Mimi ni mwajiriwa mpya, ninahitaji mkopo

Mkuu mbona umeongea point mbofumbofu sana leo? Huwa nakuaminia sana lkn leo umeniangusha. Kukopa kupo, hata akina mo wanakopa. Cha msingi mshauli mtu namna ya kuutumia mkopo.
Sio kila mtu ana mali ambazo anaweza kuuza akapata hela nzuri.
Hujawahi miliki 1m au Hata kumiliki Asset yenye thamani ya 1m hujawahi

unataka kukopa 3m hiyo pesa utailipa lipaje? siwezi shauri mtu akope wala

shauri mtu namna ya kutumia mkopo,MO anakopa ila anakopa pesa ambayo

hata leo waseme tupe hela yetu anaweza rudisha pesa ya watu,Usikope kwa

kuangalia unataka kufanyia nini hiyo hela, kopa kwa kujiuliza Je! nina uwezo wa

kurudisha hii pesa ya watu incase things goes viceversa?! ukikopa kwa kutegemea

unachotaka kukifanyia baada ya kukopa ndio kirudshe mkopo Umepotea/umeumia.

Mikopo ni ya Matajiri TU wenye Stable income not otherwise, Tuna ambiana ukweli hapa.
 
Yeye si kasema ni mtumishi that means ana mshahara si ndio? Akikopa mkopo ambao atajenga kijumba chake cha room mbili na awe anakatwa lak 2 kila mwezi, ili aachane na kodi ya nyumba ya lak 2 kwa mwezi kuna ubaya?
 
Yeye si kasema ni mtumishi that means ana mshahara si ndio? Akikopa mkopo ambao atajenga kijumba chake cha room mbili na awe anakatwa lak 2 kila mwezi, ili aachane na kodi ya nyumba ya lak 2 kwa mwezi kuna ubaya?
Alikwambia kuwa anakopa ili ajenge? kwanini unamsemea? umsemaa nimeandika pumba

kwasababu nimekataza mtu kukopa wakati kina MO wanakopa,kwahyo unataka mfananisha

mtoa mada na MO? unataka mtu ashauriwe namna yakutumia mkopo ambao hujui kakopa kiasi gani?

Pia mtoa mada hajaomba ushauri kuhusu matumizi ya mkopo wake,anachohtaji yeye ni mkopo ndio mana kila mtu anashauri lake kuhusu hiyo mikopo.
 
Hajasema anataka kufanyia nini huo mkopo, huo ni mfano tu nilioutoa mimi. Lakini nilichokushangaa unamkataza mtu kukopa wkt watu wengi tu wanakopa na wanatoboa. Nadhani badala ya kumkataza asikope no bora ukamshauri namna nzuri ya kutumia mkopo.
 
Uongo kunogesha genge, NMB hakuna mkopo mkubwa hivo kama hujathibitishwa kazini
Wewe jamaa unaweza kubishqna na picha kabisa.

Sasa nidanganye, Kuna mashindano ya kudanganya humu watu wanapwa pesa au ???

In short, jamaa mimi ndio nimemtengezea Account ya salary slip portal na kumprintia kwasababu alifikia kwangu wakati anafuatilia huo mkopo kwasababu wakati huo shule zilikuwa zimefungwa.

Slip yake hiyo Happ 👇👇👇👇

 
Ogopa sana mikopo ya benki
Save upate mtaji hata kama ni milioni 2 baadaye unaweza kukopa kukuza mtaji
 
Hapana. Nimebahatika tu kuwa na experience na haya Mambo.

Unajua kwenye Maisha, huwezi kutegemea ufanye makosa halafu ndio ujifunze.

Akili Ni kujifunza Kutokana na makosa ya wengine.
Trump aliwahi kusema hili..
 
N wakike au wakiume???
 
Ni ajira za mama Samia za mwakajana kada ya ualimu
 
Mkuu unakopa iliiweje. Ishi kulingana na kipato chako. Jikaze ufanye savings, uwe na subra. Usitumie pesa ambayo hujai-earn
Changamoto za maisha ndugu.Familia zetu za kimasikini Kila kitu kinakuangalia wewe.
 
Kukopa sio dhambi,hata serikali inakopa.
 
Rafiki,
Ningejua ni nini unataka kuufanyia huo mkopo unaotaka kuukopa ningekushauri ukope, ila bado hujafafanua vema matumizi ya huo mkopo.

Maoni yangu,...

Kwa kuwa hata mwaka haujamaliza kazini nakushauri usikope kabisa, badala yake tafuta watu au nenda bank jicomit kabisa kuwa waanze kukukata taratibu hata kama ni elfu hamsini-hamsini ili kwa baadae uje uipate hiyo fedha unayoihitaji.

Ila kama kuna ulazima sana-sana wa kukopa ni heri uende sehemu zingine ambazo hata ikikwama unaweza ukazungumza nao na wakakuelewa hata kama kwa mwezi mmoja ukaacha kulejesha.

Ila narudia, kama hakuna ulazima wa kukopa acha kabisa usikope, kwani utakuwa mtumwa wa kazi yako na pia wa huyo aliyekukopesha.

Ninatanguliza shukrani,

Mwl Deus M.Ndololo
 
Teacher mwenzangu nashukuru kwa ushauri wako,ngoja nichekekeche.
 
Bank inaweza kukukopesha bila kuwa na barua ya kuthibitishwa kazini?
 
Ahsante boss Mwenyewe nina shida hiyo nimeajaliwa 06/07/2021 Nahitaji kukopa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…