Chuku chuku
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 873
- 1,360
Hili ndo tatizo la waajiriwa tulio wengi kuingia kwenye msongo wa mawazo 'stress', mtu anakopa anaanzisha biashara na mwaka wa kwanza tu biashara inakufa, mtaji wote unatumbukia anabakia kulipa marejesho kwa miaka iliyobakia, akimaliza mkopo zoezi lile lile linajirudia akishtuka umri wa kustaafu ushafika, kuajiriwa sio mchezo.upo private au government ?? kama private sawa ila government vumilia chukua bumu la 15milion fanya biashara bila kuacha kazi
Tatizo usimamizi kwa mwalimu inakuwa ngumu. Mie nashauri Walimu wakikopa hela bank wafanye Biashara ambazo Hazihitaji usimamizi mkubwa kama kununua nafaka na kuzituza then baada ya mda unauza. Maisha yanaendeleaHili ndo tatizo la waajiriwa tulio wengi kuingia kwenye msongo wa mawazo 'stress', mtu anakopa anaanzisha biashara na mwaka wa kwanza tu biashara inakufa, mtaji wote unatumbukia anabakia kulipa marejesho kwa miaka iliyobakia, akimaliza mkopo zoezi lile lile linajirudia akishtuka umri wa kustaafu ushafika, kuajiriwa sio mchezo.
Good idea, sio unafungua biashara alafu wewe Mashariki biashara magharibi, utalia kilio cha mbwa koko!Tatizo usimamizi kwa mwalimu inakuwa ngumu. Mie nashauri Walimu wakikopa hela bank wafanye Biashara ambazo Hazihitaji usimamizi mkubwa kama kununua nafaka na kuzituza then baada ya mda unauza. Maisha yanaendelea