nature boy
Senior Member
- Dec 22, 2012
- 127
- 126
Qudra za Mungu maana yake ni kwa uwezo wa Mungu. Yaani kama si Mungu basi asingekuwa pale. Hiyo ndio tafsiri sahihi ya kiswahili kile sio hiyo tafsiri yako.Mama mwenyewe kakiri hadharani kuwa kafika pale kwa kudra za Mwenyezimungu akimaanisha kuwa bahati imemembeba.
Wanaume halisi tumebaki wachache sana siku hizi... wengi wamebaki Wana mambo ya kike kike tu
Lipo wazi hilo this time historia inangukia tz Ili chama tawala kife huwa ni lzm rais aliyeko madarakani afie madarakani kisha anashika raisi wa mpito wa chama tawala then uchaguzi Rais wa mpito ni lzm apigwe vibaya kwenye sanduku na upinzani,hii imetokea zambia, nigeria,ghana,malawi nk.Habarini za leo ndugu zangu, nimetafakari sana na katika pitapita zangu kwenye maktaba mbalimbali nimejiridhisha bila shaka kuwa nafasi za uongozi wa juu ni lazima zishikwe na mwanaume ili mambo yaende.
Na hakuna ushahidi duniani wa nchi yoyote iliyowahi kufanya revolution yoyote ya maana chini ya kiongozi mwanamke, haipo narudia haipo,ndoja nirudie kwa herufi kubwa HAIPO.
Simaanishi kuwa wanawake wasiongoze, ila wanaweza kupewa nafasi Kama za ukuu wa shule kwenye shule za wasichana, uongozi wa wizara kama wizara ya afya, jinsia, wanawake, wazee na watoto nk.
Mimi naamini tunapaswa kupata rais mwanaume 2025 na makamo wake awe mwanaume.
Kisayansi tofauti ya mwanamke na mwanaume ni viungo vya uzazi tu. Hakana scientific proof kwamba wanawake wana inferior brain compared to women.
Nchi zilizopiga hatua zikiwa chini ya uongozi wa wanawake ni nyingi kama Liberia (Dr Serleaf Johnson), India (Indira Gandhi), Bangladesh (Bandaranaike), na recently Germany ( Angela Merkel).
Hayo mambo ya mifumo dune mubakie nayo huko kwenu Usukumani tu. Mjini hatutaki ushamba
Unasemaje kuhusu nchi kama Burundi, Mali, Sierra Leone, Mauritius , Gambia ambazo zinaburuza mkia kimaendeleo na toka uhuru zinatawaliwa na wanaume?Liberia imepiga hatua gani mkuu?? Mbona iko kwenye nchi kumi maskini zaidi duniani??