Kama huwezi kumuongoza mzee baba kama mzee baba, utaongozaje vichwa vya wanaume mamilioni....Sijaongelea kumuongoza mume nimeongelea kuongoza kwa ujumla.
Btw hata wajane wanaongoza familia zao vizuri tuu na watoto wanakua wa kujielewa wakati mwingine kuliko hata baadhi ya zile zenye wanaume walio hai.
Usimdharau mwanamke aliyekuongoza kuanzia kujua matumizi ya mwili wako na viungo vyake hadi kufikia hapo
Kama huwezi kumuongoza mzee baba kama mzee baba, utaongozaje vichwa vya wanaume mamilioni....
Uhalisia utakuwa unaujua mamaa, sema unajikosha tu.....hata wanawake wenyewe hamuamini katika kuongozwa na mwanamke mwenzenu, uwongo?Unaongelea vitu viwili tofauti hapo, Uschanganye madawa kama hivi utakufa
Ila elewa tuu uume au uke hauongozi ila uwezo wa kiongozi
Uhalisia utakuwa unaujua mamaa, sema unajikosha tu.....hata wanawake wenyewe hamuamini katika kuongozwa na mwanamke mwenzenu, uwongo?
Habarini za leo ndugu zangu, nimetafakari sana na katika pitapita zangu kwenye maktaba mbalimbali nimejiridhisha bila shaka kuwa nafasi za uongozi wa juu ni lazima zishikwe na mwanaume ili mambo yaende.
Na hakuna ushahidi duniani wa nchi yoyote iliyowahi kufanya revolution yoyote ya maana chini ya kiongozi mwanamke, haipo narudia haipo,ndoja nirudie kwa herufi kubwa HAIPO.
Simaanishi kuwa wanawake wasiongoze, ila wanaweza kupewa nafasi Kama za ukuu wa shule kwenye shule za wasichana, uongozi wa wizara kama wizara ya afya, jinsia, wanawake, wazee na watoto nk.
Mimi naamini tunapaswa kupata rais mwanaume 2025 na makamo wake awe mwanaume.

Wewe ni mtu mkweli, wanafiki wanalijua hili kua d mkuu wa nchi apaswa kua mwanaume ila wanajitoa tu ufahamu.
Kazi zao kushona sweta hata kupika hatuwataki awajui kupika vyakula vyenye kuchangamsha akili kitu,ndimu na pilipili kwa wingi ,siyo kujaza mimaji na vitungui chungu nzimaUalimu mkuu utakuwa umeenda mbali sana kiongozi,mwanamke yake cherehani fullstop!
Anapaswa na nani🤔🤔🤔🤔🤔
Kinachoongoza nchi ni uwezo wa kiongozi kiakili na fikra, busara na hekma sio uke wala uume
Makamo wa Rais[emoji777]Habarini za leo ndugu zangu, nimetafakari sana na katika pitapita zangu kwenye maktaba mbalimbali nimejiridhisha bila shaka kuwa nafasi za uongozi wa juu ni lazima zishikwe na mwanaume ili mambo yaende.
Na hakuna ushahidi duniani wa nchi yoyote iliyowahi kufanya revolution yoyote ya maana chini ya kiongozi mwanamke, haipo narudia haipo,ndoja nirudie kwa herufi kubwa HAIPO.
Simaanishi kuwa wanawake wasiongoze, ila wanaweza kupewa nafasi Kama za ukuu wa shule kwenye shule za wasichana, uongozi wa wizara kama wizara ya afya, jinsia, wanawake, wazee na watoto nk.
Mimi naamini tunapaswa kupata rais mwanaume 2025 na makamo wake awe mwanaume.
Sijaongelea kumuongoza mume nimeongelea kuongoza kwa ujumla.
Btw hata wajane wanaongoza familia zao vizuri tuu na watoto wanakua wa kujielewa wakati mwingine kuliko hata baadhi ya zile zenye wanaume walio hai.
Usimdharau mwanamke aliyekuongoza kuanzia kujua matumizi ya mwili wako na viungo vyake hadi kufikia hapo
Unaongelea vitu viwili tofauti hapo, Uschanganye madawa kama hivi utakufa
Ila elewa tuu uume au uke hauongozi ila uwezo wa kiongozi
Kama huwezi kumuongoza mzee baba kama mzee baba, utaongozaje vichwa vya wanaume mamilioni....
Wanaume kama wa CCM hawafai katika hii karne.Habarini za leo ndugu zangu, nimetafakari sana na katika pitapita zangu kwenye maktaba mbalimbali nimejiridhisha bila shaka kuwa nafasi za uongozi wa juu ni lazima zishikwe na mwanaume ili mambo yaende.
Na hakuna ushahidi duniani wa nchi yoyote iliyowahi kufanya revolution yoyote ya maana chini ya kiongozi mwanamke, haipo narudia haipo,ndoja nirudie kwa herufi kubwa HAIPO.
Simaanishi kuwa wanawake wasiongoze, ila wanaweza kupewa nafasi Kama za ukuu wa shule kwenye shule za wasichana, uongozi wa wizara kama wizara ya afya, jinsia, wanawake, wazee na watoto nk.
Mimi naamini tunapaswa kupata rais mwanaume 2025 na makamo wake awe mwanaume.
Mwanamke hana akili kiasilia tutabishana wee ila ukweli uko pale pale, mama yenu mwenyewe kawakataza wanawake kucheza mpira wakaoshe vyombo
Umekosea kidogo. Nna watoto5 Mmoja wa baba yako yule usiyemjua🤣🤣🤣🤣Hana mume huyu ni single mother wa watoto 3 kila mmoja na baba yake.
Baba yako anajua zaidi.... sio yule ulosingiziwa hapana! Biological father wakoUnakwepa kwepa nini sema huna mume ni linungaiembe
Tukiacha watu kufanya siasa ulichosema ni sahihi. Uongozi wajuu kabisa wanawake sio sehemu yao. Katika historia sijui imetokea wapi mwanamke kuongoza mapinduzi ya kijeshi au kijamaa kwa mafanikio. Hawa viongozi waliyoingia kwenye historia kwa uongozi thabiti uliyoleta mageuzi kiuchumi kwa watu wao ni wanaume. Mao wa china, lenin, wa urusi fidel castro wa cuba, che guevara wa cuba. Churchil uingereza geogre washington marekani abraham lincon marekani, samora machel msumbiji, nelson mandela karl marx mjerumani, frederic angels mwingeteza, etc etc. Tusije kudanganyana nchi kama yetu tunahitaji binadamu ngangari kutetea umma ili tugawane keki ya nchi sawa na kwa amani. Sioni binadamu kama huyo kwenye mwanamke hapa tz kwa sasa.Habarini za leo ndugu zangu, nimetafakari sana na katika pitapita zangu kwenye maktaba mbalimbali nimejiridhisha bila shaka kuwa nafasi za uongozi wa juu ni lazima zishikwe na mwanaume ili mambo yaende.
Na hakuna ushahidi duniani wa nchi yoyote iliyowahi kufanya revolution yoyote ya maana chini ya kiongozi mwanamke, haipo narudia haipo,ndoja nirudie kwa herufi kubwa HAIPO.
Simaanishi kuwa wanawake wasiongoze, ila wanaweza kupewa nafasi Kama za ukuu wa shule kwenye shule za wasichana, uongozi wa wizara kama wizara ya afya, jinsia, wanawake, wazee na watoto nk.
Mimi naamini tunapaswa kupata rais mwanaume 2025 na makamo wake awe mwanaume.
Level ya nchi inaanza na familia. Ukikubalo mfumo dume kwenye familia basi ukubali pia kwenye level nyingineMfumo dume mzuri ni ule wa kwenye familia tu. Level ya nchi unawazaje mfumo dume?
Kisayansi tofauti ya mwanamke na mwanaume ni viungo vya uzazi tu. Hakana scientific proof kwamba wanawake wana inferior brain compared to women.Habarini za leo ndugu zangu, nimetafakari sana na katika pitapita zangu kwenye maktaba mbalimbali nimejiridhisha bila shaka kuwa nafasi za uongozi wa juu ni lazima zishikwe na mwanaume ili mambo yaende.