teacher muache mwenzio aje huku aje atengeneze 6m badala ya 2m we kama umeridhika na huo mshahara mkaushie baasJamaa at ana 2Millions anataka kuacha kazi.Usijidanganye kijana kwa hilo.Badae mkulu ataongeza mishahara itakua minono.Uhakiki unaelekea ukingoni tuna matumaini one day tutafurahia wote.Jitahidi kupata ushauri vizuri usikurupuke mjomba.
mkuu kiukweli kujiajiri ni kugumu maana inaweza kuchukua miaka kadhaa ndio mambo yakae vizuri unless uko lucky sana. imagine umeamua kuwekeza hela shamban afu ukapata hasara na uliweka hela yote kule kuna kipindi unatamani usingeacha kazi. kujiajiri inataka commitment na sacrifice sana tena kama una familia na upepo ulivo sasa hivikujiajiri si rahisi kama kuajiriwa but akikomaa n rahis sana inahitaji nia ya dhati tu
Katika watu ambao naona hawana umuhimu kwenye nchi kama ya kwetu ni wanajeshi yaani hawa jamaa ni hasaraDuuh! Wewe umejitahidi sana, mimi ni mwaka mmoja na miezi 10 sasa lakini ipo natafuta pa kukimbilia. Kazi ya kipumbavu kabisa hii. Tanzania hatuna viongozi bali ni masanamu. Yaani mtu unashika uongozi mara moja unawaongezea wanajeshi posho wakati wana posho kubwa, wamejengewa nyumba, hawana faida ya moja kwa moja kwa jamii isipokuwa kwa viongozi tuu, na ukiangalia na elimu yao ndo wale wahuni kipindi tunasoma ndo machozi yanakutoka kabisa.
kweli mkuu me wakati naanza kujiajiri nlianza shambani na niliweka senti zote huko nkapiga hasara murua kabisa zile stress zake zlikua next level but skukataa tamaa n now am moving forward...... kujiajiri matokeo huanza kuonekana mara nyingi after 2yrs hapo ndo channel zinakua zimejisetmkuu kiukweli kujiajiri ni kugumu maana inaweza kuchukua miaka kadhaa ndio mambo yakae vizuri unless uko lucky sana. imagine umeamua kuwekeza hela shamban afu ukapata hasara na uliweka hela yote kule kuna kipindi unatamani usingeacha kazi. kujiajiri inataka commitment na sacrifice sana tena kama una familia na upepo ulivo sasa hivi
Kwahiyo mkuu unaweza kushaur jeshi lifutwe kabisa?? Me navyoona kuwepo kwajeshi nivizur zaid kuliko kutokuwa najeshi alafu maadui wakajitokeza naona itakuwa nihatar zaidi, sema2 inabidi walimu waangaliwe zaidi kuliko hao wanajeshi yaan walimu wawe namishahara naposho zaidi kuliko wanajeshiUnawzaje
Katika watu ambao naona hawana umuhimu kwenye nchi kama ya kwetu ni wanajeshi yaani hawa jamaa ni hasara
Nimeipendahongera kwa kujitambua.. japo kama huna familia huu ni wakati wa kujaribu kila kitu kuna muda utafika hutaweza kujaribu chochote sababu ya watoto wanaokutegemea....
Hata mwajiri wako akuongezee Mshahara mara mbili ya ulonao..kutoka ndoto...ishu nzima ni kujiajiriJamaa at ana 2Millions anataka kuacha kazi.Usijidanganye kijana kwa hilo.Badae mkulu ataongeza mishahara itakua minono.Uhakiki unaelekea ukingoni tuna matumaini one day tutafurahia wote.Jitahidi kupata ushauri vizuri usikurupuke mjomba.
Asante kwa kuokoka,karibu katika ufalme wa raha ya milele,ishi unavyotaka fanya kazi unayopenda.Ninakaribia 30. Nafundisha sekondari, somo la Basic Mathematics. Sina furaha na kazi yangu kwa sababu kipato hakiendani na kasi ninayoipenda. Nimegundua kuwa na degree hakuendani na kipato. Bado tunatishwa tishwa. Walimu nimegundua ni waoga. Hasa kufanya maamuzi magumu na sahihi. Mwalimu wa Tanzania anaishi kimaskini. Naacha kazi, naenda kujiajiri mwenyewe. Kwa heri utumwa, Kwaherini walimu. KWAHERINI. Usiniige kama hujajipanga. Nina sh milioni 2. naenda kuipanda. Hii sio ndogo kwangu. Sirudi tena kufunza.
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Njoo uku tuuze dawa za kuongeza makalio na nguvu za kiume inalipa Sana hutojuta
MnajidanganyaHata mwajiri wako akuongezee Mshahara mara mbili ya ulonao..kutoka ndoto...ishu nzima ni kujiajiri
Usiongee usichokijuandio mwalimu degree analamba 9 makato wanachukua 7
Sio mihemko anawatia moyo wengine ambao wana woga wa kuthubutu! Pia hapa atakutana nawalio tangulia kuacha hapo awali wampe mbinu nyingine!Una busara sana mkuu!
Kuacha kazi sio suala ma mihemuko kama hivyo! Mtu anasema anaacha ajira halafu bado ana muda wa kuanzisha thread za namna hii[emoji18] [emoji18]
hahaha[emoji23] [emoji23] [emoji23]Huyu akiacha kweli maisha yatampiga balaa maana hajielewi - labda kama atajiunga na bavicha humu kutukana na kulaumu serikali 24/7
Nilifanya kazi ya ualimu miez 6 nikataka kuacha wakanipa moyo kuwa mwanzo mgumu nikajitahidi nikamaliza mwaka mambo yakawa magumu zaidi nikataka kuacha wazee wakanipa moyo tena ila baada ya kutimiza miaka mitatu nikaona hakuna jinsi ila ni kuacha tu. Kazi nilikuwa naipenda sana ila katika sekta ya elimu kila alie juu yako anataka kutukuzwa,mazingira magumu,nilikuwa nakaa mlimba lakin mshahara nilikuwa naufata Ifakara au Dar ambapo sometimes ilikuwa inanicost hadi laki,niliomba likizo ya kulipwa nikapewa ila pesa hawakunipa mpaka leo. Bora wewe una M2 mimi nimeacha nikiwa na Laki 7 tu. Fanya kile unaona ni sahihi ila kiukweli Ualimuni mzuri ila hatuthaminiwiNinakaribia 30. Nafundisha sekondari, somo la Basic Mathematics. Sina furaha na kazi yangu kwa sababu kipato hakiendani na kasi ninayoipenda. Nimegundua kuwa na degree hakuendani na kipato. Bado tunatishwa tishwa. Walimu nimegundua ni waoga. Hasa kufanya maamuzi magumu na sahihi. Mwalimu wa Tanzania anaishi kimaskini. Naacha kazi, naenda kujiajiri mwenyewe. Kwa heri utumwa, Kwaherini walimu. KWAHERINI. Usiniige kama hujajipanga. Nina sh milioni 2. naenda kuipanda. Hii sio ndogo kwangu. Sirudi tena kufunza.