Chuku chuku
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 873
- 1,360
Hili ndo tatizo la waajiriwa tulio wengi kuingia kwenye msongo wa mawazo 'stress', mtu anakopa anaanzisha biashara na mwaka wa kwanza tu biashara inakufa, mtaji wote unatumbukia anabakia kulipa marejesho kwa miaka iliyobakia, akimaliza mkopo zoezi lile lile linajirudia akishtuka umri wa kustaafu ushafika, kuajiriwa sio mchezo.upo private au government ?? kama private sawa ila government vumilia chukua bumu la 15milion fanya biashara bila kuacha kazi