Mimi ni mwalimu, naacha kazi nijiajiri

Mimi ni mwalimu, naacha kazi nijiajiri

upo private au government ?? kama private sawa ila government vumilia chukua bumu la 15milion fanya biashara bila kuacha kazi
Hili ndo tatizo la waajiriwa tulio wengi kuingia kwenye msongo wa mawazo 'stress', mtu anakopa anaanzisha biashara na mwaka wa kwanza tu biashara inakufa, mtaji wote unatumbukia anabakia kulipa marejesho kwa miaka iliyobakia, akimaliza mkopo zoezi lile lile linajirudia akishtuka umri wa kustaafu ushafika, kuajiriwa sio mchezo.
 
Tatizo usimamizi kwa mwalimu inakuwa ngumu. Mie nashauri Walimu wakikopa hela bank wafanye Biashara ambazo Hazihitaji usimamizi mkubwa kama kununua nafaka na kuzituza then baada ya mda unauza. Maisha yanaendelea
 
Good idea, sio unafungua biashara alafu wewe Mashariki biashara magharibi, utalia kilio cha mbwa koko!
 
ukifanya biashara ukasave hata mia tatu ni bora maana unajua changamoto na nini cha kujiongeza upate zaidi....unausoma mchezo unajituma....kazi ya kuajiriwa je utawezaje kuongeza kipato...utasema ukafanye shughuli nyingine ya ziada ...kama hio haitoshi au haiwezi ni sababu tosha ya kuachana nayo....binafsi niliajiriwa grade 3a...niliachana nayo kimnya kimnya nikapiga mishahara hewa ...na kamkopo nikasepa ila nilikosea niliwekeza shughuli zangu jirani na nilipokuwa nafanya kazi baada ya kuona nyumba na gari na mambo yanasonga wakanikaba nilipe mishahara hewa nikalipa ...nipo happy hio laki saba au sita hapa kitaa ni pesa ya matumizi kwa mwezi so hata nisiposave nakuwa bora nikijilinganisha nao....ila cha muhimu ni kuwa huru na kufurahia maisha ...utakuja jutia kwenye jeneza lako kwa nini sikufanya...fanya na usijutie...pambana ..
 
Back
Top Bottom