Mimi ni mwalimu, naacha kazi nijiajiri

Mimi ni mwalimu, naacha kazi nijiajiri

No Wonder tuna non-educated people with certificates....,

Kazi mbili ambazo ni Wito Duniani.., Ualimu na Uuguzi..,

Lakini bahati mbaya watu wanafanya kazi ili kupata pesa sio kufanya kazi wanayoipenda.., Kama unapenda kazi yako unaweza ukajiari katika profession yako ya kufundisha kama ulifuata pesa basi kila la kheri
 
So mkuu watu wanafanya kazi ili nini
 
So mkuu watu wanafanya kazi ili nini
1566569270347.png

Watu wanafanya kazi ili wapate needs and wants.., and one of those needs and wants, self-recognition, and feeling of accomplishment mtu mpaka kuwa daktari ana moyo wa kusaidia watu beyond monetary achievements.., vile vile mwalimu mwenye wito kwake self-fulfillment needs ni kuona aliowafundisha wamefanikiwa na kufika mbali..., ingekuwa ni pesa no matter what wengi wengi tungekuwa kwenye mihadarati na kazi nyingi ambazo ni shortcut
 
No Wonder tuna non-educated people with certificates....,

Kazi mbili ambazo ni Wito Duniani.., Ualimu na Uuguzi..,

Lakini bahati mbaya watu wanafanya kazi ili kupata pesa sio kufanya kazi wanayoipenda.., Kama unapenda kazi yako unaweza ukajiari katika profession yako ya kufundisha kama ulifuata pesa basi kila la kheri
Mkuu maisha ni pesa,bila pesa hupati huduma yoyote;hakuna mwenye wito hapa duniani,watu wanaangalia maslai.Ukitaka kujua duniani hakuna wito mnyime mshahara/malipo/posho mtu yeyote mwenye fani au wadhifa wowote uone madhara yake
 
Hujaona watu wanatoka makazini wanajitolea kufundisha watu tuition au timu ya miguu...

Hujaona makocha kibao mtaani wanafundisha timu za watoto mitaani bure.., na hakuna zawadi au furaha watakayopata hao watu kama hio timu ikishinda kikombe..., by the way unajua kwamba Money is a poor Motivator ?
 
Si kweli mkuu,mtu hawezi kuja kujitolea wakati suruali yake au nguo yake imetoboka;au muda wa kula ukifika hajui ale nini....ukiona mtu anajitolea jua yale mahitaji yake yote ya kifedha ameyakamilisha.
 
Kama mwalimu aliingia kwenye kazi kama wito na sio last resort sababu ya courses nyingine zote zimekataa.., hata akiwaza kujiajiri atajipa ajira kwenye field hio hio ya education.., Tuition, Training Manuals au hata kutunga vitabu.., au hata akitaka kuwa mfugaji basi anaweza akafuga na kuendelea kutoa elimu ya ufugaji kwa wote

Ukizingatia sasa hivi fursa ni kuwaambia watu / kuwafundisha jinsi ya kutafuta pesa (yaani kupata pesa kwa kuwaonyesha watu fursa) kama hio sio ualimu ni nini ?
 
View attachment 1188357

Watu wanafanya kazi ili wapate needs and wants.., and one of those needs and wants, self-recognition, and feeling of accomplishment mtu mpaka kuwa daktari ana moyo wa kusaidia watu beyond monetary achievements.., vile vile mwalimu mwenye wito kwake self-fulfillment needs ni kuona aliowafundisha wamefanikiwa na kufika mbali..., ingekuwa ni pesa no matter what wengi wengi tungekuwa kwenye mihadarati na kazi nyingi ambazo ni shortcut
Basi kama pesa haina umuhimu kusingekuwa na mishahara....pili umeongelea suala la makocha wa mitaan.....nikuambie kitu boss mpira ni burudan kama ww unavyopenda music unaucheza nyumbani kwako so usifanye comparisons between hobbies and profession.....
 
Si kweli mkuu,mtu hawezi kuja kujitolea wakati suruali yake au nguo yake imetoboka;au muda wa kula ukifika hajui ale nini....ukiona mtu anajitolea jua yale mahitaji yake yote ya kifedha ameyakamilisha.
Asilinganishe Hobbies na Profession za watu....hobbies MTU unafanya kwa kupenda mwenyewe but profession unaitafuta as life career ili uyamudu maisha hapa duniani
 
Kama mwalimu aliingia kwenye kazi kama wito na sio last resort sababu ya courses nyingine zote zimekataa.., hata akiwaza kujiajiri atajipa ajira kwenye field hio hio ya education.., Tuition, Training Manuals au hata kutunga vitabu.., au hata akitaka kuwa mfugaji basi anaweza akafuga na kuendelea kutoa elimu ya ufugaji kwa wote

Ukizingatia sasa hivi fursa ni kuwaambia watu / kuwafundisha jinsi ya kutafuta pesa (yaani kupata pesa kwa kuwaonyesha watu fursa) kama hio sio ualimu ni nini ?
Ukifuatilia sana,wengi waliingia katika field hiyo baada ya plan A kufeli.Ni vigumu muajiriwa kumfundisha mtu namna ya kupata pesa wakati yeye ameshindwa hata kufungua genge la nyanya.
 
Basi kama pesa haina umuhimu kusingekuwa na mishahara....pili umeongelea suala la makocha wa mitaan.....nikuambie kitu boss mpira ni burudan kama ww unavyopenda music unaucheza nyumbani kwako so usifanye comparisons between hobbies and profession.....
Moja nani kasema pesa haina maana ?
Pesa ni medium inayorahisisha mabadilishano ya mahitaji mwenye nguo kwa kuuza nguo anapata mkate.., muuza mkate anapata nyama n..k..., kufanya kile unachokipenda ili upate mahitaji yako ndio maisha ambayo sio ya kitumwa ndio maana nikasema pesa kama pesa sio motivator (ila security, recognition na accomplishments) zinaongeza tija kuliko pesa.., kwahio coaching sio profession ?..., Mario Sarri Kocha wa Chelsea alikuwa Banker akitoka kazini anaingia mtaani kufundisha timu.., kwahio hauwezi kufanya hobbie yako as a full time profession ?
 
Ukifuatilia sana,wengi waliingia katika field hiyo baada ya plan A kufeli.Ni vigumu muajiriwa kumfundisha mtu namna ya kupata pesa wakati yeye ameshindwa hata kufungua genge la nyanya.
quite the opposite.., Kufundisha na kufanya ni skills tofauti kabisa, hakuna mtu ambae hajui kwamba kununua bei ya chini kuuza ya juu kuweka faida na kurudia tena na tena ndio basics za biashara ila kufanya its a whole different ball game.., inahitaji salesmanship, kujua kunusa fursa na above all discipline...
 
Moja nani kasema pesa haina maana ?
Pesa ni medium inayorahisisha mabadilishano ya mahitaji mwenye nguo kwa kuuza nguo anapata mkate.., muuza mkate anapata nyama n..k..., kufanya kile unachokipenda ili upate mahitaji yako ndio maisha ambayo sio ya kitumwa ndio maana nikasema pesa kama pesa sio motivator (ila security, recognition na accomplishments) zinaongeza tija kuliko pesa.., kwahio coaching sio profession ?..., Mario Sarri Kocha wa Chelsea alikuwa Banker akitoka kazini anaingia mtaani kufundisha timu.., kwahio hauwezi kufanya hobbie yako as a full time profession ?
Unaweza kuifanya hobby ikawa profession ndio.....Ila tatizo linakuja kwenye malipo....mshahara was Sari unaufahamu mkuu?....kawaulize makocha was hapa bongo uone wanavyoishi kwa tabu has a hawa wazawa,wagen wengine waliondoka wamerushwa fedha zao mpk wameenda kudai FIFA,......ila nachokisema na nakikataa ni hii mentality ya kusema ualimu ni wito tu hivyo hata wasipokujali wewe uendelee kuteseka na wengine waneemekee kwako na ufe ukiwa masikini na huku hujatimiza ndoto zako...ndio maana watu wanaamua kumove on mkuu
 
Back
Top Bottom