamke aliyekuongoza kuanzia kujua matumizi ya mwili wako na viungo vyake hadi kufikia hapo
 
Unakwepa kwepa nini sema huna mume ni linungaiembe
Unaongelea vitu viwili tofauti hapo, Uschanganye madawa kama hivi utakufa
Ila elewa tuu uume au uke hauongozi ila uwezo wa kiongozi
 
Hana mume huyu ni single mother wa watoto 3 kila mmoja na baba yake.
Kama huwezi kumuongoza mzee baba kama mzee baba, utaongozaje vichwa vya wanaume mamilioni....
 
Habarini za leo ndugu zangu, nimetafakari sana na katika pitapita zangu kwenye maktaba mbalimbali nimejiridhisha bila shaka kuwa nafasi za uongozi wa juu ni lazima zishikwe na mwanaume ili mambo yaende.

Na hakuna ushahidi duniani wa nchi yoyote iliyowahi kufanya revolution yoyote ya maana chini ya kiongozi mwanamke, haipo narudia haipo,ndoja nirudie kwa herufi kubwa HAIPO.

Simaanishi kuwa wanawake wasiongoze, ila wanaweza kupewa nafasi Kama za ukuu wa shule kwenye shule za wasichana, uongozi wa wizara kama wizara ya afya, jinsia, wanawake, wazee na watoto nk.

Mimi naamini tunapaswa kupata rais mwanaume 2025 na makamo wake awe mwanaume.
Wanaume kama wa CCM hawafai katika hii karne.
Bora tutawaliwe na wanawake mpaka 2090.
 
Mwanamke hana akili kiasilia tutabishana wee ila ukweli uko pale pale, mama yenu mwenyewe kawakataza wanawake kucheza mpira wakaoshe vyombo

Mwanamke asiye na akili labda mkeo ila sio kila mwanamke hana akili. Na kwa taarifa yako tuu Rais Samia Suluhu Hassan ana akili sana hakufika hapo alipo kibahati mbaya

Hana mume huyu ni single mother wa watoto 3 kila mmoja na baba yake.
Umekosea kidogo. Nna watoto5 Mmoja wa baba yako yule usiyemjua🤣🤣🤣🤣
Halafu nilikua nakutafuta sana sasa nimekupata.... ulikoamkia ndiko tulikolalia. Usfikiri kila mtu yuko jf kwa malengo kama yako

Unakwepa kwepa nini sema huna mume ni linungaiembe
Baba yako anajua zaidi.... sio yule ulosingiziwa hapana! Biological father wako
😂😂😂😂
 
Wakuja utawajua tuu, huo utumbo pelekeni huko vijijini kwenu mlipotoka msituletee upuuzi wenu, na miaka yote chini ya maraisi wanaume mbona nchi imekuwa maskini mpaka chawa na kazi kutembeza bakuri dunia nzima kuomba maharage mpaka aibu, kweli wajinga hawajitambui
 
Habarini za leo ndugu zangu, nimetafakari sana na katika pitapita zangu kwenye maktaba mbalimbali nimejiridhisha bila shaka kuwa nafasi za uongozi wa juu ni lazima zishikwe na mwanaume ili mambo yaende.

Na hakuna ushahidi duniani wa nchi yoyote iliyowahi kufanya revolution yoyote ya maana chini ya kiongozi mwanamke, haipo narudia haipo,ndoja nirudie kwa herufi kubwa HAIPO.

Simaanishi kuwa wanawake wasiongoze, ila wanaweza kupewa nafasi Kama za ukuu wa shule kwenye shule za wasichana, uongozi wa wizara kama wizara ya afya, jinsia, wanawake, wazee na watoto nk.

Mimi naamini tunapaswa kupata rais mwanaume 2025 na makamo wake awe mwanaume.
Tukiacha watu kufanya siasa ulichosema ni sahihi. Uongozi wajuu kabisa wanawake sio sehemu yao. Katika historia sijui imetokea wapi mwanamke kuongoza mapinduzi ya kijeshi au kijamaa kwa mafanikio. Hawa viongozi waliyoingia kwenye historia kwa uongozi thabiti uliyoleta mageuzi kiuchumi kwa watu wao ni wanaume. Mao wa china, lenin, wa urusi fidel castro wa cuba, che guevara wa cuba. Churchil uingereza geogre washington marekani abraham lincon marekani, samora machel msumbiji, nelson mandela karl marx mjerumani, frederic angels mwingeteza, etc etc. Tusije kudanganyana nchi kama yetu tunahitaji binadamu ngangari kutetea umma ili tugawane keki ya nchi sawa na kwa amani. Sioni binadamu kama huyo kwenye mwanamke hapa tz kwa sasa.
 
Habarini za leo ndugu zangu, nimetafakari sana na katika pitapita zangu kwenye maktaba mbalimbali nimejiridhisha bila shaka kuwa nafasi za uongozi wa juu ni lazima zishikwe na mwanaume ili mambo yaende.

Na hakuna ushahidi duniani wa nchi yoyote iliyowahi kufanya revolution yoyote ya maana chini ya kiongozi mwanamke, haipo narudia haipo,ndoja nirudie kwa herufi kubwa HAIPO.

Simaanishi kuwa wanawake wasiongoze, ila wanaweza kupewa nafasi Kama za ukuu wa shule kwenye shule za wasichana, uongozi wa wizara kama wizara ya afya, jinsia, wanawake, wazee na watoto nk.

Mimi naamini tunapaswa kupata rais mwanaume 2025 na makamo wake awe mwanaume.
Kisayansi tofauti ya mwanamke na mwanaume ni viungo vya uzazi tu. Hakana scientific proof kwamba wanawake wana inferior brain compared to women.

Nchi zilizopiga hatua zikiwa chini ya uongozi wa wanawake ni nyingi kama Liberia (Dr Serleaf Johnson), India (Indira Gandhi), Bangladesh (Bandaranaike), na recently Germany ( Angela Merkel).

Hayo mambo ya mifumo dune mubakie nayo huko kwenu Usukumani tu. Mjini hatutaki ushamba
 
Back
Top Bottom